Tusiuuziane mbuzi kwenye gunia

JF2050

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
2,085
40
Kama wewe ni binti, nakualika tuongee kupitia Skype, Google talk, mie ni mwanaume, nipm kwa ajili ya kubadilishana usernames. Mazungumzo yote na uwezekano wa kuanzisha uhusiano wa aina yoyote au la tutamalizana hukohuko.

Angalizo: lazima uwe na moyo na ujasiri kukabiliana na mtu usiyemjua uso kwa uso, kwani anaweza kuwa jirani yako, mjomba, ndugu, adui, boss wako, kaka yako, etc., kwa sababu tutaongea kwa njia ya video live bila chenga, na kama mnavyojua hapa jf hatufahamiani; liwalo na liwe. Do at your own risk.
 
angalia usije ukakutana na dadako ukakimbia mwenyewe.
 
angalia usije ukakutana na dadako ukakimbia mwenyewe.

Duh, ndio hapo mkuu. Bora ijulikane mapema tu kuliko kuchat na mtu miaka miwili ukidhani umepata mwenzi kumbe ni dada yako!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom