tutaishije jamani?

Sasa hivi fuatilia NBA playoffs, World Cup Qualifies na Intl friendlies halafu utaunganisha na Euro 2012 mwisho unakamua Summer Olympic games....hapo EPL haijaanza tu?
 
With immediate effect Cantalisia and Rejao are strictly prohibited to be seen around Fyatanga Zone.

Imetolewa na Idara ya Usalama wa Fyatanga.
Hee hee hee hee,
Babu Asprin muulize huyo mkuu wa usalama Fyatanga boss wake ni nani then ndio utajua namna atakavojutia hili tangazo maana linamaanisha kupoteza kazi yake lol!

Km upo arround panda kaunta ya juu utatukuta na papa 2Rejao mme wangu kupenzi tunapa hapa taraaaatibu!!!
 
Last edited by a moderator:
uchonganishi huo sasa.

Huo ni uchonganishi sasa.
Rejao,nakuaminia mwanangu,mi na wewe tena?
Hahahahaaa unajifanya mpole eeeeh Bishanga una bahati Rejao mpole kamakondoo ila ungekutana na mwingine angeshakuporomoshea ndizi zako kitambo
 
Last edited by a moderator:
hahah kweli umenikumbusha mbali
Teh teh FirstLady1 ni mbali sana aisee lol
Nakumbuka enzi zile mipira mingi ya fainali ilikuwa inachezewa Uwanja wa Amani Zanzibar usiku Dah
Dah nawakumbuka sana akina Muhamedi Mwameja na Akina Anko Thom Kipese unawakumbuka?
 
Last edited by a moderator:
Asprin naomba ufafanuzi wa Fyatanga Zone
Ndio eneo pekee kuanzia Tegeta mpaka Bunju ambalo mbuzi wakipita karibu nalo lazima waangalie kibla na kupiga kelele wakihofia kufa kwa upanga...... Jamaa wamezaliwa kwa ajili ya kazi moja tu: Kuchinja na kuchoma mbuzi... Manina zao wallah!
 
Ndio eneo pekee kuanzia Tegeta mpaka Bunju ambalo mbuzi wakipita karibu nalo lazima waangalie kibla na kupiga kelele wakihofia kufa kwa upanga...... Jamaa wamezaliwa kwa ajili ya kazi moja tu: Kuchinja na kuchoma mbuzi... Manina zao wallah!

Magari yanajaa hapo utadhani nyama wanagawa bure.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom