Tutalalamika mpaka lini?

Katika WA Afrika walioenda kupigana vita ya urusi na ukraine, hakuna mtz hata mmoja,!! Sio kwa bshati mbaya,vijana wa tz asilimia kubwa ni mazuzu! Wanawaza iphone 17,subaru, mpira,demu mkali, basi!
Nimesikiliza mahojiano ya kijsna wa Kenya 31yrs, alikuwa officer wa jeshi Kenya, akaacha, akaenda vitani urusi, kaponea chupuchupu kufa,!! Interectual capacity yake ya kujieleza, hata hawa na general wa jwtz,na vitamin vyao, hawafui dafu!
 
Mkuu nakubaliana nawewe kwenye masuala ya kupenda umbea,trending na ujinga ujinga. Ni kweli watz wanapenda hivi vitu.

Lakini pia kuwalaumu watz au kuwafananisha na mataifa mengine utakua unakosea kwa kiasi fulani. Ni lazima tujiulize ni kitu gani kinasababisha watu kupenda hivyo vitu?

Mkuu hii nchi imesukwa katika mifumo mibovu sana, Lowasa aliposema Elimu,Elimu,Elimu hakukosea hata kidogo. Angalia muitikio wa CHADEMA walipoelimisha watu kuhusu No reform No election.

Hii nchi hata wasomi ni WAPUMBAVU, hii nchi mchungaji anaweza kufanya maamuzi makubwa kuliko mume/mke. Yaani kuna ujinga na upumbavu ambao umekithiri.

Tukiondoa CCM tatizo jingine kubwa la hii nchi ni ujinga na ukosefu wa exposure.

Watanzania wengi ni mambumbumbu.
 
Viongozi mikundu funuka
Mkuu nakazia hayo maneno yako.

Hasa viongozi walioamua kuua technical schools like Ifunda.

Wakaamua kuua hadhi ya special schools like Tosamaganga, Kibaha, Tabora boy's ili wafanye biashara ya mashule private.

Walioleta shule za kata ili kuzalisha madereva bodaboda.

Walioshusha hadhi ya elimu ya chuo ya kati STASHAHADA, tumepoteza nguvu kazi kubwa sana hapa.

Special Hilo neno lako limfikie popote alipo J.KIKWETE, NDALICHAKO NA SHUKURU KAWAMBWA hawa wasenge ndio walileta upumbavu unaoitwa BIG RESULT NOW, wakafanya kila mtu aweze kupata degree. Hizo degree ndio zinafanya vijana waamini wanahitaji kuajiriwa tuu pasipo kuangalia option nyingine.
 
Kwa maana hiyo mambo magumu hatuyawezi

Ikiwemo hili linalohusu taifa letu?
 
Exactly πŸ’―
 
Aiseee!
 
Mifumo ya hii Nchi ilivyo, haitoi nafasi maoni ya wengi kufanyiwa kazi

Binafsi huwa nasema, Kamati KUU/Mkutano Mkuu wa CCM uliyokuwa na watu wajeuri wa kumbana Mwenyekiti na kujaribu kumrudisha kwenye kufikiri kwa maslahi mapana uliishia Mei, 2015 kurudisha chini

Fikiria boss namba 2 anapotezwa halafu wao wanabariki na hakuna kitu wanafanya

Hali ya utekekaji na kupotezwa watu inaonekana, na wao wamefumba mdomo

Mdororo wa Kiuchumi na kisiasa umefika hapa tulipo na wao wapo kimya

Kisa wamemwachia mtu mmoja awaendeshe anavyotaka

Wananchi walijaribu kufanya waliyofanya Oktoba, 2025

Lakini Jeshi lenye maaskari ambao baada ya kustaafu miaka 5/10 ijayo wanapata Pension ya kikokotoo cha 33% ndiyo wanaamua kutumika

Ni vigumu kupata mabadiriko iwapo Sheikh mmoja anakuwa na jeshi lake na kulitambulisha live kwenye vyombo vya habari wakati Jeshi halisi lipo na Wakuu wake wote wanaangalia πŸ™Œ

Ni kuwakatisha tamaa wenye kutaka kuleta mabadiriko, maana Uchawa unatumika kuwagawa Wananchi
 
Sahihi brother
Sasa nini kifanyike ?
 
Watu zaidi ya M60 jamani tuna shindwa guys 😒
Tujitafakari
Approach kama hizi, ni ya gharama kubwa sana ya pesa na muda.
Kwakuwa CCM wanashinda/ongoza kwa hila, wanatakiwa kupandikiziwa watu ili waje kutumika kinyume na matakwa yao kwenye critical moments.
 
Bandiko zuri sana, kiufupi kama hatutakuwa na umoja na ushirikiano hasa katika masuala muhimu ya kitaifa na kijamii, huku tukiendelea kusema hayo ni mambo ya kisiasa tuwaachie wenyewe au tukiona kwamba ni Kazi ya Lissu, Heche na Chadema tu basi tutalalamika mpaka mwisho wa dunia, bila hatua madhubuti na mikakati makini tutalalamika mpaka mwisho wa ulimwengu, ikibidi violence ihusike, hata lenin na marx walishawahi kusema in order for a changes to occur, violence must be applied if all other necessary and peaceful mean fails to bring the desired results
 
Mkuu hii nchi misingi yake ilishakuwa mibovu na Aya yako ya kwanza inadhihirisha kwamba bado tunaishi katika Karne ya zidumu fikra za mwenyekitiπŸ˜‚πŸ˜‚. Hiyo kauli ilitokana na Nyerere yeye ndie alijimilikisha mawazo mazuri na Nia njema ya nchi yetu, akajimilikisha nchi na chama chake (Rais ndie mwenyekiti wa chama).

Alijipatia kofia mbili ili iwe vigumu kumuwajibisha. Hiyo NEC imekua haina meno toka muda mrefu tofauti ni kwamba kuanzia uchaguzi wa 1995-2015 fedha ilikua inatumika kuendesha mambo ndani ya NEC.
Kuanzia uchaguzi wa 2020 hela haikutumika bali ni ubabe, kumbuka wakati JPM anachukua kijiti Cha uenyekiti alisema hawa wanaoimba wanaimani na fulani ihiiiiii...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ«΅. Tumeona mambo ya kupita bila kupingwa katika chaguzi zetu mbaya zaidi Mzee baba aligoma watu wengine kuchukua fomu.

Huyu mama nae ameendeleza mchezo uleule wa ubabe, watu wamepita bila kupingwa, yeye mwenyew hakuchukua fomu wala NEC haikupendekeza jina lolote.
Fikiria boss namba 2 anapotezwa halafu wao wanabariki na hakuna kitu wanafanya

Hali ya utekekaji na kupotezwa watu inaonekana, na wao wamefumba mdomo
Mkuu Hilo la namba mbili naona ni game plan inachezwa, Kuna chenga za mwili naziona kwa mbaaali ila ngoja tuone mwendelezo wake. Lakini kile kitendo Cha kumfuta uanachama na kumteua mwingine nafikiri ni kete nzuri ikiwa game inachezwa kama ninavyofikiri.

Mkuu mambo ya kutekana na kuuwana ndio upumbavu ambao System iliutumia ili kujaza watu hasira lakini pia wasioitakia mema nchi yetu waliitumia kutishia wale wote wanaowapinga. Ni matumaini yangu kwamba wataacha hii michezo maana haina matokeo mazuri na endapo wataendelea bhasi tutegemee MASS MASSACRE zaidi ya October 29
 
Approach kama hizi, ni ya gharama kubwa sana ya pesa na muda.
Kwakuwa CCM wanashinda/ongoza kwa hila, wanatakiwa kupandikiziwa watu ili waje kutumika kinyume na matakwa yao kwenye critical moments.
Hili ni wazo zuri ila utelekezaji sio rahisi
Au wewe unadhani inawezekana kwa namna gani?
 
Exactly πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Watanzania tumekuwa tukilalamika kila siku kuhusu uongozi na mambo mbalimbali ambayo hatupendezwi nayo
Fanya utafiti wako kwa kina , kwa marefu na mapana. Hulka ya kulalamika siyo watanzania peke yao. Nadiriki kusema 70% ya wananchi wa mataifa mbalimbali duniani ni walalamikaji hususani kwa mataifa yanayoendeshwa kwa mifumo ya kimagharibi.
 
Fanya utafiti wako kwa kina , kwa marefu na mapana. Hulka ya kulalamika siyo watanzania peke yao. Nadiriki kusema 70% ya wananchi wa mataifa mbalimbali duniani ni walalamikaji hususani kwa mataifa yanayoendeshwa kwa mifumo ya kimagharibi.
Sawa kwahiyo unataka kusemaje ?
 
Mkuu nakubaliana nawewe katika hili lakini bado hawa upinzani wanakazi kubwa sana ya kuwaelimisha watu wakaelewa.

Walitoa elimu nzuri sana kwenye No reform No election, pia wanahitaji kuwafundisha watanzania Nini maana ya uzalendo. LISSU anatoa elimu nzuri sana kuhusu uzalendo kwa nchi Yako.

Watanzania wengi ni mambumbumbu, mtu akila na kushiba bhasi hawazi chochote kuhusu kesho.

Binafsi naona CHADEMA wanafanya/wamefanya kazi nzuri lakini Bado inabidi waifanye zaidi ya hapo.

ikibidi violence ihusike, hata lenin na marx walishawahi kusema in order for a changes to occur, violence must be applied if all other necessary and peaceful mean fails to bring the desired results

Kuhusu hii option nakubaliana nawewe πŸ’― lakini hii option ndio ilileta madhara ya October 29. System ilitaka kutumia backup ya wananchi ili kurudisha madaraka waliyopokwa. Nafikiri endapo tutataka kutumia huu mfumo bhasi tukubali MASSACRE.

Tusikubali kupeleka mbele wananchi pasipo mfumo sahihi wa kuwalinda, tunapoteza nguvu kazi kwa ujinga wa watu wachache.

Mimi naamini hii game TEETH wanaweza kuicheza vizuri sana na wakatumia madhara ya October 29 kupata sympathy ya wananchi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…