Tutaonana tena 5/5/2026

Humu ni mkongwe hivyo nauelewa wa mambo yanavyokwenda.

Hapa unatingisha kiberiti tukubembeleze ubaki.

You are lonely, you need love. Tafuta mpenzi nje ya hapa JF.
Ninae mkuu,hivi sikuzote ulijua natombwer na maandishi mkuu!? Sidhani kama upo serious
 
kwani una id ngapi?
 
Yupo humu,tumekosana hata hivyo... nampenda naye anapenda mwingine....mie siyo jogoo kuanza kumfukuzia🤣🤣🤣....hivyo mapenzi si sababu cute
Chaaaaaa sasa unaamua kukaa kinyonge kisa nini jamani, watu wote hawa si ujitwalie hata mzabzab maisha yasonge.......

Kikao cha mwisho haukuwepo sio?? Unyonge ilikua mwisho 2024, ukiachwa asubuhi hakikisha jioni uko deep in love na mtoto wa mtu mwingine.

Kama hauna sema upigwe tafu, kuna watu wana wawili wawili utapunguziwa mmoja, Atoto tunamuomba mmoja aje kuokoa jahazi hapa
 
Kwanini unapumzika jamani🥲😴
 
IMANI YA CHAMA
a)binadamu wote ni sawa
b)kila mtu anastahili heshima ya kutambua na kuthaminiwa utu wake
c)ujamaa na kujitegemea ndiyo njia pekee ya kujenga jamii ya watu walio sawa na huru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…