chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 12,227
- 20,998
Former Desk Officer -gogoniMwenyekiti wa tume ya uchaguzi amesema hizo taarifa zipuuzwe, hiyo haitoshi ?View attachment 1614916
Former Desk Officer -gogoniMwenyekiti wa tume ya uchaguzi amesema hizo taarifa zipuuzwe, hiyo haitoshi ?View attachment 1614916
Hivi umesema mawakala wote wapo?NEC wanatakiwa kutolea ufafanuzi kumaliza taharuki hii.
Swali langu pia ni kama lako. Hizo kura zingeingizwaje kwenye chumba cha kupigia kura?? Mawakala wote wapo na wananchi wapo wanaona kila anayeingia.
Kwa utashi wangu tu....
1. CCM wanaweza fanya yao.
2. Wapinzani wanaweza kuprint karatasi pia kuleta taharuki.
3. Mtu binafsi pia anaweza kuprint akaleta taharuki.
Jinga kama jingaNEC waneshafafanua wapinzani waache kudanganya Umma
Kulikuwa na haja gani ya kuweka mitandaoni kama hamtaki tuwaulize maswali,Wewe unauliza kama nani mahakama au polisi.
Mkuu si tunaizungumzia tume hapa au iweje iwe tena wewe?Hayo maneno unaniambia Mimi au NEC?.
Kama NI ulaghai na udanganyifu waliofanya ni NEC sio Mimi.
Mkuu si tunaizungumzia tume hapa au iweje iwe tena wewe?
Hapana aiseeHapo sawa.nimeshtuka uliposema vile.nikajua unaniambia Mimi
Si ndivyo Magufuli alivyo wabrainwash mmekua matahira kila kitu kibaya mnasema ni wapinzani wametumwa na mabeberu, shenzi kabisa.Usije ukashangaa wakasema hizo karatasi zimetengenezwa na WAHUNI WA UPINZANI KUHARIBU UCHAGUZI.
hawashindwi hawaa
Kuna maswali mengine ya kijinga au yanaulizwa kijinga mtu anakwenda kuripoti kaibiwa unamuuliza mwizi yuko wapi kama si ujinga ni nini.Kulikuwa na haja gani ya kuweka mitandaoni kama hamtaki tuwaulize maswali,
Si mngepeleka huko Polisi na Mahakamani kama ndio unakodhani ni sehemu sahihi ya kuulizwa hayo maswali.
Aisee makamanda mbona hamjielewi??
Wametoa wapi hizo kura? Kuna tatizo ila siasa na maslahi vikitangulia ndo hivyo tena.Hao watuhumiwa waliokamatwa na hizo kura wako wapi??
Hizi ni filamu tu za Lisu na genge lake.
Tume ingesema ni filamu ila yenyewe inasema yapuuzwe bila kujua hapo ndio wanaharibu zaidi... Upande wa pili kuwa passive ndio unahalalisha huu wizi wa waziwazi.
Tatizo hamjawahi kuwa na akili , huko Sinza Polisi wamekataa mhalifu na kusema hawahusiki na mambo ya Uchaguzi then hapa unasema wanaharibu ushahidi! Hiyo kesi apelekewe nani?Wako sahihi kwakua hawajapokea malalamiko rasmi , hakuna mtuhumiwa wala ushahidi, ushahidi mmeuharibu wenyewe.
Kuna taarifa nyingine za kitumbafu Sana kama hii ya kwenu.Kuna maswali mengine ya kijinga au yanaulizwa kijinga.
NEC wanatakiwa kutolea ufafanuzi kumaliza taharuki hii.
Swali langu pia ni kama lako. Hizo kura zingeingizwaje kwenye chumba cha kupigia kura?? Mawakala wote wapo na wananchi wapo wanaona kila anayeingia.
Kwa utashi wangu tu....
1. CCM wanaweza fanya yao.
2. Wapinzani wanaweza kuprint karatasi pia kuleta taharuki.
3. Mtu binafsi pia anaweza kuprint akaleta taharuki.
Mtuhumiwa na ushahidi viko wapi??wewe ukatae ukubali.
Hakutabatilisha ukweli.
Unategemea nyani atamuhukumu nyani mwenzie?.
Wala sikushangai sio kosa lako.
Ni mapenzi yako juu ya chama chako.