tusker project fame siwaelewi

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,110
115,899
nilikuwa a big fan wa tusker project fame

but hii ya sasa siielewi kabisaaaa

hemed karudi kufanya nini?????????

yuko wapi dr mich???????????

alpha na davis si walishashinda????????

sasa wamerudi ili iweje????????????????

halafu mwaku huu kumbe sio live,why???????????
 
watakua wamechakachua!hata mm sijaelewa!nimeangalia tangu mwanzo haileweki!afu msechu sijui hata kama ame perform!au ametolewa!haieleweki
 
JF wakati mwingine kunaboa kweli.Wageni wakileta thread zao za vyuo na mapenzi mnajifanya kuwaponda eti wapeleke sehemu hisika(FB) wakati wenyeji tu hawaweki thread zao sehemu husika.Sasa mambo ya project femu mara sijui taska yanahusiana vipi na jukwaa la MMU?!Kama unadhani kwingine haitachangiwa watumie watu link kwenye Pm.
 
na wewe ungepeleka malalamiko yako jukwaa la complain sio hapa...
 
duhhhh
msaada wangu hapa ni bure
maana hata sijuo hiyo Tusker Project Fame ni ni...
Elimu kidogo The Boss.. sante..
 
JF wakati mwingine kunaboa kweli.Wageni wakileta thread zao za vyuo na mapenzi mnajifanya kuwaponda eti wapeleke sehemu hisika(FB) wakati wenyeji tu hawaweki thread zao sehemu husika.Sasa mambo ya project femu mara sijui taska yanahusiana vipi na jukwaa la MMU?!Kama unadhani kwingine haitachangiwa watumie watu link kwenye Pm.
da! umekomalia hii ishu kweli umeamua na inaoneka una wito kinoma.
 
Back
Top Bottom