Si nilikuuliza kuwa kuitoa haki ya mwenza wako ni heshima?
Mbona hujanijibu?
mimi nimeoa mke na ndoa yangu inamiaka kumi natatu sicheat mke wangu na mke wangu sijahi kumkamata akinicheat kwa kifupi tunaaminiana .nikimkamata mke wangu ananicheat upendo utakufa na nitamchukia sana, mimi mwenyewe nikija kucheat nitajichukia sana kwa tendo hilo na nitamchukia yule niliye cheat naye.watu waaina hii wapo wachache sana na wana misimamo imara sana .
Sasa inamaana wale ambao hatupo hivyo sio wanaume?
Kulikoni?
Nadhani kuna kitu nakimis hapa
Mnazungumzia mafundisho yapi?
Sasa mkuu hao si wameisha utamu???????????
mimi nimeoa mke na ndoa yangu inamiaka kumi natatu sicheat mke wangu na mke wangu sijahi kumkamata akinicheat kwa kifupi tunaaminiana .nikimkamata mke wangu ananicheat upendo utakufa na nitamchukia sana, mimi mwenyewe nikija kucheat nitajichukia sana kwa tendo hilo na nitamchukia yule niliye cheat naye.watu waaina hii wapo wachache sana na wana misimamo imara sana .
Mbona nipo?
So ukicheat humpendi mwenza wako right?
...Mkuu ubora wa gari injini sio bodiHahahahahahahaaaaa!
Hilo nalo neeno!
...
Anyway!
Wengine mbona wanalipa bado?!
...Hilo la hela ni tatizo kwanguHawa wa digitali wengi wao majanga!
Labda uwe na vigezo vinavyowaridhisha!
Mf: hela (za kutosha)
Maujuzi kwa bedi!
+ uhandsome!
Njia ipi hiyo?Kinyume na hapo Shughuli itakua pevu kidogo! Mwenyewe si unavionaga vigezo vyao humuhumu jf?
Wanataka mabaunsa!
Sasa kama unakifua flati, shughuli nyengine hiyo!
Mmh! Wacha tu nikutakie kila la heri!
But iko njia nyengine kama utaweza kuiamini!