Tusiwatese na kuwaonea wanawake kiasi hiki

Tusiwatese na kuwaonea wanawake kiasi hiki

Namba 3 nakupinga sana mwanamke umfananishe na mungu, hata kama unamsifia mtu au kitu usikifananishe na mungu
Hii haulazimishwi ni kama imani tu,Watu wanaamini Mungu alimuumba binadamu na pia huamini pindi uko tumboni mwa mwanamke basi nae hushiriki kukuumba
 
Heshima imekewepo saana baada ya kipigo nilichompa, na sikumshirikisha mtu yyt maana nilimkadiria tu nikaona yule namuweza mbona alikaa chini mikono juu akaapa kbs kwamba hatorudia tena upunguani wake

Maana nilimpa kipigo hadi dada yangu mwenyewe alimuonea huruma. Hajampiga tena hadi leo ,na nilimwambia siku ukirudia utajutia

Ananishukuru kwakuwa nilimsaidia sana kuliondosha pepo lile alilokuwa nalo ka kupiga piga mwanamke
Hahaaa. Hadi dada naye lol.

Mie naona wanaume wengine huwa wanajaribu kutoa kipigo akiona kimekubalika basi ndio kingekuwa endelevu hicho.
 
Mara zote nasema hapa jamvini kuwa ndoa huitaji hekima na busara katika kutatua matatizo.Cha msingi inapotokea tofauti au kutoelewana busara itumike,kupigana au kutoleana matusi hakusidii,ni bora mukaachana katika amani.Tatizo kubwa linatokea wote wawili mnapokuwa na viburi na kutokubali madhaifu yenu,hivyo tuepuke hili ili kuweza kudumu katika ndoa.
 
Lakin sasa yeye na dada yake watakua wanapikishana

Siku shemeji yangu ataingilia ugomv wangu na mke wangu wataondoka wote kimoja
Dada yangu akiachika sio mwisho wa uhai wa maisha yake, ila kumpiga kiasi kama kile alichokuwa kapigwa hadi kalazwa ,sura hujui huyu ni nani!!? Hapana.

Kakushinda muache tu
 
Ofcourse haiwezi kuwa wote, ila asilimia kubwa wasomi hawapigi, but the reverse is true
Huwa mnaishia kununa tu. (Nina mfano hai kwa hili rafiki [emoji85] [emoji85] lol) hahahaaaa.
 
Wanaume tumejisahau kama....:

1.Mwanamke ni pambo au ua ambalo muda wote linahitaji uangalizi na maji ili lichanue na kustawi.

2.Mwanamke anahitaji kubembelezwa/kudekezwa vijana wanaita kupet pet.

3.Mwanamke ni sawa na Mungu wa pili bila yeye kukuweka tumboni miezi tisa leo usingejiita kidume.

4.Mwanamke hapigwi ngumi bali hupigwa na upande wa Kanga..Haimaanishi umefukuzwa kazi,pombe zako,umegombana na bosi wako,vyuma kukaza basi hasira zako zote ukazihamishie kwa mkeo kwa kumpa kichapo.....!!!

Ewe mwanamke unayenyanyasa Mungu anasikia kilio chako hakika amekuandalia pepo nzuri huko mbinguni.

Ulaaniwe popote ulipo Mwanaume unayemtesa na kumpiga mwanamke kiasi hiki....Nawapenda wanawake wote duniani,nawapenda wanawake wote wa JF .



View attachment 772100View attachment 772101

Hiyo picha ya kwanza, uyo mwanamke alivamiwa na mazombi (ccm) uko Zanzibar na kumpiga na kumkatakata na panga.
 
Dada yangu akiachika sio mwisho wa uhai wa maisha yake, ila kumpiga kiasi kama kile alichokuwa kapigwa hadi kalazwa ,sura hujui huyu ni nani!!? Hapana.

Kakushinda muache tu
Kwanza kwa nn unaish kwa shemej yako karne hii?

Mimi ntapiga wote mkasimulie na ukoo wenu..sina historia ya kumpiga mwanamke ile ikitokea af ndugu zake wakaingilia ntaweka historia
 
Hahaaa. Hadi dada naye lol.

Mie naona wanaume wengine huwa wanajaribu kutoa kipigo akiona kimekubalika basi ndio kingekuwa endelevu hicho.
Ni upumbavu tu umetutawala wanaume wavulana tusiojielewa. Huwa nawaza kwa mfano umempiga akafa hivi utasema nini?
 
Back
Top Bottom