Tusitengeneze hamaki: Hizo kura feki zinapigwaje?

Unadhani watapoteza muda kuangalia makaratasi ambayo yameandikwa namba ya mpiga kura na ambayo hayaandikwa?.
Alafu ishu sio kuziingza hizo kura feki.
Ishu ni kwanini zimetengenezwa na zikiwa tayari na tiki kwa magufuli?
Amini kuwa zimetengenezwa ili kuchafua uchaguzi,, we hujiulizi kwann unapata picha za kura tu ila za aliyekamatwa nazo hupati?
 
.
Mambo hadharani.
Sasa Sijui huko vijijini wamepeleka kura feki ngapi?.
Shikamoo CCM
Huku vijijini ni aibu,sehemu kubwa mawakala wa upinzani wametimuliwa,wameruhusiwa kuingia mchana,ninachokiona ni watu kulalamikia tu majumbani,niwe mkweli na ccm humu wajue,wamejidhalilisha sana kwa huu uchaguz,huku nilipo vyama vya upinzani vinapumulia mashine hivyo ccm hawakuwa na haja ya kutumia nguvu kubwa,lakin kwa kilichotokea leo watu wamewadharau sana
 
Hujui kuwa pombe tangu akiwa mbunge amekuwa akishinda kwa dhulma na fitina. Sasa kichaa amepewa rungu
 
Ila kura zote fake zina muhuri OG wa tume, kwa hali ya kawaida mpinzani au raia wa kawaida hawezi kuwa na acess ya muhuri wa tume...tume ni muhusika mkuu kwa kushirikiana na ccm
We nawe kwani hujawahi kusikia watu wamekuwa na mihuri ya taasisi mbalimbali za serikali....
 
Ila kura zote fake zina muhuri OG wa tume, kwa hali ya kawaida mpinzani au raia wa kawaida hawezi kuwa na acess ya muhuri wa tume...tume ni muhusika mkuu kwa kushirikiana na ccm
Kama kigogo anaeza access habari nyeti za serikali, mbona muhuli ni kitu kidogo sana kuupata. Hizo kura wametengeneza wao wenyewe CHADEMA.
 
Mnafiki wewe katika ubora wako.Mchumia tumbo unajaribu tena kutafuta Teuzi kwa kujikomba! Mpuuzi mkubwa wewe! Leo hujui kura Fake zinapigwaje eh! Kwa kuwa ndiyo kwanza umewasili toka Mars.

 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom