jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,950
- 29,532
Kwa mara ya kwanza uwepo wa serikali mtaani kwangu unaonekana!
Mwenyekiti kupitia wajumbe wake katutangazia tukachukue kuponi za kununulia sukari kwa bei elekezi ya sh 1800.
Nimeenda na kwa mara ya kwanza kwa kipindi cha miaka saba nikamtambua mwenyekiti wangu wa mtaa na akanipa kuponi ya kwenda kupata sukari kwa bei iliyoekekezwa.
Kwa wanaosema Magufuli hajengi system basi wajiulize mara ya pili...kwani serikali imeonesha uhai wake kwenye level ya mtaa...
#hapakazitu