Tusipopata UKWELI huu Wengi tutaihama CHADEMA

Watu walishazoea maisha ya kitapeli toka kanisani na kwingineko msitegemee haya yataacha kujirudia ndani ya chadema.
 
Nilidhani wewe ni miongoni mwa wapamanaji kumbe gamba! dah! nikupe ushauri ni vizuri ubaki uliko kwa kuwa huna pa kuhamia. Umeshindwa kuwahoji wenzako mikataba ya madini ambayo hata mwenyekiti wako wa Chama alikiri wazi kuwa tumeliwa? Umeshindwa kuwauliza wenzako mikataba ya nyumba za chama chako ya miaka 265 ina manufaa gani kwa CCM? umeshindwa kuhoji bilioni zaidi ya 50 za kodi za watanzani mnazitumiaje? Achilia mbali rushwa na ujagili hayo yote hayakusumbui. Ama kweli toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndipo uweze kuona kibanzi katika jicho la mwenzako.
kwa hiyo kila anayehoji ndani ya chadema ni mwanaccm? Je kila mtu unamjua hapa? Ulevi utaiharibu chadema!
 
HAKUNA ANAYEWEZA KUDANGANYIKA NA THREAD ZA INFLICTOR,DHAIFU WATAONDOKA,SISI WANACHAMA SAFI CDM TUNASUBIRI MATAMKO KUTOKA KWA VIONGOZI KWANI HAYA YALIYOTOKEA TUNAAMINI CHAMA KINAYATAFAKARI KWANZA ILI KUJIPANGA KUJA NA MAJAWABU YATAKAYOJITOSHELEZA, CDM SIO CHAMA CHA WAKURUPUKAJI KWANI HAKIBAHATISHI,NA NINA AMINI HAPANA MUDA MREFU TUTAPATA MAJIBU SAHIHi, "KUMBUKA" MAADUI WA CHAMA CHETU HAWALALI KUJITAHIDI KUHAKIKISHA KINADONDOKA AIDHA KINASAMBARATIKA KTK MEDANI ZA SIASA, NI MUDA MUHAFAKA WA KUONGEZA MSHIKAMANO MIONGONI MWETU, MUNGU IBARIKI CDM
chadema haiwezi kusambaratishwa na magamba bali inaweza kusambaratishwa na ulevi wake yenyewe!
 
Salam wanaJF,

Katika nagzi za uatwala bora na uwajibikaji ni pamoja na ushirikishwaji, uwazi na kujali haki kwa wote. Sie wafuasi sugu wa CDM tunaomba tupewe ukweli kwa yanayojiri kwenye vyombo vya habari na pia uchaguzi ujao. Tunahitaji kujua haya:

1. Mipango ya chama kuwa na ofisi yake bila kukodisha kwani kinapokea ruzuku toka serikalini na hakuna sababu ya kukodisha majengo kwani uwezo wa kuwa na ofisi mikoani upo
2. Ukomo wa uongozi kwa mujibu wa katiba ya chama
3.Mapato na matumizi ya chama
4.Mafanikio ya wabunge wa cham kwa umma japo tunafahamu fika kuwa CCM ndio inayotekeleza sera zake kwani ndyo chama kinachounda serikali.
5. Je kwa nini Zitto Zuberi Kabwe hapewi nafasi kama Naibu Katibu Mkuu wa Chama.

Nawasilisha.

umewasilisha useng. hama chama.......
 
hatuitaji wafuasi sugu we hama tu nenda mwana kwenda...... ...
 
Salam wanaJF,

Katika nagzi za uatwala bora na uwajibikaji ni pamoja na ushirikishwaji, uwazi na kujali haki kwa wote. Sie wafuasi sugu wa CDM tunaomba tupewe ukweli kwa yanayojiri kwenye vyombo vya habari na pia uchaguzi ujao. Tunahitaji kujua haya:

1. Mipango ya chama kuwa na ofisi yake bila kukodisha kwani kinapokea ruzuku toka serikalini na hakuna sababu ya kukodisha majengo kwani uwezo wa kuwa na ofisi mikoani upo
2. Ukomo wa uongozi kwa mujibu wa katiba ya chama
3.Mapato na matumizi ya chama
4.Mafanikio ya wabunge wa cham kwa umma japo tunafahamu fika kuwa CCM ndio inayotekeleza sera zake kwani ndyo chama kinachounda serikali.
5. Je kwa nini Zitto Zuberi Kabwe hapewi nafasi kama Naibu Katibu Mkuu wa Chama.

Nawasilisha.

Wewe ni mamluki tu,toa takataka hii..
 
Kikao cha wafuasi sugu wa CDM, tawi lake lipo wapi kwenye Jamhuri yetu? Maneno ya kusikia ongeza na uelewa wako siyo unakuja humu kupayuka hovyo.
Hoja namba 5 mpigie muhusika simu akupe majibu kwa unayomsemea maana yupo kwenye shughuli za chama.
Usiwe unakurupuka bila kunawa hata uso na kubwabwaja.
 
"ZITTO mwanamume huyu anahatari "watu wanaogopa mpaka kivuli chake??!! si munauhakika munaungwa mkono na wengi ndani ya CDM???,na munaanza na MUNGU!!!sasa UWOGA wanini?muruhusu UCHAGUZI ndani ya Chama wakina ARAWAAAAAA!!!,ndio maana ya neno "CHADEMA".

Ndivyo ulivyofundishwa kuandika au umeamua tu kutuchekesha???
 
Sina hakika kama wewe ni mwanchama wa Chadema. Tafakuri yetu wanachama iko vizuri. Tukutakie safari njema wala usisubiri.
 
kwa hiyo kila anayehoji ndani ya chadema ni mwanaccm? Je kila mtu unamjua hapa? Ulevi utaiharibu chadema!

Hoja yako haiko vizuri hata kidogo. Ni wendawazimu tu wanaweza kusema eti watahama kwa sababu kama ulizitoa. Kama ulitaka kujenga hoja ungesema upatiwe ufafanuzi wa hayo lakini kuweka kitisho cha kuhama huo siyo ukomavu hata kidogo. Ni hizo ni siasa za wanasiasa uchwara. Hiyo ndiyo hoja yangu. Na mara nyingi wanaoongoza kwa siasa uchwari ni CCM.
 
Kusema ukweli sisi wadmd wengi ni weupe kimkakati...kama tukiacha kupuuzia mambo basi tutakijennga chama vizuri ila tukipuuzia tutakua kama upepo uvumao.Ni vyema tutkakubali kwamba changamoto zipo na pia madhaifu yapo... lamsingi ni kuangalia namna ya kukabiliana nazo na sio majibu mepesi mepesi tuu... hapa tunaangalia uendelevu wa chama and its legitimacy not otherwise. Hivyo nategemea kupata majibu ya kujenga na sio hisia za makalio

KIla jambo lina utaratibu wake ndo maana watu wanakuponda,mambo ya chama huzungumziwa kwenye vikao vya chama;hapo waweza ukapata majibu ya maswali hayo,ukiuuliza ndani ya mtandao sana sana utaambulia unachoambulia hivi sasa.
 
Salam wanaJF,

Katika nagzi za uatwala bora na uwajibikaji ni pamoja na ushirikishwaji, uwazi na kujali haki kwa wote. Sie wafuasi sugu wa CDM tunaomba tupewe ukweli kwa yanayojiri kwenye vyombo vya habari na pia uchaguzi ujao. Tunahitaji kujua haya:

1. Mipango ya chama kuwa na ofisi yake bila kukodisha kwani kinapokea ruzuku toka serikalini na hakuna sababu ya kukodisha majengo kwani uwezo wa kuwa na ofisi mikoani upo
2. Ukomo wa uongozi kwa mujibu wa katiba ya chama
3.Mapato na matumizi ya chama
4.Mafanikio ya wabunge wa cham kwa umma japo tunafahamu fika kuwa CCM ndio inayotekeleza sera zake kwani ndyo chama kinachounda serikali.
5. Je kwa nini Zitto Zuberi Kabwe hapewi nafasi kama Naibu Katibu Mkuu wa Chama.

Nawasilisha.

Hama na wenzio wote kuanzia leo
 
Salam wanaJF,

Tunahitaji kujua haya:

1. Mipango ya chama kuwa na ofisi yake bila kukodisha kwani kinapokea ruzuku toka serikalini na hakuna sababu ya kukodisha majengo kwani uwezo wa kuwa na ofisi mikoani upo
2. Ukomo wa uongozi kwa mujibu wa katiba ya chama
3.Mapato na matumizi ya chama

Nawasilisha.
Ni kweli tupu haya lazima yatekelezwe kwa ajili ya uhai wa chama.

ulaaniwe kwako, kwa jirani na njiani kote, huna maana tena kama ni mwanachadema ondoka kwenye chama uck huu, shenji kabisa

Nadhani kwa kauli na majibu yako wewe ndio unayeandaliwa kuwa waziri wa michezo na utamaduni... acha kuropoka...jenga hoja.. kikojozi wee
 
Back
Top Bottom