Tusiwalaumu Waingereza kwa Ubaguzi hata Bill Clinton alivyokuja Tanzania alitumia Toyota Hiace kama usafiri wake

Akili za KiAfrica ni za kipumbav na kipuuz + inferiority complex , hao vibwengo na ngozi zao nyeusi kama wamepakwa masizi wanauthamani gani tofauti na wale WA Asia ,South America na Europe ambao kila continent walikuwa grouped kwenye gari moja moja ?
Exactly.
 
Ukisoma comment ndo utajua akili ya mtu mweusi imeishia wapi.

* Karibu 95% ya viongozi wote duniani hawajaruhusiwa kuwa na convoy, kwa nn minon'gono iwe kwa maraisi wa Africa tu? It's pointless.

*Mawaziri wa kizungu wengi wanapanda economy class kwenye ndege, lakini waafrica wanaosaidiwa mikopo wanapanda business class.

*Viongozi wa kizungu wanaendesha magari ya kawaida sana, ila kiongozi wa kiafrica anayeenda kuomba mkopo wa kujenga matundu ya choo anaenda na gari ya 400M.

*Kwa mlipa kodi wa ulaya, kumwona kiongozi anapanda business class au gari la kifahari la ofisi ni fedheha kubwa sana, lakini mlipa kodi wa kiafrica ambaye ni tegemezi na hana uhakika wa hata mlo mmoja, kumwona kiongozi wake kapandishwa kwenye basi kama viongozi wengine anaona fedheha.

*Waziri au Rais ulaya au marekani utamkuta anaendesha baiskeli na walipakodi hawana issue sababu anaepusha matumizi mabaya, ila Africa viongozi wakiendesha hata bodaboda ni skendo.

*Who will save Africa?
Na wewe akili yako unaijua mwenyewe! Kwa hiyo unaona kama Waafrika tunafurahia hao viongozi kumiliki magari ya kifahari, na pia kuishi kama miungu watu!

Kwa taarifa yako wengi tumefurahia hivyo walivyo pandishwa kwenye basi moja ili akili ziwakae sawa. Maana wakirudi kwenye nchi zao, wanajiona wao ni watu wa thamani sana! Kumbe mbele ya Mabeberu si chochote, si lolote.
 
Na wewe akiki yako unaijua mwenyewe! Kwa hiyo unaona kama Waafrika tunafurahia hao viongozi kumiliki magari ya kifahari, na pia kuishi kama miungu watu!

Kwa taarifa yako wengi tumefurahia hivyo walivyo pandishwa kwenye basi moja ili akili ziwakae sawa. Maana wakirudi kwenye nchi zao, wanajiona wao ni watu wa thamani sana! Kumbe mbele ya Mabeberu si chochote, si lolote.
Pengine umejifunga mawazo hutaki kuuelewa uhalisia, in fact public opinion inaona viongozi wa kiafrica wamedharaliwa na wazungu, na comment zipo nyingi tu wala halina ubishi.

Na hoja kubwa ni why Biden ameruhusiwa kuwa na motorcade.
 
Chawa wa Samia mna kazi sana leo ya kutetea
Mbwembwe zote kwisha! Hakuna cha Ma V8 zaidi ya 60, ving'ora, pikipiki, watu kibao wenye suti nyeusi na miwani nyeusi!!

Nadhani viongozi wetu wa Afrika kuna kitu wamejifunza leo baada ya kuoakiwa kwenye lile basi la pamoja. Ni wakati wao sasa kujishusha, kuwatumikia wananchibwao kwa unyenyekevu! na kuachana kabisa na ile tabia yao ya ufahari na kujiona miungu watu.
 
Montevideo, Uruguay

Maisha ya Rais Jose Mujica wa Uruguay



A major reason why the presidency is the ultimate political prize largely lies with the glamour and the prestige of the office. Presidents typically live lavishly in magnificent palaces, driven by the best limos money can buy and with squads of elite guards for personal security. Money is hardly a problem as presidents are well remunerated for their governing troubles. But in a screaming contrast, in a South American country, the president lives poorer than his average citizen. Here's Evelyn Wambui with the story of 'the world's poorest president'

Uruguay is most prosperous Latin American country​

06 August 2018 Consultancy.lat
Uruguay has been named Latin America and the Caribbean’s most prosperous country in 2018. According to a study by the Boston Consulting Group – the Sustainable Economic Development Assessment – Uruguay is the best at turning economic prosperity into citizen wellbeing.
Placing 41st out of 152 in the ranking, Uruguay is the highest Latin American country on the list topped by Norway. The Sustainable Economic Development Assessment (SEDA) measures wellbeing in ten dimensions split across three categories; economics, investments and sustainability READ : more : source : Uruguay is most prosperous Latin American country
 
Nilicho na hakika nacho 100% ni kwamba angekuwepo Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, yapo mambo mawili yangefanyika hata kama hangekuwa Rais kwa wakati huo...
  1. Angepewa mwaliko rasmi kuhudhuria hayo mazishi ya Queen Elizabeth 11
  2. Hangepandishwa kwenye hayo mabasi.
Kuna watu na watu...hivyo hivyo Mandela na kwa mbali Nkuruma.
 
Futa huu upuuusi acha kutetea ujinga na dharau walizooneshwa viongozi wa nchi maskini
Yaan kwa mfano we ni tajiri una nguvu źote, kuna baadhi ya kaya maskini sana unazisadiaga, unataka kuniambia ukikutana na viongozi wa izo kaya maskini zenye unasaidiaga utawapa hadhi sawa na wale matajiri wenzio mnaokaa meza moja kula na kupiga story zinazoendana? Eti kisa ni viongozi huko kwao🤣🤣🤣🤣🤣🤣 wamepewa hadhi yao bana maneno mengi ya nini
 
Umeshasema mwenyewe akiwa ni Rais Mstaafu! Na usikute huo msafara wake uliandaliwa na Ubalozi wake wa Marekani!

Au ulitaka na yeye azungushwe na yale Ma V 8 yetu meusi? Wewe kubali tu kilichotokea kwa viongozi wetu ni fedheha! Bora hata wangebaki tu. Iweje akina Biden wapokelewe kwa magari yao maalum!! Ni kwa sababu wao ni wakubwa bila shaka.
Biden na Ruto ni watu wawili tofauti kabisa
 
Nilicho na hakika nacho 100% ni kwamba angekuwepo Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, yapo mambo mawili yangefanyika hata kama hangekuwa Rais kwa wakati huo...
  1. Angepewa mwaliko rasmi kuhudhuria hayo mazishi ya Queen Elizabeth 11
  2. Hangepandishwa kwenye hayo mabasi.
Kuna watu na watu...hivyo hivyo Mandela na kwa mbali Nkuruma.
Kila mtu anapewa hadhi yake huko kulingana na wanavyomuona na kumchukulia, mi sioni sababu ya watz kupiga kelele.....
 
Kwanza mimi natamani wangewawekea classes kabisa wajione !! viongozi wa ulaya na bara la Asia wangewaruhusu wakawa na misafara ! Au special car hata kama ni moja

Halafu waafrica wawaweke kwenye Yutong moja tu lijae , Bi mkubwa akose nafasi !! Ruto ashikilie Bomba ! Kagame aambiwe gari limejaa tutakufata trip nyingine subiri kituoni!!
Wakifika kwenye utambulisho viongozi wa ulaya waitwe wahutubie au wasimamishwe mmoja mmoja kwa heshima !! Wakifika kwa Waafrica wawasimamishe wote kwa pamoja wapunge mikono wakae chini !! Yaani iwe hivi mtangazaji aseme "Mwisho lakini sio kwa umuhimu tunao viongozi kutoka Africa wasimame" (Mdau anayejua kutema yai , atufanyie transilation)😁😁😁

Baada ya hapo hakuna vyombo vya habari kuwahoji sijui BBC , Aljazeera ,CNN labda kama walibeba TBC yao
Kwenye kukaa wawekwe kwenye jukwaa lao peke yao wasije kuambukiza ufisadi na ujinga kwa viongozi !!

Kwanza hata kwenye mapokezi wangewatumia wakuu wa wilaya na wakurungezi ndo wakawapokea (kama wapo Ulaya) au watendaji wa kata.😀😀
ndo wataacha kuzurura kama asiye na kwao
Kwanza leo nimeweka vocha ya buku , voda wakakata mia mbili bila hata sababu !!
 
Nimeona Mitandaoni hapa nchini kwetu, baadhi ya watu wakitoa maoni yao kuhusu viongozi wa Africa na usafiri walioutumia walipokuwa wanaelekea eneo la msiba wa Malkia Elizabeth.

Mwanzoni nilifikiri ni Tanzania pekee lakini nimeona hata Kenya nao baadhi ya watu wanasema kwamba viongozi wa Africa wamedharauliwa akiwemo wa Rais wao William Ruto


Lakini Jambo ambalo watu wengi hawajui ni kwamba Kuna viongozi mbalimbali wa zaidi ya mataifa mia moja 100 duniani na kila kiongozi akiwa na msafara ni gharama kubwa sana. Pia ingelazimu Askari wengi zaidi kuhudumia misafara ya viongozi hao...

Pia viongozi kutoka Asia nao waliwekwa Gari la Pamoja.

Viongozi kutoka South America nao walikaa gari la pamoja

Baadhi ya viongozi wa Ulaya pia waliwekwa Gari la pamoja

Suala la kila Kiongozi kuwa na msafara wake binafsi ni
Kitu ambacho Serikali ya Uingereza ingekuwa vigumu kulitekeleza ndani ya Muda mfupi. Yangetakiwa yafanyike maandalizi ya miezi mitatu kabla.

Huyu ni Bill clinton Alivyokuja Tanzania akiwa tayari ni rais msataafu wa Marekani, alitumia Hiace kama usafiri wake na akaenda nayo mpaka ikulu na kukutana na Rais Kikwete wakati huo.

Kuna msemo Unasema Maskini akila Dagaa anaambiwa ni kwa sababu hana kitu lakini Tajiri akila Dagaa anaambiwa anaimarisha Afya.View attachment 2361548View attachment 2361547
View attachment 2361551
Kwenye hiyo hiace alijazana na wastaafu wangapi?
 
Back
Top Bottom