Tusiwatese na kuwaonea wanawake kiasi hiki

Mi nilichogundua wanaume wasiosoma huwa wanapiga sana wanawake na kuwatesa hawajiamini.

mwanaume aliesoma hawezi kupiga mwanamke kuna namna atamwacha mwanamke kama ana makosa.
Ulisoma somo gani vile mkuu[emoji57]
 
Nao wanawake mna moyo aiseee, unakuta mtu kakupiga kiasi kama hicho bado unazubaa zubaa tu hadi siku akuue
 
Kifupi tu ni kwamba acha kumpiga/kumjeruhi mkeo
Mkuu narudia tena SIWEZI MPIGA MWANAMKE tukishindwa kuelewana mji ni mkubwa huu ntajichagulia mtaa kwa mda

Nachopingana na wewe ni wewe na Dada yako kumchangia shemejio..wakati ulikua na uwezo wa kumuita pemben mkaongea na kueleweshana kirafiki kabla ya kufikia huko
 
Tunatofautiana ndugu

Kama wewe utataarifiwa kuwa dada yako kapigwa(kajeruhiwa) na shemeji yako kiasi cha kulazwa hospitali ukaenda ukashuhudia mwenyewe kwa macho yako jinsi unyama aliofanyiwa dada yako bado ukaona ni sawa tu ukaamua kumchekea chekea huyo shemeji yako kwa kisingizio cha kuyasuluhisha! hiyo ni wewe na una moyo saana

Ila kwangu mimi sikuweza kuvumilia nikaikomesha ile tabia yake chafu, mbaya na ya unyama kama ule, nashukuru Mungu hajarudia tena tangu miaka ile hadi leo
 
Hilo la kutokupiga wake zetu nakubaliana na ww, tukishindwana nao tuwaache tu
 
Tunatofautiana ndugu

Kama wewe utataarifiwa kuwa dada yako kapigwa(kajeruhiwa) na shemeji yako kiasi cha kulazwa hospitali ukaenda ukashuhudia mwenyewe kwa macho yako jinsi unyama aliofanyiwa dada yako bado ukaona ni sawa tu ukaamua kumchekea chekea huyo shemeji yako kwa kisingizio cha kuyasuluhisha! hiyo ni wewe na una moyo saana

Ila kwangu mimi sikuweza kuvumilia nikaikomesha ile tabia yake chafu, mbaya na ya unyama kama ule, nashukuru Mungu hajarudia tena tangu miaka ile hadi leo
Kama ilifikia hatua ya kulazwa acha nikuunge mkono tu mkuu maana hyo shemejio nae ni bwege yan afanye kosa kubwa kiasi hcho af bado ajilete kwako kiraisi

Ungemvunja tu mahali
 
Pia ni seme kwa karne hii kumpiga mwanamke kiasi hicho ni ujimga wa kiwango cha huu

Wanawake hawabadiliki kwa kipigo kama sio mwelewa ata ujeuze dunia juu chini haitasaidia
 
Kama ilifikia hatua ya kulazwa acha nikuunge mkono tu mkuu maana hyo shemejio nae ni bwege yan afanye kosa kubwa kiasi hcho af bado ajilete kwako kiraisi

Ungemvunja tu mahali
Alimjeruhi kiasi cha kulazwa hospitali, ni kama alidhamiria kumuua kbs! kosa lenyewe la kijinga.

Nilimuuliza hivi akifa utaeleza nini? hana jibu
 
Basi ulichokifanya kilimstahili mkuu

Kumpiga mwanamke ni ujinga
 
Mi nilichogundua wanaume wasiosoma huwa wanapiga sana wanawake na kuwatesa hawajiamini.

mwanaume aliesoma hawezi kupiga mwanamke kuna namna atamwacha mwanamke kama ana makosa.
Wapo wenye degree zao wanadunda wake zao. Wengi tu
 
Back
Top Bottom