Tusiwalaumu Waingereza kwa Ubaguzi hata Bill Clinton alivyokuja Tanzania alitumia Toyota Hiace kama usafiri wake

Nimeona Mitandaoni hapa nchini kwetu, baadhi ya watu wakitoa maoni yao kuhusu viongozi wa Africa na usafiri walioutumia walipokuwa wanaelekea eneo la msiba wa Malkia Elizabeth.

Mwanzoni nilifikiri ni Tanzania pekee lakini nimeona hata Kenya nao baadhi ya watu wanasema kwamba viongozi wa Africa wamedharauliwa akiwemo wa Rais wao William Ruto

Lakini Jambo ambalo watu wengi hawajui ni kwamba Kuna viongozi mbalimbali wa zaidi ya mataifa mia moja 100 duniani na kila kiongozi akiwa na msafara ni gharama kubwa sana. Pia ingelazimu Askari wengi zaidi kuhudumia misafara ya viongozi hao...

Pia viongozi kutoka Asia nao waliwekwa Gari la Pamoja.

Viongozi kutoka South America nao walikaa gari la pamoja

Baadhi ya viongozi wa Ulaya pia waliwekwa Gari la pamoja

Suala la kila Kiongozi kuwa na msafara wake binafsi ni
Kitu ambacho Serikali ya Uingereza ingekuwa vigumu kulitekeleza ndani ya Muda mfupi. Yangetakiwa yafanyike maandalizi ya miezi mitatu kabla.

Huyu ni Bill clinton Alivyokuja Tanzania akiwa tayari ni rais msataafu wa Marekani, alitumia Hiace kama usafiri wake na akaenda nayo mpaka ikulu na kukutana na Rais Kikwete wakati huo.

Kuna msemo Unasema Maskini akila Dagaa anaambiwa ni kwa sababu hana kitu lakini Tajiri akila Dagaa anaambiwa anaimarisha Afya.View attachment 2361548View attachment 2361547
View attachment 2361551
Pumbavu Sana
IMG_20210320_233018.jpeg
 
Pengine umejifunga mawazo hutaki kuuelewa uhalisia, in fact public opinion inaona viongozi wa kiafrica wamedharaliwa na wazungu, na comment zipo nyingi tu wala halina ubishi.

Na hoja kubwa ni why Biden ameruhusiwa kuwa na motorcade.
Hilo swali uliza Serikali ya UK
 
Akili za KiAfrica ni za kipumbav na kipuuz + inferiority complex , hao vibwengo na ngozi zao nyeusi kama wamepakwa masizi wanauthamani gani tofauti na wale WA Asia ,South America na Europe ambao kila continent walikuwa grouped kwenye gari moja moja ?
Hizi hasira za nini? Wewe weusi wako haujapakwa masizi au ndiyo wale mnaojichubua muwe weupe pee na mjione bora sana.Ulikuwa na point ya maana sana lakini uwasilishaji wake ni mbovu mwafrica mwenzetu mweusi tiii uliyepakwa masizi pia.
 
Kwanza mimi natamani wangewawekea classes kabisa wajione !! viongozi wa ulaya na bara la Asia wangewaruhusu wakawa na misafara ! Au special car hata kama ni moja

Halafu waafrica wawaweke kwenye Yutong moja tu lijae , Bi mkubwa akose nafasi !! Ruto ashikilie Bomba ! Kagame aambiwe gari limejaa tutakufata trip nyingine subiri kituoni!!
Wakifika kwenye utambulisho viongozi wa ulaya waitwe wahutubie au wasimamishwe mmoja mmoja kwa heshima !! Wakifika kwa Waafrica wawasimamishe wote kwa pamoja wapunge mikono wakae chini !!

Baada ya hapo hakuna vyombo vya habari kuwahoji sijui BBC , Aljazeera ,CNN labda kama walibeba TBC yao
Kwenye kukaa wawekwe kwenye jukwaa lao peke yao wasije kuambukiza ufisadi na ujinga kwa viongozi !!

Kwanza hata kwenye mapokezi wangewatumia wakuu wa wilaya na wakurungezi ndo wakawapokea (kama wapo Ulaya) au watendaji wa kata.
ndo wataacha kuzurura kama asiye na kwao
Kwanza leo nimeweka vocha ya buku , voda wakakata mia mbili bila hata sababu !!
Aisee hii comment nimecheka sana
 
Futa huu upuuusi acha kutetea ujinga na dharau walizooneshwa viongozi wa nchi maskini
Kwani tangu lini nchi tajiri ziliwahi kuiheshimu Afrika na viongozi wake???!! Since when?! Huoni hata Bomba la mafuta from Uganda to Tanzania wazungu 'wameshauri' tuachane nalo?!?! We Africans we are nothing to them...sawa Ndugu zangu?!?!
 
Hizi hasira za nini? Wewe weusi wako haujapakwa masizi au ndiyo wale mnaojichubua muwe weupe pee na mjione bora sana.Ulikuwa na point ya maana sana lakini uwasilishaji wake ni mbovu mwafrica mwenzetu mweusi tiii uliyepakwa masizi pia.
Dada kumbe upo na huku?!?!😂🤣
 
Kwani tangu lini nchi tajiri ziliwahi kuiheshimu Afrika na viongozi wake???!! Since when?! Huoni hata Bomba la mafuta from Uganda to Tanzania wazungu 'wameshauri' tuachane nalo?!?! We Africans we are nothing to them...sawa Ndugu zangu?!?!
Hawapaswi hata kupewa heshima , hawastahili kabisa !! Wapo ambao walipewa heshima hadi leo inaishi ! Ila hawa wengine hawastahili
 
Nimeona mitandaoni hapa nchini kwetu, baadhi ya watu wakitoa maoni yao kuhusu viongozi wa Afrika na usafiri walioutumia walipokuwa wanaelekea eneo la msiba wa Malkia Elizabeth.

Mwanzoni nilifikiri ni Tanzania pekee lakini nimeona hata Kenya nao baadhi ya watu wanasema kwamba viongozi wa Africa wamedharauliwa akiwemo wa Rais William Ruto.

Lakini jambo ambalo watu wengi hawajui ni kwamba kuna viongozi mbalimbali wa zaidi ya mataifa mia moja Duniani na kila kiongozi akiwa na msafara ni gharama kubwa sana. Pia ingelazimu Askari wengi zaidi kuhudumia misafara ya viongozi hao...

Pia viongozi kutoka Asia nao waliwekwa gari la pamoja.

Viongozi kutoka South America nao walikaa gari la pamoja.

Baadhi ya viongozi wa Ulaya pia waliwekwa gari la pamoja

Suala la kila kiongozi kuwa na msafara wake binafsi ni iitu ambacho Serikali ya Uingereza ingekuwa vigumu kulitekeleza ndani ya Muda mfupi. Yangetakiwa yafanyike maandalizi ya miezi mitatu kabla.

Huyu ni Bill Clinton alivyokuja Tanzania akiwa tayari ni Rais mstaafu wa Marekani, alitumia Hiace kama usafiri wake na akaenda nayo mpaka Ikulu na kukutana na Rais Kikwete wakati huo.

Kuna msemo Unasema Maskini akila Dagaa anaambiwa ni kwa sababu hana kitu lakini Tajiri akila Dagaa anaambiwa anaimarisha Afya.View attachment 2361548View attachment 2361547
View attachment 2361551
Pumbavu kabisa. Rais mstaafu ni functus officio
 
Umeelezea vyema
 
Back
Top Bottom