Tutakaa sawa tu, Mwenyekiti katuita kuchukua kuponi za kununua sukari!

Ni mtu mjinga tu atakayeshangilia hili ulilolileta hapa

Uchumi wa sasa hauendeshwi kwa maguvu kama ya John cenar

Uchumi unaendeshwa kwa akili na kanuni

Muda si mrefu mtakuja kuanza kupiga makofi vinginevyo....Bei ya sukari haishushwi kwa mtindo huo
 
Kwa mara ya kwanza uwepo wa serikali mtaani kwangu unaonekana!

Mwenyekiti kupitia wajumbe wake katutangazia tukachukue kuponi za kununulia sukari kwa bei elekezi ya sh 1800.

Nimeenda na kwa mara ya kwanza kwa kipindi cha miaka saba nikamtambua mwenyekiti wangu wa mtaa na akanipa kuponi ya kwenda kupata sukari kwa bei iliyoekekezwa.

Kwa wanaosema Magufuli hajengi system basi wajiulize mara ya pili...kwani serikali imeonesha uhai wake kwenye level ya mtaa...

#hapakazitu
Katika hiyo Miaka 7 chama chako sindio kilikuwa kinatawala? Namlikuwa mnarukaruka kweli kwamba Nchi iko sawa sasa Leo mnakuja na kauli kama hzi tunaelewaje
 
Yan CCM imeturudisha kwenye Coupon! !!!!!!! Akiamungu siku nikipigia kura CCM naomba Ninyongwe mpaka kufa.
Na kama uliwahi kuiamini ccm ni kumuomba Mungu toba maana haya ya kuponi ni mateso sasa sijui nchi gani ya kuwa nchi ya viwanda inatumia kuponi kwa bidhaa kama sukari
 
Mimi ni Shabiki wa serikali inayoongozwa na JPM na nitaendelea kuwa hivyo...simshabikii kinyumbu bali kwa hoja zinazooeleweka.
Ningekuwa nimeiona username yako mapema wala nisengehangaika kukujibu,anyway sikulaumu sana kwani mfumo mzima wamaisha uliokukuza kuanzia elimu mpaka lishe chini ya serikali na chama chako pendwa tokea ukoloni ndo imeinfluence mentality ya aina hyo uliyonayo.Cha kufanya ni kuomba mungu tu akuondolee wingu zito la ujinga liliofunika akili yako
 
Huyo MTU hadi uMAUTI unamkuta hatakaa aione nuru....sababu miongoni mwao wanamiliki Vichwa kufugia nywele tu
 
hichi ni kituko kingine cha mwaka.

yani mwananchi hapati sukari mpaka awe na coupon alafu mjinga anafurahia.
 
Kwa mara ya kwanza uwepo wa serikali mtaani kwangu unaonekana!

Mwenyekiti kupitia wajumbe wake katutangazia tukachukue kuponi za kununulia sukari kwa bei elekezi ya sh 1800.

Nimeenda na kwa mara ya kwanza kwa kipindi cha miaka saba nikamtambua mwenyekiti wangu wa mtaa na akanipa kuponi ya kwenda kupata sukari kwa bei iliyoekekezwa.

Kwa wanaosema Magufuli hajengi system basi wajiulize mara ya pili...kwani serikali imeonesha uhai wake kwenye level ya mtaa...

#hapakazitu
Tuakujua wewe ni
 
kweli ww ni jinga hicho ndo kitu cha kujisifia kununua kwa kuponi? kweli misukule mna kazi akili zimeganda wenzio wanawaza kufanya maendeleo wewe kutwa kuwaza chai nyambafuu
 
Back
Top Bottom