Tusiwalaumu Waingereza kwa Ubaguzi hata Bill Clinton alivyokuja Tanzania alitumia Toyota Hiace kama usafiri wake

HATA HAPA TANZANIA KUNA TUKIO LA KITAIFA (NIMESAHAU) MARAIS KADHAA WALISAFIRI KWA COASTER TOKA AIRPORT TO IKULU. MASKINI AKIPATA MATAKO ULIA MBWATA, YAANI MNAONA MISAFARA NI UTUKUKUFU WAKATI KUNA WAZIRI MKUU MMOJA NCHI ZA ULAYA ALIKUWA ANAENDA OFISINI KWA BAISKELI
1663666147329.png

Mbona unakilri kwamba kilichotokea ni fedheha. sikuelewi unapojinasibu kwamba umefurahi
 
Ili
Hapa kwetu mabalozi wa nje ndiyo wanapakiwa kwenye na bus wakiwa wanaenda uwanja wa uhuru kushuhudia gwaride
Ilishwahi kutokea nadhani wakati wa kuapishwa kwa JK au sikukuu ya Uhuru nao walijazwa kwenye coaster kama wako kwenye banda la njiwa
 
Back
Top Bottom