Tusitengeneze hamaki: Hizo kura feki zinapigwaje?

NEC wanatakiwa kutolea ufafanuzi kumaliza taharuki hii.

Swali langu pia ni kama lako. Hizo kura zingeingizwaje kwenye chumba cha kupigia kura?? Mawakala wote wapo na wananchi wapo wanaona kila anayeingia.

Kwa utashi wangu tu....

1. CCM wanaweza fanya yao.

2. Wapinzani wanaweza kuprint karatasi pia kuleta taharuki.

3. Mtu binafsi pia anaweza kuprint akaleta taharuki.
Hivi umesema mawakala wote wapo?

Jamani tumwogope hata Mungu kidogo!
 
Usije ukashangaa wakasema hizo karatasi zimetengenezwa na WAHUNI WA UPINZANI KUHARIBU UCHAGUZI.
hawashindwi hawaa
Si ndivyo Magufuli alivyo wabrainwash mmekua matahira kila kitu kibaya mnasema ni wapinzani wametumwa na mabeberu, shenzi kabisa.
Mijinga design hii ndiyo maana nchi ipo ovyo, nyani mmejaa sana Tanzania. Unaendana sana na nickname yako
 
Kulikuwa na haja gani ya kuweka mitandaoni kama hamtaki tuwaulize maswali,

Si mngepeleka huko Polisi na Mahakamani kama ndio unakodhani ni sehemu sahihi ya kuulizwa hayo maswali.

Aisee makamanda mbona hamjielewi??
Kuna maswali mengine ya kijinga au yanaulizwa kijinga mtu anakwenda kuripoti kaibiwa unamuuliza mwizi yuko wapi kama si ujinga ni nini.
 
Katiba yetu hairuhusu kufutwa Uchaguzi wa Rais kwa sababu ya kura feki, kura feki huombewa na kurudishwa kundini, halleluya.
 
Tume ingesema ni filamu ila yenyewe inasema yapuuzwe bila kujua hapo ndio wanaharibu zaidi... Upande wa pili kuwa passive ndio unahalalisha huu wizi wa waziwazi.

Wako sahihi kwakua hawajapokea malalamiko rasmi , hakuna mtuhumiwa wala ushahidi, ushahidi mmeuharibu wenyewe.
 
Wako sahihi kwakua hawajapokea malalamiko rasmi , hakuna mtuhumiwa wala ushahidi, ushahidi mmeuharibu wenyewe.
Tatizo hamjawahi kuwa na akili , huko Sinza Polisi wamekataa mhalifu na kusema hawahusiki na mambo ya Uchaguzi then hapa unasema wanaharibu ushahidi! Hiyo kesi apelekewe nani?
 
Kuna maswali mengine ya kijinga au yanaulizwa kijinga.
Kuna taarifa nyingine za kitumbafu Sana kama hii ya kwenu.

Kadanganyaneni pale ufipa.

Bila mtuhumiwa wala ushahidi, hii ni stori ya kutunga. Kwaheri kamanda.
 
NEC wanatakiwa kutolea ufafanuzi kumaliza taharuki hii.

Swali langu pia ni kama lako. Hizo kura zingeingizwaje kwenye chumba cha kupigia kura?? Mawakala wote wapo na wananchi wapo wanaona kila anayeingia.

Kwa utashi wangu tu....

1. CCM wanaweza fanya yao.

2. Wapinzani wanaweza kuprint karatasi pia kuleta taharuki.

3. Mtu binafsi pia anaweza kuprint akaleta taharuki.

Ina maana pia huna habari ya kuwa kuna baadhi ya vituo wasimamizi/mawakala wametolewa kwa nguvu.
 
Kama hivi
ElbB47uXIAEu2SX.jpg

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom