Tusirudie Makosa ya TAZARA kwenye SGR

Tusirudie Makosa ya TAZARA kwenye SGR

Sisi lengo letu kubwa ni kuiga Kila wafanyalo Kenya
SGR ya kwetu ipo tofauti na ya Kenya. Ingekuwa hivyo basi hata tusingefikiria kuiweka iwe ya treni za umeme. Hata gharama tu, wao Kenya ni kubwa ukilinganisha na yetu licha ya kuwa wao haitumii umeme.
 
Tungejikita kuboresha TAZARA ichane mbuga mpaka Lusaka na sehemu nyingine za Zambia ikibidi Congo DR ikilazimu tubadili jina iwe TAZACORA (tuwataarifu wadau wenzetu China ili tupate baraka zao kabla ya kutekeleza mradi huo).
 
TAZARA ni standard gauge ila inatumia diesel engine

Inasikitisha kwa sasa wanauza nyumba zaTAZARA kila mkoa, halafu ni kama kuna watu humohumo kwenye shirika wanajiuzia kwa ndogo.
Kuliko midege bora tuboreshe reli na ELIMU pamoja na Afya
 
Daraja la Coco Beach - Aga Khan nalo ni mfano mzuri wa kupongezwa
 
TAZARA ingeweza kuchepushwa pia kwenda Congo DR tungepiga hatua kubwa
 
Back
Top Bottom