Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,555
- 127,917
Hahahaaaa. Lol.Watu na miguno yenu[emoji23] [emoji23]
Hahahaaaa. Lol.Watu na miguno yenu[emoji23] [emoji23]
Zipo namna nzuri tu za kupeana adhabu(huwa naziita adhabu shirikishi)[emoji23] [emoji23]Hawajiamini
dada yako akipigwa hivo urudi hapa kuitetea sentensi hiyo.Tatizo wanawake wana vimdomo Sana wapigwe tu maana hamna namna
Huenda wanachezea kichapo lakini inabakia siri ya ndoa.Nina bahati dada zangu hawapewi kichapo ningeua mtu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hahaa!!! Mtaje wewe jf is a safe placeMtaje[emoji16][emoji16]
Kipigo ndo dawa, kwaUmeonaeeee. Kipigo hakiwezi badilisha kitu zaidi ya kuongeza tatizo.
Unaona Sasa mbona wewe hujatumia mazungumzo kutatua tatizo na shemeji yako, hata wanawake wapigwe tu kuna matatizo hayahitaji mazungumzo kama wewe hapo shemeji yako amenyoka hajampiga tena dada akoTunatofautiana ndugu
Kama wewe utataarifiwa kuwa dada yako kapigwa(kajeruhiwa) na shemeji yako kiasi cha kulazwa hospitali ukaenda ukashuhudia mwenyewe kwa macho yako jinsi unyama aliofanyiwa dada yako bado ukaona ni sawa tu ukaamua kumchekea chekea huyo shemeji yako kwa kisingizio cha kuyasuluhisha! hiyo ni wewe na una moyo saana
Ila kwangu mimi sikuweza kuvumilia nikaikomesha ile tabia yake chafu, mbaya na ya unyama kama ule, nashukuru Mungu hajarudia tena tangu miaka ile hadi leo
The point is mpaka mwanaume ampige mwanamke kuna chanzo, haiwezekan mtu akakurupuka tu kumpiga mwanamke bila sababuda
dada yako akipigwa hivo urudi hapa kuitetea sentensi hiyo.
Piga ww ndugu ,kama unaona fahari sana.Unaona Sasa mbona wewe hujatumia mazungumzo kutatua tatizo na shemeji yako, hata wanawake wapigwe tu kuna matatizo hayahitaji mazungumzo kama wewe hapo shemeji yako amenyoka hajampiga tena dada ako
Na wewe ungemuu shemeji yako ungesema nini, ungeila nyama yake?Piga ww ndugu ,kama unaona fahari sana.
Hivi ukimpiga akafa utasema nini? au utaila nyama yake?
Nishakwambia we jiendekeze tu kupiga mkeoNa wewe ungemuu shemeji yako ungesema nini, ungeila nyama yake?
Mara nyingi mtu aliyesoma na akaelimika ni mtu mstaarabu na aisiyependa kabisa vurugu wala mifarakano yoyote.Mi nilichogundua wanaume wasiosoma huwa wanapiga sana wanawake na kuwatesa hawajiamini.
mwanaume aliesoma hawezi kupiga mwanamke kuna namna atamwacha mwanamke kama ana makosa.
usijitie vijiti masikioni *nakuuliza angekuwa dada /mama /shangazi yako ndo uje utetee sentensi yako*The point is mpaka mwanaume ampige mwanamke kuna chanzo, haiwezekan mtu akakurupuka tu kumpiga mwanamke bila sababu
Wanaume wasomi wanaowapiga wake zao hawapigi kipigo kikali kama wale wasiosoma.Mi nilichogundua wanaume wasiosoma huwa wanapiga sana wanawake na kuwatesa hawajiamini.
mwanaume aliesoma hawezi kupiga mwanamke kuna namna atamwacha mwanamke kama ana makosa.