Tutarajie anguko la Wasafi media

Two dimension array

JF-Expert Member
Jul 25, 2018
1,596
2,000
R.I.P Ruge

Kutokana na kupishana maneno kati ya clouds na wasafi na kumpaka zia marehemu Ruge kua ni mnyonyaji wa wasanii na ana roho mbaya..Haya yote yalifanywa na wasafi ili wao wakae juu( siku zote tunajua ukitaka kumuua mbwa basi mpe jina baya) Basi hivyo ndivyo walivyofanya wasafi kumchafua Ruge ili wapendwe wao.

Kinachoonekana walikua wanatembelea nyota ya clouds ili wawejuu wao kwa kutafuta huruma kutoka kwa mashabiki na jamii.

Sasa tutarajie anguko lao waliekua wakimchafua ili wapate huruma za wananchi hayupo.

Sasa wapambane na hali zao .malipo ni hapa hapa duniani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbalamwezi1

JF-Expert Member
Dec 20, 2013
2,066

Yani umekurupuka mbayaa! Halafu unaonekana suala la Clouds na Wasafi umelichukulia personal!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
cbstz

Member
Nov 3, 2018
31
125
Braza mbwa ni mbwa tuu, bila huyo ruge wasanii wasingekuwa na platform waliyoipata, ila ndio hivyo masikini akipata matako hulia mbwata
Hujakosea braza maana kwenye kiwanda cha burudani especially muzik wa kizazi kipya hakuna mtu aliye upambania kama Ruge, lakini bado hao hao wasanii wamekuwa wanafiki wakimvulumishia madongo kwa na Clouds kwa ujumla na kumuita majina ya kishenzi..mfano TID, Q Chief, Jay Dee na Mbw Kokoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
steveachi

JF-Expert Member
Nov 7, 2011
6,843
2,000
Tutarejie pia kinyume chake kwani ubunifu wa marehemu uliifanya clouds ifanye vizuri,sasa baada ya kufariki sijui itakuaje kuwa upande wa staff iliyobaki,je wanaweza kumaintain status aliyoiacha??
 
E2BK

Senior Member
Jul 8, 2012
153
250
R.I.P Ruge

Kutokana na kupishana maneno kati ya clouds na wasafi na kumpaka zia marehemu Ruge kua ni mnyonyaji wa wasanii na ana roho mbaya..Haya yote yalifanywa na wasafi ili wao wakae juu( siku zote tunajua ukitaka kumuua mbwa basi mpe jina baya) Basi hivyo ndivyo walivyofanya wasafi kumchafua Ruge ili wapendwe wao.

Kinachoonekana walikua wanatembelea nyota ya clouds ili wawejuu wao kwa kutafuta huruma kutoka kwa mashabiki na jamii.

Sasa tutarajie anguko lao waliekua wakimchafua ili wapate huruma za wananchi hayupo.

Sasa wapambane na hali zao .malipo ni hapa hapa duniani

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kuna kipindi walikuwa juu mpaka waanguke?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Percy

JF-Expert Member
Jul 21, 2014
6,068
2,000
Kwa hiyo tukuite nabii au? Maana radio ishafungiwa wiki moja mmh!
 
DA HUSTLA

JF-Expert Member
Mar 5, 2012
2,002
2,000
R.I.P Ruge

Kutokana na kupishana maneno kati ya clouds na wasafi na kumpaka zia marehemu Ruge kua ni mnyonyaji wa wasanii na ana roho mbaya..Haya yote yalifanywa na wasafi ili wao wakae juu( siku zote tunajua ukitaka kumuua mbwa basi mpe jina baya) Basi hivyo ndivyo walivyofanya wasafi kumchafua Ruge ili wapendwe wao.

Kinachoonekana walikua wanatembelea nyota ya clouds ili wawejuu wao kwa kutafuta huruma kutoka kwa mashabiki na jamii.

Sasa tutarajie anguko lao waliekua wakimchafua ili wapate huruma za wananchi hayupo.

Sasa wapambane na hali zao .malipo ni hapa hapa duniani

Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi imeshakufa na matanga mmeanua?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom