Beesmom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 37,361
- 91,912
Najua mnaweza sema kwanini asiondoke kimyakimya....hapana ...Kuna wapendwa wasiponiona huanzisha thread...ndiyo...am not special ila naona ni upendo tu walionao kwa Wana family wote wa JF.
Napumzika rasmi kuingia JF mpaka tarehe,mwezi na mwaka tajwa hapo juu.
Nawapenda sana na Mungu awabariki sana.
Napumzika rasmi kuingia JF mpaka tarehe,mwezi na mwaka tajwa hapo juu.
Nawapenda sana na Mungu awabariki sana.