Tutorial Assistant: Nafasi bora ya kazi isiyojadiliwa

Duuuh kumbe? Aiseee ngoja nijipange lazima nitoboe.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Impossible future tense
- Kwa utaratibu wa Utumishi Kama ilivyoelezwa huko juu na wadau ni kwamba Watu kutoka department husika ya Chuo ndiyo wanakuja kwenye interview, Sio Kwa UDSM vyuo vyote vile iwe IAA Watu kutoka IAA Watakuja,
-Mbona UDSM wengi wanafeli interview za Utumishi na wengine wanaambulia alama singo digit, kusomea UDSM haimaanishi utaweza kupambana na interview za Utumishi unless uwe Msomi wa uhakika.
- Ngoja nikuulize swali Lecturer wa DIT, NELSON MANDELA etc mwenye PhD ya Engineering atashindwaje kumuuliza maswali na Kumtahini?, Msomi wa Kiwango Cha Chini kabisa Kwa Kada ya Wanataaluma i.e Tutorial assistant, Hivi unajua Chuo Kama Nelson Mandela (Chuo Cha PhD na Masters) Ukiwa na degree unaonekana Kama hujasoma
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nicheke kwanza,, siku wakiweka hvo nambie,,,
[emoji1787][emoji1787] Mkuu wa department anapeleka maombi ya kuongezewa staff,, watakaofanya kazi chini yake,, then interviewer atoke nelson Mandela [emoji16][emoji16][emoji16] raha sanaaa
 
Linapokuja hili swala hasa la wakufunzi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] utajua hujui
 
-Inaonekana hujasoma paragraph ya Kwanza ya chapisho langu, au Pengine labda huna Uelewa was kutosha kwenye kutafsiri hoja, Chapisho langu la Kwanza lilikuwa wazi kabisa Kuwa, Department husika Ndiyo unafanya mchakato na nikanukuu hoja za wwada.
  • Hoja yangu ya mwisho Hiyo tunaita ni By the way, obiter dicta,
  • Au ww unataka kupinga kwamba kwamba PhD kutoka NELSON MANDELA hawezi kukutahini kwenye interview kwa sababu umesoma UDSM?
 
Mkuu Capto, basi kumbe waliosoma hivyo vyuo wanauhakika Wa kutoboa kwa nafasi za U TA
 
Yani kweli,hizi kazi ni noma.Mimi nilijua unakutana na watu tofauti,kumbe unahojiwa na mwalimu aliyekuwa chuoni kwenu?!wenye chuo husika washapata kazi
Upendelo mtupu wanaturudisha kwenye Mambo ya connection Yale yale.
 
Hujaelewa nilichokiandika (umesoma nelson Mandela nn[emoji1787][emoji1787][emoji1787]) what i am sayn ni kwamba dunia nzima utaratibu wako hauwezi kutumika

Really[emoji849] Hata sense of humour huna [emoji57]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…