Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,109
- 53,631
Napinga.Mkuu Joshua, bandiko lako ni zuri na hoja ya bandiko hili ni hoja ya msingi sana, Tusirudie makosa ya Tazara kwenye SGR, ambapo kujifunza kwa kutorudia makosa ni kujifunza practical.
Ungetusaidia sana kama ungeyataja hayo makosa ni yapi ili tusiyarudie, hizo hoja tatu za kushindwa kulipa mishahara, uongozi wa wa Zambia, na miundombinu chakavu, sio makosa bali ni matokeo tuu.
Watanzania tuna mtindo wa kulalamikia matokeo badala ya ku deal na chanzo!.
Tatizo kuu la Tazara ni upungufu wa mzigo na uendeshaji.
Bandari ya Dar es Salaam, ndilo tegemeo kubwa na la pekee kwa mizigo ya Zambia, lakini bandari yetu haina uwezo wa ku clear mzigo wote wa Zambia kuishibisha Tazara as a result, treni inalazimika kusubiri for days hadi mzigo ujae, matokeo wenye haraka wanaamua kuwahisha mizigo yao kwa malori kupitia Tunduma. Matokeo ya jumla ni Tazara kukosa mzigo, kukosa pesa za kulipa mishahara, kukosa pesa za ukarabati miundombinu yake, ukijumlisha na matatizo ya uendeshaji, hapo ndipo ilipofikishwa.
Dawa pekee ya kuinusuru Tazara ni kuweka statutory provisions kuwa containers zote za Zambia kupitia bandari ya DSM, zitashushiwa ICD ya Tazara na zitapakiwa direct to Taraza, the collection point ni Kapiri Mposhi.
Ushauri kuhusu SGR yetu umetolewa hapa
Reli ya SGR: Je, Tujifunze kwa wenzetu Kenya kuepusha SGR yetu kuwa ‘A White Elephant’? Wenzetu yameshawakuta...
The SGR War: MagufuliKagame vs MuseveniKenyatta ni Vita Kubwa!. Who Will Win, Loose or Its Win Win Situation?.
P
Kulazimisha mizigo ipelekwe na tazara ni kulilemaza shirika na kusababisha uozo.
Mfanyabiashara ana haki ya kuamua nini cha kufanya na mzigo wake.