Tusiruhusu taifa la "masadist" aina ya Lema, Malisa na wengineo

Sadist mkuu ni huyo huyo mtu wenu.Anayewalaghai watanzania et anawasaidia wanyonge huku maisha yanazidi kuwa magumu kwao.Anayewadhulumu watumishi haki zao.Hana maana na Bora afe
 
WELL SAID WALAHI!
Uzuri ni Mola yuko upande wetu!
Wanatandikwa hayo majitu usiku na mchana walahi!
Binadamu huwa tunajisahau sana tukiwa na siha njema,tunaropoka tu
 
SADIST kwa tafrisi rahisi ni mtu anayefurahia mambo mabaya na kupata faraja bila kufaidika lolote.

Nchi yetu imeanza kuwa na kuwa na Masadist, Baadhi yao unaweza kuwahurumia kwa background yao ya ajabu ya nyuma kama Mbunge wa Chadema Arusha Godbless Lema.

Lakini wapo wanaolialia kwa kukosa walichotamani au kujipanga kuwa kama yule binti aliyekuwa zamani mkaa uchi Maria Sarungi na mwenzake mmbea wa asili (historia ya tangu mdogo inaonesha hivyo) Fatma Karume.

Yapo masadist mengine ukiyatazama unaweza kusema labda ni siasa kusema ni kiki za kisiasa, Yes ila pia mtu kama Zitto Kabwe ni zaidi ya hapo. Hivi karibuni alikwenda Ujerumani, unajua alifuata nini?Endelea kunifuatilia.

Sadist mmoja Kubenea yeye katulia. Tangu akosee alipoona Bombardier inamwagiwa maji akadhani ni engine mbovu kapata vidonge kapona.

Sasa masadist wetu hawana kosa ni maradhi haya, Jana Lema alifurahia kuanzia kusikia Dreamliner inafanyiwa routine check (bila kujua siku hiyo hiyo ndege 4 za KQ na za Etgiopia tena mpya zilikuwa ktk hali hiyo ya kawaida na abira kubadilishiwa ndege pale Bole Airport na Nairobi).

Lema tena akaonekana kushabikia nchi yake kuzushiwa na Balozi wa Marekani alikeyekaa kwake akipata bia na kisha kuibuka kujifanya mjuvi wa uchaguzi.

Kuna dogo anaitwa Malisa naye ndio mfano wa vizazi vilivyoharibiwa na kina Mbowe na Lema.

Maradhi ya usadist yanazidi kumwandama. Tumewaambia marafiki zake wamwahi na vidonge haraka la sivyo watampoteza wanamuona.

Anajifanya kutetea demokrasia mbona halaani Mmwenyekiti wake wa Chadema kukaa miaka 20 madarakani?Mbona hazungumzii tuhuma za Mbowe kuhusika na.kupotea Chacha Wangwe na akina Saanane?Huyu anajifunza kuwa sadist.

Watanzania tukatae hawa masadist: ambao hawajulikani wanataka nini hasa kwa nchi hii.

Rushwa ikikithiri wanalalama, ikipigwa vita wanalalamika. ATCL ilipokuwa haina ndege walilalamika, inaletewa ndege wanalalamika.

Tusijenge Taifa la Walalamikaji.Tujenge taifa la wanaoona mema ya nchi yao na wanaokosoa panapostahili.

Tuwakate masadist kwani wao hawana jema au baya; wanafurahia tu kizandiki nchi yao ikizodolewa, ikisemwa, ikitokewa na changamoto yoyote.
sawa umeeleweka na ubongo[emoji90] wako.
mwita waitara mpaka mlimweka ndani na virungu juu mmemtandika leo amekuwa lulu kwenu fisiem mnatisha[emoji160] [emoji90]
siku si nyingi hao unaowapaka matope utawaogesha kwa mikono yako kuwasafisha. mkae mkijua wanakuja huko kutokana na kushindwa kuvumilia mateso yenu lkn moyoni bado wanaumia na madhila mnayowafanyia wananchi.
 
SADIST kwa tafrisi rahisi ni mtu anayefurahia mambo mabaya na kupata faraja bila kufaidika lolote.

Nchi yetu imeanza kuwa na kuwa na Masadist, Baadhi yao unaweza kuwahurumia kwa background yao ya ajabu ya nyuma kama Mbunge wa Chadema Arusha Godbless Lema.

Lakini wapo wanaolialia kwa kukosa walichotamani au kujipanga kuwa kama yule binti aliyekuwa zamani mkaa uchi Maria Sarungi na mwenzake mmbea wa asili (historia ya tangu mdogo inaonesha hivyo) Fatma Karume.

Yapo masadist mengine ukiyatazama unaweza kusema labda ni siasa kusema ni kiki za kisiasa, Yes ila pia mtu kama Zitto Kabwe ni zaidi ya hapo. Hivi karibuni alikwenda Ujerumani, unajua alifuata nini?Endelea kunifuatilia.

Sadist mmoja Kubenea yeye katulia. Tangu akosee alipoona Bombardier inamwagiwa maji akadhani ni engine mbovu kapata vidonge kapona.

Sasa masadist wetu hawana kosa ni maradhi haya, Jana Lema alifurahia kuanzia kusikia Dreamliner inafanyiwa routine check (bila kujua siku hiyo hiyo ndege 4 za KQ na za Etgiopia tena mpya zilikuwa ktk hali hiyo ya kawaida na abira kubadilishiwa ndege pale Bole Airport na Nairobi).

Lema tena akaonekana kushabikia nchi yake kuzushiwa na Balozi wa Marekani alikeyekaa kwake akipata bia na kisha kuibuka kujifanya mjuvi wa uchaguzi.

Kuna dogo anaitwa Malisa naye ndio mfano wa vizazi vilivyoharibiwa na kina Mbowe na Lema.

Maradhi ya usadist yanazidi kumwandama. Tumewaambia marafiki zake wamwahi na vidonge haraka la sivyo watampoteza wanamuona.

Anajifanya kutetea demokrasia mbona halaani Mmwenyekiti wake wa Chadema kukaa miaka 20 madarakani?Mbona hazungumzii tuhuma za Mbowe kuhusika na.kupotea Chacha Wangwe na akina Saanane?Huyu anajifunza kuwa sadist.

Watanzania tukatae hawa masadist: ambao hawajulikani wanataka nini hasa kwa nchi hii.

Rushwa ikikithiri wanalalama, ikipigwa vita wanalalamika. ATCL ilipokuwa haina ndege walilalamika, inaletewa ndege wanalalamika.

Tusijenge Taifa la Walalamikaji.Tujenge taifa la wanaoona mema ya nchi yao na wanaokosoa panapostahili.

Tuwakate masadist kwani wao hawana jema au baya; wanafurahia tu kizandiki nchi yao ikizodolewa, ikisemwa, ikitokewa na changamoto yoyote.
dilimulaini imekuwa dilimungumu imegoma kupaa[emoji12] View attachment VID_63431206_053347_599.mp4View attachment VID_65061007_101044_059.mp4
 
Your post is completely potus
 
Sadist aliwahi kuomba Mungu amtoe roho raisi wetu, hadi leo yu mzima, inaakisi Mungu anampenda kuliko
 
Back
Top Bottom