Tutorial Assistant: Nafasi bora ya kazi isiyojadiliwa

Ni kazi nzuri kwa kijana anaeanza maisha baada ya chuo. Mshahara wa 1.8m kwa kijana wa miaka 24 sio mbaya. Kwa sisi tuliokula chumvi nyingi ni hela ndogo haitoshi.
Kweli nzuri,ni ktk vyuo vyote?
 
mkuu
Mbona Moccu ni university na open university na wao ni university wameweka 3.5 ache kukatisha watu tamaa kama una 3.5 omba tu hujui unaweza pata
mkuu cpb,
Open University ni 3.8,na wanaema uwe umefanya vizuri ktk somo husika.
 
inaonekana ni wadau wachache sana waliowahi kuhudhuria hizi interview...
 
Nilijua ni utumishi wanasimamia mwanzo mwisho,kumbe ni chuo husika alafu utumishi wanakuwepo kama waangalizi,aieee.
 
MaGPA yenyewe ya kupeana haya. Me pale chuo siku niliposhuhudia mwalimu amempa solution paperwork dem wake ambaye akaenda kuwapatia wadangaji wenzake wanaostay nyumba moja. Na kwenye paper yule binti akatoboa na A+ ndipo nikajua elimu usitazame performance ya cheti.

Mwite mtu ajiexpress kwa kichwa chake amebebelea nini. Makampuni mengi wamegundua huu upuuzi kuwa wanaingia gharama kuajiri watu ambao hawana vigezo mwisho wa siku wanapata hasara maana ufanisi kiutendaji ni zero.

Huko tuendako makampuni watajua na kuelewa kuwa cheti cha masomo ni qualification ya kuingia tu katika interview ila kumpata best candidate ni kupitia interview ya oral.
 
Ni kweli mkuu,lkn pia Luna wenye uwezo hivyo ni kama kweli chuo husika kinasimamia usahili alafu mwalimu aliegawa marks za bure Yuko pale unafikiri hawezi kufanya ujinga uleule?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…