Tusiruhusu taifa la "masadist" aina ya Lema, Malisa na wengineo

Maramla

JF-Expert Member
Jan 8, 2014
581
642
SADIST kwa tafrisi rahisi ni mtu anayefurahia mambo mabaya na kupata faraja bila kufaidika lolote.

Nchi yetu imeanza kuwa na kuwa na Masadist, Baadhi yao unaweza kuwahurumia kwa background yao ya ajabu ya nyuma kama Mbunge wa Chadema Arusha Godbless Lema.

Lakini wapo wanaolialia kwa kukosa walichotamani au kujipanga kuwa kama yule binti aliyekuwa zamani mkaa uchi Maria Sarungi na mwenzake mmbea wa asili (historia ya tangu mdogo inaonesha hivyo) Fatma Karume.

Yapo masadist mengine ukiyatazama unaweza kusema labda ni siasa kusema ni kiki za kisiasa, Yes ila pia mtu kama Zitto Kabwe ni zaidi ya hapo. Hivi karibuni alikwenda Ujerumani, unajua alifuata nini?Endelea kunifuatilia.

Sadist mmoja Kubenea yeye katulia. Tangu akosee alipoona Bombardier inamwagiwa maji akadhani ni engine mbovu kapata vidonge kapona.

Sasa masadist wetu hawana kosa ni maradhi haya, Jana Lema alifurahia kuanzia kusikia Dreamliner inafanyiwa routine check (bila kujua siku hiyo hiyo ndege 4 za KQ na za Etgiopia tena mpya zilikuwa ktk hali hiyo ya kawaida na abira kubadilishiwa ndege pale Bole Airport na Nairobi).

Lema tena akaonekana kushabikia nchi yake kuzushiwa na Balozi wa Marekani alikeyekaa kwake akipata bia na kisha kuibuka kujifanya mjuvi wa uchaguzi.

Kuna dogo anaitwa Malisa naye ndio mfano wa vizazi vilivyoharibiwa na kina Mbowe na Lema.

Maradhi ya usadist yanazidi kumwandama. Tumewaambia marafiki zake wamwahi na vidonge haraka la sivyo watampoteza wanamuona.

Anajifanya kutetea demokrasia mbona halaani Mmwenyekiti wake wa Chadema kukaa miaka 20 madarakani?Mbona hazungumzii tuhuma za Mbowe kuhusika na.kupotea Chacha Wangwe na akina Saanane?Huyu anajifunza kuwa sadist.

Watanzania tukatae hawa masadist: ambao hawajulikani wanataka nini hasa kwa nchi hii.

Rushwa ikikithiri wanalalama, ikipigwa vita wanalalamika. ATCL ilipokuwa haina ndege walilalamika, inaletewa ndege wanalalamika.

Tusijenge Taifa la Walalamikaji.Tujenge taifa la wanaoona mema ya nchi yao na wanaokosoa panapostahili.

Tuwakate masadist kwani wao hawana jema au baya; wanafurahia tu kizandiki nchi yao ikizodolewa, ikisemwa, ikitokewa na changamoto yoyote.
 
Tumefika hapa kwa sababu ya ccm

Watanzania neno uzalendo limetutoka kabisa ndio maana leo hii polisi wakifa kwa sababu mbali mbali baadhi yetu tunafrai na kufanya sherehe yote hii inatokana na uminywaji wa democrasia nchi

Kwann usilete uzi unao msema mwenyekit wako juu ya manyanyaso kwa upinzan

Anacho kifanya Lema ninkikubwa sana kuliko anacho kifanya mwenyekiti wako?
 
SADIST kwa tafrisi rahisi ni mtu anayefurahia mambo mabaya na kupata faraja bila kufaidika lolote.

Nchi yetu imeanza kuwa na kuwa na Masadist, Baadhi yao unaweza kuwahurumia kwa background yao ya ajabu ya nyuma kama Mbunge wa Chadema Arusha Godbless Lema.

Lakini wapo wanaolialia kwa kukosa walichotamani au kujipanga kuwa kama yule binti aliyekuwa zamani mkaa uchi Maria Sarungi na mwenzake mmbea wa asili (historia ya tangu mdogo inaonesha hivyo) Fatma Karume.

Yapo masadist mengine ukiyatazama unaweza kusema labda ni siasa kusema ni kiki za kisiasa, Yes ila pia mtu kama Zitto Kabwe ni zaidi ya hapo. Hivi karibuni alikwenda Ujerumani, unajua alifuata nini?Endelea kunifuatilia.

Sadist mmoja Kubenea yeye katulia. Tangu akosee alipoona Bombardier inamwagiwa maji akadhani ni engine mbovu kapata vidonge kapona.

Sasa masadist wetu hawana kosa ni maradhi haya, Jana Lema alifurahia kuanzia kusikia Dreamliner inafanyiwa routine check (bila kujua siku hiyo hiyo ndege 4 za KQ na za Etgiopia tena mpya zilikuwa ktk hali hiyo ya kawaida na abira kubadilishiwa ndege pale Bole Airport na Nairobi).

Lema tena akaonekana kushabikia nchi yake kuzushiwa na Balozi wa Marekani alikeyekaa kwake akipata bia na kisha kuibuka kujifanya mjuvi wa uchaguzi.

Kuna dogo anaitwa Malisa naye ndio mfano wa vizazi vilivyoharibiwa na kina Mbowe na Lema.

Maradhi ya usadist yanazidi kumwandama. Tumewaambia marafiki zake wamwahi na vidonge haraka la sivyo watampoteza wanamuona.

Anajifanya kutetea demokrasia mbona halaani Mmwenyekiti wake wa Chadema kukaa miaka 20 madarakani?Mbona hazungumzii tuhuma za Mbowe kuhusika na.kupotea Chacha Wangwe na akina Saanane?Huyu anajifunza kuwa sadist.

Watanzania tukatae hawa masadist: ambao hawajulikani wanataka nini hasa kwa nchi hii.

Rushwa ikikithiri wanalalama, ikipigwa vita wanalalamika. ATCL ilipokuwa haina ndege walilalamika, inaletewa ndege wanalalamika.

Tusijenge Taifa la Walalamikaji.Tujenge taifa la wanaoona mema ya nchi yao na wanaokosoa panapostahili.

Tuwakate masadist kwani wao hawana jema au baya; wanafurahia tu kizandiki nchi yao ikizodolewa, ikisemwa, ikitokewa na changamoto yoyote.
Mbona wewe na wanaccm wenzako mligonganisha gilasi za mvinyo mliposikia mhe. Tundu Lissu kapigwa risasi 38 mkasema harudi huyo, sasa anarudi. Ujinga ulioufanya kwenye bandiko lao ni kutuaminisha wanaccm wrote ni wasafi ukiacha mteule aliyeleta gumzo na kusababisha watu wakamatwe kwa picha mbovumbovu alizoweka mwenyewe kwenye mtandao, hope less.
 
Umeyataka mwenyewe Maramla. Note that though silent, people are aware of the status of current national politics.
 
SADIST kwa tafrisi rahisi ni mtu anayefurahia mambo mabaya na kupata faraja bila kufaidika lolote.

Nchi yetu imeanza kuwa na kuwa na Masadist, Baadhi yao unaweza kuwahurumia kwa background yao ya ajabu ya nyuma kama Mbunge wa Chadema Arusha Godbless Lema.

Lakini wapo wanaolialia kwa kukosa walichotamani au kujipanga kuwa kama yule binti aliyekuwa zamani mkaa uchi Maria Sarungi na mwenzake mmbea wa asili (historia ya tangu mdogo inaonesha hivyo) Fatma Karume.

Yapo masadist mengine ukiyatazama unaweza kusema labda ni siasa kusema ni kiki za kisiasa, Yes ila pia mtu kama Zitto Kabwe ni zaidi ya hapo. Hivi karibuni alikwenda Ujerumani, unajua alifuata nini?Endelea kunifuatilia.

Sadist mmoja Kubenea yeye katulia. Tangu akosee alipoona Bombardier inamwagiwa maji akadhani ni engine mbovu kapata vidonge kapona.

Sasa masadist wetu hawana kosa ni maradhi haya, Jana Lema alifurahia kuanzia kusikia Dreamliner inafanyiwa routine check (bila kujua siku hiyo hiyo ndege 4 za KQ na za Etgiopia tena mpya zilikuwa ktk hali hiyo ya kawaida na abira kubadilishiwa ndege pale Bole Airport na Nairobi).

Lema tena akaonekana kushabikia nchi yake kuzushiwa na Balozi wa Marekani alikeyekaa kwake akipata bia na kisha kuibuka kujifanya mjuvi wa uchaguzi.

Kuna dogo anaitwa Malisa naye ndio mfano wa vizazi vilivyoharibiwa na kina Mbowe na Lema.

Maradhi ya usadist yanazidi kumwandama. Tumewaambia marafiki zake wamwahi na vidonge haraka la sivyo watampoteza wanamuona.

Anajifanya kutetea demokrasia mbona halaani Mmwenyekiti wake wa Chadema kukaa miaka 20 madarakani?Mbona hazungumzii tuhuma za Mbowe kuhusika na.kupotea Chacha Wangwe na akina Saanane?Huyu anajifunza kuwa sadist.

Watanzania tukatae hawa masadist: ambao hawajulikani wanataka nini hasa kwa nchi hii.

Rushwa ikikithiri wanalalama, ikipigwa vita wanalalamika. ATCL ilipokuwa haina ndege walilalamika, inaletewa ndege wanalalamika.

Tusijenge Taifa la Walalamikaji.Tujenge taifa la wanaoona mema ya nchi yao na wanaokosoa panapostahili.

Tuwakate masadist kwani wao hawana jema au baya; wanafurahia tu kizandiki nchi yao ikizodolewa, ikisemwa, ikitokewa na changamoto yoyote.
tunataka 1.5tr zetu kwanza... acheni kuimba taarab!!
 
Mkuu wewe historia ya huku nyuma kwako mbona sio nzuri? Alafu umesahau kweka namba za simu.
 
"Sadism is Inevitable when the Situation is Alarming". - Maneno haya kutoka kwa kiongozi mmoja wa jeshi , ila sikumbuki ni wa jeshi gani wala nchi gani
 
Inasikitisha sna kuona vile upoteza mda mwanaume kumjadili mwanaum mwenzio Ndo shida yakulala bar
 
Wewe utakuwa wa jinsia ya kike. umbeaumbea! kwanza hujui maana ya sadist na matumizi yake.
Lema hawezi kuwa sadisi kwa maana ya sadist.
 
Pamoja Na Wanachama Wa CCM Pale Monduli kuandamana Kupinga Mbunge Aliyehama Chadema Kutopitishwa Kugombea Ubunge Jimbo Hilo Tena Lakini Bado Walipuuzwa Na Bwana Karanga Kapitishwa Kugombea Jimbo Hilo! Hivi Vyama Vyetu Sio Mali Yetu? Je Hakuna Demokrasia Ndani Ya Vyama Hivi?.
 
WELL SAID WALAHI!
Uzuri ni Mola yuko upande wetu!
Wanatandikwa hayo majitu usiku na mchana walahi!
 
Back
Top Bottom