Kuna mzembe m1 kanambia eti Hasheem Thabit kasajiliwa na chama langu liverpool. Kama ni kweli mwaka huu lazima tuchukue kombe la dunia. Kulaaleki hivi leo jumangapi, mbona mshahara haujaingia?
Una hatari wewe!
Halafu kuna mahali nimeona Tanmo anaomba wanawake wambusu,halahala mti na jicho,wahi uangalie kama mkeo hajarusha busu.
Kuna mzembe m1 kanambia eti Hasheem Thabit kasajiliwa na chama langu liverpool. Kama ni kweli mwaka huu lazima tuchukue kombe la dunia. Kulaaleki hivi leo jumangapi, mbona mshahara haujaingia?
Kuna mzembe m1 kanambia eti Hasheem Thabit kasajiliwa na chama langu liverpool. Kama ni kweli mwaka huu lazima tuchukue kombe la dunia. Kulaaleki hivi leo jumangapi, mbona mshahara haujaingia?
Canta,kumbe na wewe ni mpenzi wa mbuzi choma?Khaaa!
Shiikamoo babu!
Tupo hapa Fyatanga kaunta ya juu na papa Rejao,leo ijumaa mshahara mpaka tarehe 40 lol!
kukaa ndani yahitaji moyo ati,sasa utatoka unasingizia nini?
huyu jamaa anatafuta sababu ya kupata nafasi ya kunywa biere na nyumba ndogo hapo rose garden au break point, naona shem kambana.
Hahahahaaa na LIPULI ya Iringahivi team za majimaji na pamba zimeishia wapi?
Dah haya matusi makubwa sana unamaanisha Rejao ni 'Mbuzi Choma' coz yeye ndio mpenzi wa CantalisiaCanta,kumbe na wewe ni mpenzi wa mbuzi choma?
Mi kuna siku nilikwenda wakanifanyia chenchi dola sijawahi kurudi tena.
hhahahahah....lol! Bishanga hebu tutake radhiDah haya matusi makubwa sana unamaanisha Rejao ni 'Mbuzi Choma' coz yeye ndio mpenzi wa Cantalisia
Please watake radhi haraka Bishanga
Dah haya matusi makubwa sana unamaanisha Rejao ni 'Mbuzi Choma' coz yeye ndio mpenzi wa Cantalisia
Please watake radhi haraka Bishanga
We Cantalisia unataka kusema mnavyokuja kunichuna na hilo buzi lako Rejao ndo kampani mnayonipa? Kampani au hasara? Manina wallah
We Cantalisia unataka kusema mnavyokuja kunichuna na hilo buzi lako Rejao ndo kampani mnayonipa? Kampani au hasara? Manina wallah
hivi team za majimaji na pamba zimeishia wapi?