Tusiwaoe waliopo kwenye mahusiano Kwaajili ya kutukamua pesa

Amos David Mathias

JF-Expert Member
Sep 3, 2022
1,574
3,029
Nimeandika hivi baada ya kukutana na post Moja Zari kaandika;

"Binti kama UKIPATA nafasi ya kucheat Kwa ajili ya pesa basi tafadhali Fanya hivyo.
Hawa wanaume Wana cheat Kwa ajili ya vitu vya kipumbavu kama mapaja meupe, matako makubwa ,maziwa makubwa.

Binti ukipata nafasi cheat Kwa ajili ya kununuliwa nyumba,cheat Kwa ajili ya kununuliwa kiwanja,Cheat Kwa ajili ya kupata gari la ndoto zako.Ndivyo ilivyo."

Niishie kusema labda ndyo maana yule Serengeti boy wake anacheat na yeye Zari Ili amiliki Mali zake.

Wanawake hawajaumbiwa tamaa ndyo maana wanashangaa mtu kucheat Kwa ajili ya shepu au paja jeupe.Hisia zao zipo mbali mpaka zitafutwe sio kama wanaume nafikiri Zari hajaelewa hili.

Itoshe kusema oa mwanamke mwenye hofu ya Mola wake asije akacheat kwaajili ya nyumba na gari na viwanja na asicheat kabisa Kwa sababu yoyote.
 
Instagram ni dunia nyingine, kuna mazombie wenzake anaowaandikia hayo.

Sidhani kama huyo fuska wa Kiganda kama ana hadhi ya kujadiliwa hapa.

Haya mambo malizeni hukohuko Jamhuri ya Instagram.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom