Tusiruhusu taifa la "masadist" aina ya Lema, Malisa na wengineo

Wewe utakuwa wa jinsia ya kike. umbeaumbea! kwanza hujui maana ya sadist na matumizi yake.
Lema hawezi kuwa sadisi kwa maana ya sadist.
Kwa kuwa wewe umezaliwa na mwanamme, huna adabu kabisa kijana mdogo!
 
"Tumewaambia marafiki zake wamwahi na vidonge haraka la sivyo watampoteza wanamuona".
Kumbe mna mpango wa kumpoteza dogo ?
unnamed.jpg
 
Damu ya wasio na hatia ikishamwagika udongoni hakuna chochote kitamea maana ardhi imejaa laana.
 
Mbona wewe na wanaccm wenzako mligonganisha gilasi za mvinyo mliposikia mhe. Tundu Lissu kapigwa risasi 38 mkasema harudi huyo, sasa anarudi. Ujinga ulioufanya kwenye bandiko lao ni kutuaminisha wanaccm wrote ni wasafi ukiacha mteule aliyeleta gumzo na kusababisha watu wakamatwe kwa picha mbovumbovu alizoweka mwenyewe kwenye mtandao, hope less.

Sio kweli kuwa watu wengi walifurahia hilaa aliyofanyiwa lissu, it was not right in any possible way.

Lema is a sadist period
 
SADIST kwa tafrisi rahisi ni mtu anayefurahia mambo mabaya na kupata faraja bila kufaidika lolote.

Nchi yetu imeanza kuwa na kuwa na Masadist, Baadhi yao unaweza kuwahurumia kwa background yao ya ajabu ya nyuma kama Mbunge wa Chadema Arusha Godbless Lema.

Lakini wapo wanaolialia kwa kukosa walichotamani au kujipanga kuwa kama yule binti aliyekuwa zamani mkaa uchi Maria Sarungi na mwenzake mmbea wa asili (historia ya tangu mdogo inaonesha hivyo) Fatma Karume.

Yapo masadist mengine ukiyatazama unaweza kusema labda ni siasa kusema ni kiki za kisiasa, Yes ila pia mtu kama Zitto Kabwe ni zaidi ya hapo. Hivi karibuni alikwenda Ujerumani, unajua alifuata nini?Endelea kunifuatilia.

Sadist mmoja Kubenea yeye katulia. Tangu akosee alipoona Bombardier inamwagiwa maji akadhani ni engine mbovu kapata vidonge kapona.

Sasa masadist wetu hawana kosa ni maradhi haya, Jana Lema alifurahia kuanzia kusikia Dreamliner inafanyiwa routine check (bila kujua siku hiyo hiyo ndege 4 za KQ na za Etgiopia tena mpya zilikuwa ktk hali hiyo ya kawaida na abira kubadilishiwa ndege pale Bole Airport na Nairobi).

Lema tena akaonekana kushabikia nchi yake kuzushiwa na Balozi wa Marekani alikeyekaa kwake akipata bia na kisha kuibuka kujifanya mjuvi wa uchaguzi.

Kuna dogo anaitwa Malisa naye ndio mfano wa vizazi vilivyoharibiwa na kina Mbowe na Lema.

Maradhi ya usadist yanazidi kumwandama. Tumewaambia marafiki zake wamwahi na vidonge haraka la sivyo watampoteza wanamuona.

Anajifanya kutetea demokrasia mbona halaani Mmwenyekiti wake wa Chadema kukaa miaka 20 madarakani?Mbona hazungumzii tuhuma za Mbowe kuhusika na.kupotea Chacha Wangwe na akina Saanane?Huyu anajifunza kuwa sadist.

Watanzania tukatae hawa masadist: ambao hawajulikani wanataka nini hasa kwa nchi hii.

Rushwa ikikithiri wanalalama, ikipigwa vita wanalalamika. ATCL ilipokuwa haina ndege walilalamika, inaletewa ndege wanalalamika.

Tusijenge Taifa la Walalamikaji.Tujenge taifa la wanaoona mema ya nchi yao na wanaokosoa panapostahili.

Tuwakate masadist kwani wao hawana jema au baya; wanafurahia tu kizandiki nchi yao ikizodolewa, ikisemwa, ikitokewa na changamoto yoyote.
SADIST No.1 anaitwa JPM.
 
Haya maisha kila mtu anayaishi kwa staili yake wengine maisha ya vipato vyao yamo ndani ya siasa kusema, kulalama, kusifia, kulia mradi afike tu na afanikiwe leo zito kabwe kitu gani zaidi ya siasa ambacho kitamtoa haraka maana ajira sio mahala pake ukimweka kwenye biashara nako ziro labda aingize siasa kwanza ndo biashara ziende Lema nae bila siasa atarudi alikukua zamani sio hao tu hata akina nape yaleyale hii siasa ni biashara moja ya ushindani na ushindani wake wa kwanza ni mdomo kisha mengine yanafuatia kama fitina dhuluma utapeli ndo mafanikio yao hivi tutegemee kila kukicha na mapya ndo i riport za kazi ya siasa.
 
SADIST kwa tafrisi rahisi ni mtu anayefurahia mambo mabaya na kupata faraja bila kufaidika lolote.

Nchi yetu imeanza kuwa na kuwa na Masadist, Baadhi yao unaweza kuwahurumia kwa background yao ya ajabu ya nyuma kama Mbunge wa Chadema Arusha Godbless Lema.

Lakini wapo wanaolialia kwa kukosa walichotamani au kujipanga kuwa kama yule binti aliyekuwa zamani mkaa uchi Maria Sarungi na mwenzake mmbea wa asili (historia ya tangu mdogo inaonesha hivyo) Fatma Karume.

Yapo masadist mengine ukiyatazama unaweza kusema labda ni siasa kusema ni kiki za kisiasa, Yes ila pia mtu kama Zitto Kabwe ni zaidi ya hapo. Hivi karibuni alikwenda Ujerumani, unajua alifuata nini?Endelea kunifuatilia.

Sadist mmoja Kubenea yeye katulia. Tangu akosee alipoona Bombardier inamwagiwa maji akadhani ni engine mbovu kapata vidonge kapona.

Sasa masadist wetu hawana kosa ni maradhi haya, Jana Lema alifurahia kuanzia kusikia Dreamliner inafanyiwa routine check (bila kujua siku hiyo hiyo ndege 4 za KQ na za Etgiopia tena mpya zilikuwa ktk hali hiyo ya kawaida na abira kubadilishiwa ndege pale Bole Airport na Nairobi).

Lema tena akaonekana kushabikia nchi yake kuzushiwa na Balozi wa Marekani alikeyekaa kwake akipata bia na kisha kuibuka kujifanya mjuvi wa uchaguzi.

Kuna dogo anaitwa Malisa naye ndio mfano wa vizazi vilivyoharibiwa na kina Mbowe na Lema.

Maradhi ya usadist yanazidi kumwandama. Tumewaambia marafiki zake wamwahi na vidonge haraka la sivyo watampoteza wanamuona.

Anajifanya kutetea demokrasia mbona halaani Mmwenyekiti wake wa Chadema kukaa miaka 20 madarakani?Mbona hazungumzii tuhuma za Mbowe kuhusika na.kupotea Chacha Wangwe na akina Saanane?Huyu anajifunza kuwa sadist.

Watanzania tukatae hawa masadist: ambao hawajulikani wanataka nini hasa kwa nchi hii.

Rushwa ikikithiri wanalalama, ikipigwa vita wanalalamika. ATCL ilipokuwa haina ndege walilalamika, inaletewa ndege wanalalamika.

Tusijenge Taifa la Walalamikaji.Tujenge taifa la wanaoona mema ya nchi yao na wanaokosoa panapostahili.

Tuwakate masadist kwani wao hawana jema au baya; wanafurahia tu kizandiki nchi yao ikizodolewa, ikisemwa, ikitokewa na changamoto yoyote.

Sadist ni DABU, kutoka kwenye vyanvyo vyangu vya kuaminika ..nilipenyezewa jamaa alienda kuomba uraia pacha wa marekani wakamtupia kapuni. Sasa sikujua tatizo document fake za elimu yake au.Kikubwa jamaa hali yake ya kiusalama anajishtukia sana.
 
Sasa mbona ww ndo unaonekana una huo ugonjwa wa sadism, yan wanavoandika point kina lema na malisa mtandaoni na Kupata comments nyingi na likes ww huko uliko unaanza kuugua tumbo la kuhara
 
SADIST kwa tafrisi rahisi ni mtu anayefurahia mambo mabaya na kupata faraja bila kufaidika lolote.

Nchi yetu imeanza kuwa na kuwa na Masadist, Baadhi yao unaweza kuwahurumia kwa background yao ya ajabu ya nyuma kama Mbunge wa Chadema Arusha Godbless Lema.

Lakini wapo wanaolialia kwa kukosa walichotamani au kujipanga kuwa kama yule binti aliyekuwa zamani mkaa uchi Maria Sarungi na mwenzake mmbea wa asili (historia ya tangu mdogo inaonesha hivyo) Fatma Karume.

Yapo masadist mengine ukiyatazama unaweza kusema labda ni siasa kusema ni kiki za kisiasa, Yes ila pia mtu kama Zitto Kabwe ni zaidi ya hapo. Hivi karibuni alikwenda Ujerumani, unajua alifuata nini?Endelea kunifuatilia.

Sadist mmoja Kubenea yeye katulia. Tangu akosee alipoona Bombardier inamwagiwa maji akadhani ni engine mbovu kapata vidonge kapona.

Sasa masadist wetu hawana kosa ni maradhi haya, Jana Lema alifurahia kuanzia kusikia Dreamliner inafanyiwa routine check (bila kujua siku hiyo hiyo ndege 4 za KQ na za Etgiopia tena mpya zilikuwa ktk hali hiyo ya kawaida na abira kubadilishiwa ndege pale Bole Airport na Nairobi).

Lema tena akaonekana kushabikia nchi yake kuzushiwa na Balozi wa Marekani alikeyekaa kwake akipata bia na kisha kuibuka kujifanya mjuvi wa uchaguzi.

Kuna dogo anaitwa Malisa naye ndio mfano wa vizazi vilivyoharibiwa na kina Mbowe na Lema.

Maradhi ya usadist yanazidi kumwandama. Tumewaambia marafiki zake wamwahi na vidonge haraka la sivyo watampoteza wanamuona.

Anajifanya kutetea demokrasia mbona halaani Mmwenyekiti wake wa Chadema kukaa miaka 20 madarakani?Mbona hazungumzii tuhuma za Mbowe kuhusika na.kupotea Chacha Wangwe na akina Saanane?Huyu anajifunza kuwa sadist.

Watanzania tukatae hawa masadist: ambao hawajulikani wanataka nini hasa kwa nchi hii.

Rushwa ikikithiri wanalalama, ikipigwa vita wanalalamika. ATCL ilipokuwa haina ndege walilalamika, inaletewa ndege wanalalamika.

Tusijenge Taifa la Walalamikaji.Tujenge taifa la wanaoona mema ya nchi yao na wanaokosoa panapostahili.

Tuwakate masadist kwani wao hawana jema au baya; wanafurahia tu kizandiki nchi yao ikizodolewa, ikisemwa, ikitokewa na changamoto yoyote.
Wewe mbona unafurahia matatizo ya nchi yetu?
 
We naye tangia ukariri hiyo vocabulary hatutapumua zamu hii sadist .....sadist....sadist .......sadist .... What about your vicious , blood thirsty , wicked , bastard ,repugnant , disgraceful , vile , nasty , evil , psychopathic , cruel and monstrous Jiwe who have miserably messed up this country , Lumumba acheni ulofa
 
Huna elimu ya Uraia wewe, unabwabwaja tu.Fahamu hili;Kusifia ni hiyari tu ya raia Ila kuhoji na kukosoa ni wajibu na haki yao kwa sababu wanalipa kodi.
 
SADIST kwa tafrisi rahisi ni mtu anayefurahia mambo mabaya na kupata faraja bila kufaidika lolote.

Nchi yetu imeanza kuwa na kuwa na Masadist, Baadhi yao unaweza kuwahurumia kwa background yao ya ajabu ya nyuma kama Mbunge wa Chadema Arusha Godbless Lema.

Lakini wapo wanaolialia kwa kukosa walichotamani au kujipanga kuwa kama yule binti aliyekuwa zamani mkaa uchi Maria Sarungi na mwenzake mmbea wa asili (historia ya tangu mdogo inaonesha hivyo) Fatma Karume.

Yapo masadist mengine ukiyatazama unaweza kusema labda ni siasa kusema ni kiki za kisiasa, Yes ila pia mtu kama Zitto Kabwe ni zaidi ya hapo. Hivi karibuni alikwenda Ujerumani, unajua alifuata nini?Endelea kunifuatilia.

Sadist mmoja Kubenea yeye katulia. Tangu akosee alipoona Bombardier inamwagiwa maji akadhani ni engine mbovu kapata vidonge kapona.

Sasa masadist wetu hawana kosa ni maradhi haya, Jana Lema alifurahia kuanzia kusikia Dreamliner inafanyiwa routine check (bila kujua siku hiyo hiyo ndege 4 za KQ na za Etgiopia tena mpya zilikuwa ktk hali hiyo ya kawaida na abira kubadilishiwa ndege pale Bole Airport na Nairobi).

Lema tena akaonekana kushabikia nchi yake kuzushiwa na Balozi wa Marekani alikeyekaa kwake akipata bia na kisha kuibuka kujifanya mjuvi wa uchaguzi.

Kuna dogo anaitwa Malisa naye ndio mfano wa vizazi vilivyoharibiwa na kina Mbowe na Lema.

Maradhi ya usadist yanazidi kumwandama. Tumewaambia marafiki zake wamwahi na vidonge haraka la sivyo watampoteza wanamuona.

Anajifanya kutetea demokrasia mbona halaani Mmwenyekiti wake wa Chadema kukaa miaka 20 madarakani?Mbona hazungumzii tuhuma za Mbowe kuhusika na.kupotea Chacha Wangwe na akina Saanane?Huyu anajifunza kuwa sadist.

Watanzania tukatae hawa masadist: ambao hawajulikani wanataka nini hasa kwa nchi hii.

Rushwa ikikithiri wanalalama, ikipigwa vita wanalalamika. ATCL ilipokuwa haina ndege walilalamika, inaletewa ndege wanalalamika.

Tusijenge Taifa la Walalamikaji.Tujenge taifa la wanaoona mema ya nchi yao na wanaokosoa panapostahili.

Tuwakate masadist kwani wao hawana jema au baya; wanafurahia tu kizandiki nchi yao ikizodolewa, ikisemwa, ikitokewa na changamoto yoyote.
Ww ni njinsia gani..yawezekana wewe ni mtu Dodoma..
 
Utaolewa mwanaume huwa hakuni nazi,hii tabia lumumba muache mara moja,acheni ufisadi,wizi wa kura,kununua kivuko cha kubebea ngombe kwa 7.9bn,kufisadi 1.5trillion shubamit wahed
Screenshot_2018-08-15-13-36-37-1.jpg
 
Back
Top Bottom