Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 56
Ijumaa hiyo tena,
Ijumaa ambayo ni tofauti na nyingine nyingi sana hapa JF!
Ijumaa ambayo haina vijembe sana na kukwaruzana kupita kiasi!
Ijumaa ambayo watanzania wanasherekea kuanguka kwa Lowasa.
Haijalishi kama Lowasa atapewa kazi ya Ugavana wa BoT au ulinzi,
Kilichotokea wiki hii kinafaa kabisa kusherekewa kwa nguvu zote.
Lowasa hakutegemea kamwe kuwa wingi wa pesa zake utamnyima raha.
lowasa kaangukia pua dodoma na sasa anakimbiwa na kuchekwa,
Watanzania wote ni furaha kwa sababu huu ni mwanzo wa huo mwisho!
Lowasa pesa zako hazikufua dafu katika hii tsunami yenye nguvu.
Mwanakijiji vipi ukiandaa bash Detroit? Mazee GQ vipi Chicago?
The son of Ngabu kuna nini jiji linalozizima weekend hii?
It is time to celebrate! Ushindi wa wana JF na wapigania haki!
Lowasa is no more, amekwenda na tutahakikisha anaishia Keko.
Rostam Azizi jiandae kwani wewe ndio unafuatia katika hili!
Kazi imeanza, inatimizwa na itaendelea kufanyika - alutacontinua
Hata hivyo, mwafrika wa kike amekubali kumlipa Lowasa 84 cents kwa kumlazimisha Kikwete kuvunja baraza lake la mawaziri.
Weekend njema kila mtu na sherehe njema!
Wengine tumeanza tangu jana kusherehea kwa Chupa moja ya lita tatu za Krug Grand Cuvee champagne:
Na mbuzi mzima wa kuchoma huyu hapa; nilichinja kwa mkono wangu na kumchoma kwa moto wa kuni kavu:
Sikushahu na kasungura haka hapa ambako nilikamaliza kote peke yangu, wala sikutaka kudanganywa tena kuwa tutakagawana watanzania wote.
Wakati naendelea kujichana kwa mapochopocho hayo, nikaiona ile ndege ya Lowasa hapa
Masikini "kasungura ka Lowassa".. I hope hakukamaliza...
Bi. Mdogo naandaa Bash nitawataarifu sijui kama wana JF watapenda kuja though.. au itakuwa ni kwa mwaliko tu.
It hasn't sink in yet..
Wengine tumeanza tangu jana kusherehea kwa Chupa moja ya lita tatu za Krug Grand Cuvee champagne:
Na mbuzi mzima wa kuchoma huyu hapa; nilichinja kwa mkono wangu na kumchoma kwa moto wa kuni kavu:
Sikushahu na kasungura haka hapa ambako nilikamaliza kote peke yangu, wala sikutaka kudanganywa tena kuwa tutakagawana watanzania wote.
Wakati naendelea kujichana kwa mapochopocho hayo, nikaiona ile ndege ya Lowasa hapa
Jamani eeee taratibu..watoto wa Lowasa pia hua hapa JF..wakiona hizo sherehe na chereko zenu wanaweza zimia..si mnajua mama yao alilia sana jana..sitaki Pamella Lowasa alie pia..mmh..ataniliza nami ati.
Duh! kwa hiyo sasa hivi na wewe unaomboleza lakini kishujaa.
Na huyu Jamaa hapa chini naye yuko wapi sasa badala kumtetea Lowasa wakati huu ambao ni mgumu sana kwa familia yake?
DuuuuuhhhhKichuguu, umeniacha hoi... ha ha ha ha!!
Anyway, pokea hii hapa nawe uliyoitoa kwa ajili ya Man U wakati ule, iko modified kidogo...lol !!!!
SteveD.
Yaani wewe jamaa huna aibu aiseeMnanivunja mbavu ile mbaya Lowassa na ndege yake na kasungura ka Lowassa kamekaa pembeni.... Kichuguu Mchambuzi hana cha kuchambua tena maana uchambuzi wake alikuwa anachambua pumba tupu!
Mimi nirafurahi ikiwa wale wahindi watashinikizwa warudishe pesa zetu $172 million haraka sana tena na interest, na wote walionufaika na kashfa ya Richmonduli wafunguliw mashtaka na wafilisiwe. Haya yakatokea hawa tuliowapa madaraka ya kutuongoza watauogopa ufisadi kama ukoma na hatimaye tutaanza kuona maendeleo ya kweli ya Watanzania na Tanzania.
Sad thing most of former active members are inactive now for a variety of reasons... nostalgicWe’ve come a long way....
Yaani wewe jamaa huna aibu aisee
Hahaaaaaa.... Magufuli and Lowassa utabiri huu tangu 2008!Kichuguu, umeniacha hoi... ha ha ha ha!!
Anyway, pokea hii hapa nawe uliyoitoa kwa ajili ya Man U wakati ule, iko modified kidogo...lol !!!!
SteveD.
JazbaSsenge tu huyo! Hana maana kabisa!