Facult wamemsave nani huyu.......jina lanizingua mie
Fase ndo faculty wamesave
kama ni yule mkaka wa kenya anaitwa fess
shost nipo hapa na mshumaa na haka kamchina kangu ndio angalau kananipa jeuri
Jmn undercover wamesepaaa na mkenyaa michelle
Ktk undercover nahic huyu mweuc kaumia zaid
haaaa! jamani michelle! jenifa ameponaje?
hadi sa hivi hamna umeme pole..................
haaaa! jamani michelle! jenifa ameponaje?
okay
sasa hawa wamemsave jennifer
kwangu mie her voice isn't stong,ngoja nitabiri...anakua katika hatari tena kesho
feel sory for the undercover brothers..michelle yuko vizuri than jenifa