Haya sasa kaamia kwenye ajira huku akiwa hajui status yangu ya ajira ikoje..!Sibishani na jitu lisilo sawa kiakili!
Viajira vyenu vya kupata hela ya kula unahisi umeyapatia Sana maisha sio
Wewe ulipaswa uwe umefungwa kamba milembe kitambo sana๐๐๐
Mkuu japo hainihusu, lakini umetumia lugha isiyokuwa sawa...Kuuliza si ubaya nami nataka ajira kama ukipata mkuu mbona umekuwa mkali...๐
Sawa much knowHaya sasa kaamia kwenye ajira huku akiwa hajui status yangu ya ajira ikoje..!
Kumbe hapa nabishana na brain of idiot! Mkuu mi naishia hapa nimegundua sio Mimi ndo hamnazo kama ulivyodai kumbe wewe ndo hakuna kitu!!.. uwe na siku njema!๐
Well said , akipuuzia ushauri huu naonge na mod tunampiga life banMkuu japo hainihusu, lakini umetumia lugha isiyokuwa sawa...
Unamuomba vipi ajira mtu ambaye naye anatafuta ajira, ni Kama umemkejeli au kumdhihaki !
Tuache haya majivuno mkuu, ID fake zisituondolee utu !
Uzi wa mtoa mada hauhusuani kabisa na hili uliloliandika.
TUPENDANE mkuu, maisha ni haya haya, Leo kwangu kesho kwako
Umeluwa kwenye betting nini? Mbona una hasira sana leo?Focus kwenye mada mkuu. Kuuliza masuala binafsi binafsi iwe ni kwa lengo la kutoa msaada. Ukimuuliza mtu "una kazi/ajira?" akikisha akikujibu hapana basi uwe na njia ya kumsaidia
..sehem..โKejeri โ
kejeli โ๏ธ
Nimetafuta sana sehem ya kukukosoa haikua rahisi ila nashukuru nimepata
...huitaji...โUkiona huitaji kukosolewa usiombe ushauri
Shukrani mkuu...huitaji...โ
...huhitaji...โ๏ธ
chawa wa mama huyo.ChoiceVariable acha wizi wa kuku hapa mtaani halafu unauza buku 3 ili ukanywe ulanzi.
ChoiceVariable ni kajizi ka kuku, halafu kanajificha kwenye mwemvuli wa ukijani..
Tuache ujuaji. Pale ambapo mtu analeta jambo lake comment chochote kulingana na alivyowasilisha suala lake. Usitumie hisia kuja na assumptions zako binafsi maana sio mara zote hisia zako zitakuambia ukweli.Kumekua na tabia ya watu hapa jf kuleta kejeri, kujifanya wajuaji au kubadilisha maana ya alichokiongea mleta mada ili waonekana ndio wana akili sana au vipi. Ndugu zanguni situation ngumu za kimaisha zinaonekana rahisi kama sio wewe ambae unakutana nazo wakati huo.
Hakuna mada utaileta jf bila kukutana na comment za kejeri, u-much know, assumptions binafsi ambazo ni tofauti na mada n.k. Mtu kaandika uzi wa kuomba ajira utasikia vijana mmekua wavivu nenda kajiajiri au kalime sasa mtaji utampa wewe? Shamba na pembejeo za kilimo utampa wewe? Kama hauna connection si upite kimya kimya tu.
Mtu mwingine anaomba ushauri kuhusu suala la kimahusiano utasikia vijana mmekua dhaifu sijui nini nini, mara baso haujakua n.k Kwanini mtu usitoe ushauri badala ya kuleta kejeri na ujuaji
Tuache ujuaji. Pale ambapo mtu analeta jambo lake comment chochote kulingana na alivyowasilisha suala lake. Usitumie hisia kuja na assumptions zako binafsi maana sio mara zote hisia zako zitakuambia ukweli.
UmekuwaโUmeluwa โ
Umekuwa โ๏ธ
Hapana ndugu yangu. Nilitaka kumuweka jamaa kwenye mstari tu. Betting nishapigwa mara nyingi sana hata sikumbuki idadiUmeluwa kwenye betting nini? Mbona una hasira sana leo?
Mambo ya Ndola?
Naunga mkono hoja 100%
Mkuu upo mkoa ganiHapana ndugu yangu. Nilitaka kumuweka jamaa kwenye mstari tu. Betting nishapigwa mara nyingi sana hata sikumbuki idadi
[emoji3][emoji3][emoji3] kulikoni mkuuChoiceVariable acha wizi wa kuku hapa mtaani halafu unauza buku 3 ili ukanywe ulanzi.
Ni kajizi haka, halafu kakilewa kanabaka kuku.[emoji3][emoji3][emoji3] kulikoni mkuu
Ni mwenyeji wa dar ila kwa sasa nipo Iringa. Narudi dar baada ya kama wiki 2 au 3 hiviMkuu upo mkoa gani
Kama mnamjua mshaurini aache. Uwizi sio tabia nzuriNi kajizi haka, halafu kakilewa kanabaka kuku.