CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
haya mwayego nitakushtua tena next weekWadau naonekana ON&OFF duh hapa najipanga kwa ajili ya week nzima kwa mkoloni... Yaan achen udada kazi! Ninyi endeleen...
atug, DEMBA, Heaven on earth
Niwashukuru woote for the company ktk kuangalia hizi show (tusker and ebss) u made ma day.
atug usijali mwaya Heaven on earth hawez kutukimbia huyu wetu. jameni alamsiki wapendwa.heaven usitukimbie... Demba tujitahid asitukimbie.. back to swali lako heaven mhh atleast mwaki
atug usijali mwaya Heaven on earth hawez kutukimbia huyu wetu. jameni alamsiki wapendwa.
atug usiku mwema pia....kuona show kama hizi hlafu mnashea mawazo raha sana....Poaa Demba,ngoja nitafute company kwingine. Alamsik pia
charminglady usijali....mie hata nguo ya kesho sijanyoosha na mkoloni ananihitajiWadau naonekana ON&OFF duh hapa najipanga kwa ajili ya week nzima kwa mkoloni... Yaan achen udada kazi! Ninyi endeleen...
atug, DEMBA, Heaven on earth
Niwashukuru woote for the company ktk kuangalia hizi show (tusker and ebss) u made ma day.
heaven usitukimbie... Demba tujitahid asitukimbie.. back to swali lako heaven mhh atleast mwaki
haa haa mie ndio kwanza kumekucha bila kuiona siku mpya sijalala bado.
Salama kamwambia mwaki..zile nywele zake kama nini.........
Heee... kumbe bado mpo! Haya mie nishamaliza kujiandaa, nalala now byeeeee wapendwa!!!!!