tutaishije jamani?

weng wanajua mida ambayo Asprin amelewa ili wapate comedy.
Siku 1 akatangaza kuwa ye ni mkuu wa wilaya mpy ya Tegeta

Amekuwa issa michuzi? Yeye ndo aliwahi kutangaza kwenye blog yake kuwa yeye ni dc wa tegeta.
 
Amekuwa issa michuzi? Yeye ndo aliwahi kutangaza kwenye blog yake kuwa yeye ni dc wa tegeta.

teh teh teh. Nadhan wanakuwa wame2mia kinywaji sawa wakati wanatangaza hcho cheo. Pale fyatanga wanamwta Asprin mhe DC.
Tarehe zkiwa dume anasngzia kuwa ana dozi.
 
Ndio eneo pekee kuanzia Tegeta mpaka Bunju ambalo mbuzi wakipita karibu nalo lazima waangalie kibla na kupiga kelele wakihofia kufa kwa upanga...... Jamaa wamezaliwa kwa ajili ya kazi moja tu: Kuchinja na kuchoma mbuzi... Manina zao wallah!
Hahahahahaaaa maelezo nimeyaelewa ila umemalizia hapo kwa kunivunja mbavu.....Hapo kwenye Bold
Duh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom