Iv mkuu mm na wewe tugombane AF kaka ako aje kuingilia ugomvi?Hahaaa. Bora umuache tu aende zake bana kuliko kutoa kipigo.
Wengi huwa hawawazi huko na huwa ikitokea mtu ameua basi yanabaki majuto tu.Ni upumbavu tu umetutawala wanaume wavulana tusiojielewa. Huwa nawaza kwa mfano umempiga akafa hivi utasema nini?
Naishi kwa shemeji yangu mimi!!! Hiyo nyumba yenyewe wanayoishi nimechangia mno kuijenga.Kwanza kwa nn unaish kwa shemej yako karne hii?
Mimi ntapiga wote mkasimulie na ukoo wenu..sina historia ya kumpiga mwanamke ile ikitokea af ndugu zake wakaingilia ntaweka historia
Hahaaa. Unajua hapo ndugu wanaingiaje, wanaingia pale ugomvi unapoishia kwenye kutoa kipigo mpaka mtu anafikia hatua ya kulazwa.Iv mkuu mm na wewe tugombane AF kaka ako aje kuingilia ugomvi?
Ni aibu kubwa mno kwanza kiafrica ni kama mmeolewa wote
Hupigi mwanamke ndio maana unayasema hayo. Kama kakushinda si umwache ukatafute mnayewezana nae!Kwanza kwa nn unaish kwa shemej yako karne hii?
Mimi ntapiga wote mkasimulie na ukoo wenu..sina historia ya kumpiga mwanamke ile ikitokea af ndugu zake wakaingilia ntaweka historia
Hahaaaa. Nasikia mwanamke asipopigwa basi anasema mume wake hana mapenzi kwake. Lol.Kuna kabila upendo ni kipigo.
We bwabwaja tu, lakini ukizingua utauona moto wakeIv mkuu mm na wewe tugombane AF kaka ako aje kuingilia ugomvi?
Ni aibu kubwa mno kwanza kiafrica ni kama mmeolewa wote
Punguani kbs wanaopiga wanawakeWengi huwa hawawazi huko na huwa ikitokea mtu ameua basi yanabaki majuto tu.
Anajinyea nyea tu huyo hajakutana na wanyosha tabia huyo. Unampiga mkeo hadi anapoteza uhalisia wa sura yake!!?Hahaaa. Unajua hapo ndugu wanaingiaje, wanaingia pale ugomvi unapoishia kwenye kutoa kipigo mpaka mtu anafikia hatua ya kulazwa.
Hapo lazima ndugu waingilie Mkuu hata kama mke ni wa kwako.
MythHahaaaa. Nasikia mwanamke asipopigwa basi anasema mume wake hana mapenzi kwake. Lol.
Na unakuta kipigo chenyewe kimetokana jambo ambalo lingeweza kumalizika kwa mazungumzo tu.Anajinyea nyea tu huyo hajakutana na wanyosha tabia huyo. Unampiga mkeo hadi anapoteza uhalisia wa sura yake!!?
Mkuu kama umemjengea shemej nyuma ni haki yako kumpa kipigo maana mnamilikiNaishi kwa shemeji yangu mimi!!! Hiyo nyumba yenyewe wanayoishi nimechangia mno kuijenga.
Ukutane na hao hao wanaokuchekea kwa ujinga wako wa kupiga mwanamke kwa kujidanganya kwamba unamrekebisha
Shemeji yangu nae alijidanganya hivo hivo akijua yy ni mwamba sana lakini kipigo nilichoenda kumpa akapelekwa hospitali kuskilizia raha yake inavokuwa alinyosha mikono
Nakumbuka nilimuuliza sana shemeji yangu wakati anajitambukisha kwamba unampenda kweli au unamtamani tu? Maana kama kweli unampenda basi mtavumiliana katika kila hali. Alijibu nampenda- siku ile nimepewa taarifa kuwa kampiga kiasi cha kutaka kumuua, nimesafiri kwenda kuona ile hali nikona hii haikubalikiNa unakuta kipigo chenyewe kimetokana jambo ambalo lingeweza kumalizika kwa mazungumzo tu.
haikubaliki kabisa hivi visaWanaume tumejisahau kama....:
1.Mwanamke ni pambo au ua ambalo muda wote linahitaji uangalizi na maji ili lichanue na kustawi.
2.Mwanamke anahitaji kubembelezwa/kudekezwa vijana wanaita kupet pet.
3.Mwanamke ni sawa na Mungu wa pili bila yeye kukuweka tumboni miezi tisa leo usingejiita kidume.
4.Mwanamke hapigwi ngumi bali hupigwa na upande wa Kanga..Haimaanishi umefukuzwa kazi,pombe zako,umegombana na bosi wako,vyuma kukaza basi hasira zako zote ukazihamishie kwa mkeo kwa kumpa kichapo.....!!!
Ewe mwanamke unayenyanyasa Mungu anasikia kilio chako hakika amekuandalia pepo nzuri huko mbinguni.
Ulaaniwe popote ulipo Mwanaume unayemtesa na kumpiga mwanamke kiasi hiki....Nawapenda wanawake wote duniani,nawapenda wanawake wote wa JF .
View attachment 772100View attachment 772101
Ndio uwezo wako wa kufikiri ulipoishia hapo au sio!Mkuu kama umemjengea shemej nyuma ni haki yako kumpa kipigo maana mnamiliki
Ila sio mm nilie jitafutia kwa jasho langu AF mje mnipandishie we na nduguyo
Tena kitendo cha wewe kumuona dada yako ananiletea kibur mbele yako ukanyamaza mm ntaanza na wewe ili nikirud kwa dada yako nimpige kwa Uhuru
[emoji1][emoji1][emoji1]Hahaaaa. Nasikia mwanamke asipopigwa basi anasema mume wake hana mapenzi kwake. Lol.
Kwanza kumpiga mwanamke ad kufikia hatua ya kulazwa ni upumbafu,mm sina tabia ya kumpiga mwanamke tukishindwa kuelewana hua naondoka ata kama ni saa9 usikuHahaaa. Unajua hapo ndugu wanaingiaje, wanaingia pale ugomvi unapoishia kwenye kutoa kipigo mpaka mtu anafikia hatua ya kulazwa.
Hapo lazima ndugu waingilie Mkuu hata kama mke ni wa kwako.