Salam wanaJF,
Katika nagzi za uatwala bora na uwajibikaji ni pamoja na ushirikishwaji, uwazi na kujali haki kwa wote. Sie wafuasi sugu wa CDM tunaomba tupewe ukweli kwa yanayojiri kwenye vyombo vya habari na pia uchaguzi ujao. Tunahitaji kujua haya:
1. Mipango ya chama kuwa na ofisi yake bila kukodisha kwani kinapokea ruzuku toka serikalini na hakuna sababu ya kukodisha majengo kwani uwezo wa kuwa na ofisi mikoani upo
2. Ukomo wa uongozi kwa mujibu wa katiba ya chama
3.Mapato na matumizi ya chama
4.Mafanikio ya wabunge wa cham kwa umma japo tunafahamu fika kuwa CCM ndio inayotekeleza sera zake kwani ndyo chama kinachounda serikali.
5. Je kwa nini Zitto Zuberi Kabwe hapewi nafasi kama Naibu Katibu Mkuu wa Chama.
Nawasilisha.
ww unataka kudanganywa tu watu wenyewe waongo wa kutupwa ivi hujui waluvyo chakachua katiba yao na walipo ulizwa majibu waliyo toa. Hata mtukufu rais na m/k taifa ccm anawajua hawa watu kama niwaongosalam wanajf,
katika nagzi za uatwala bora na uwajibikaji ni pamoja na ushirikishwaji, uwazi na kujali haki kwa wote. Sie wafuasi sugu wa cdm tunaomba tupewe ukweli kwa yanayojiri kwenye vyombo vya habari na pia uchaguzi ujao. Tunahitaji kujua haya:
1. Mipango ya chama kuwa na ofisi yake bila kukodisha kwani kinapokea ruzuku toka serikalini na hakuna sababu ya kukodisha majengo kwani uwezo wa kuwa na ofisi mikoani upo
2. Ukomo wa uongozi kwa mujibu wa katiba ya chama
3.mapato na matumizi ya chama
4.mafanikio ya wabunge wa cham kwa umma japo tunafahamu fika kuwa ccm ndio inayotekeleza sera zake kwani ndyo chama kinachounda serikali.
5. Je kwa nini zitto zuberi kabwe hapewi nafasi kama naibu katibu mkuu wa chama.
Nawasilisha.
Salam wanaJF,
Katika nagzi za uatwala bora na uwajibikaji ni pamoja na ushirikishwaji, uwazi na kujali haki kwa wote. Sie wafuasi sugu wa CDM tunaomba tupewe ukweli kwa yanayojiri kwenye vyombo vya habari na pia uchaguzi ujao. Tunahitaji kujua haya:
1. Mipango ya chama kuwa na ofisi yake bila kukodisha kwani kinapokea ruzuku toka serikalini na hakuna sababu ya kukodisha majengo kwani uwezo wa kuwa na ofisi mikoani upo
2. Ukomo wa uongozi kwa mujibu wa katiba ya chama
3.Mapato na matumizi ya chama
4.Mafanikio ya wabunge wa cham kwa umma japo tunafahamu fika kuwa CCM ndio inayotekeleza sera zake kwani ndyo chama kinachounda serikali.
5. Je kwa nini Zitto Zuberi Kabwe hapewi nafasi kama Naibu Katibu Mkuu wa Chama.
Nawasilisha.
Salam wanaJF,
Katika nagzi za uatwala bora na uwajibikaji ni pamoja na ushirikishwaji, uwazi na kujali haki kwa wote. Sie wafuasi sugu wa CDM tunaomba tupewe ukweli kwa yanayojiri kwenye vyombo vya habari na pia uchaguzi ujao. Tunahitaji kujua haya:
1. Mipango ya chama kuwa na ofisi yake bila kukodisha kwani kinapokea ruzuku toka serikalini na hakuna sababu ya kukodisha majengo kwani uwezo wa kuwa na ofisi mikoani upo
2. Ukomo wa uongozi kwa mujibu wa katiba ya chama
3.Mapato na matumizi ya chama
4.Mafanikio ya wabunge wa cham kwa umma japo tunafahamu fika kuwa CCM ndio inayotekeleza sera zake kwani ndyo chama kinachounda serikali.
5. Je kwa nini Zitto Zuberi Kabwe hapewi nafasi kama Naibu Katibu Mkuu wa Chama.
Nawasilisha.
Mnasubiri nini kuondoka?Salam wanaJF,

chadema haiwezi kufa kwa sababu ya ccm, bali inaweza kufa kwa ulevi wake yenyewe, kwa kufikiri yeyote anayeikosoa ni adui wa chama hicho!Mimi naamini CDM haina wanachama sugu bali ina wanachama wanaoamini katika haki usawa na ukombozi wa mtanzania.Huu uanachama sugu nadhani ndio chimbuko la mawazo yako ya kutaka majibu kwa kutoa masharti.
Mimi naona si busara kutanguliza masharti kabla hujaeleweka,na unaweza kupachikwa jina kutokana na kichwa cha habari ya uzi uliouleta kama mmojawapo wa wahujumu wa CDM.
Nawahasa wana CDM kuwa makini na watu walioamua kubadilisha ID zao humu JF ili kutimiza malengo yao ya kuona CDM inakufa na wezi wanaendelea kuiibia nchi hii bila huruma.
not every dream comes true kamanda!dreams come true
kila anayekosoa chama chetu ni buku 7? Kukosoa ni afya kwa chama!Ya MV. Lumumba buku7...
kwa hiyo mwanachama wa kawaida hana haki ya kuhoji mambo ya chama? Nini falsafa ya nguvu ya umma?1. Unataka uambiwe mipango ya chama kujenga ofisi wewe ni nani? kila kitu kina taratibu zake na sehemu muhimu ya kujadili masuala ya CHADEMA ni kwenye vikao vyake
2. Ukomo wa uongozi tafuta katiba uisome utaelewa nini kilichoandikwa unapotaka uambiwe huo ni uzuzu kwani kama mwanachama lazima utakuwa na katiba na utakuwa umeisoma na kuielewa.
3. Mapato na matumizi taarifa zake zinatolewa katika vikao vya chama na zipo katika ofisi za makao makuu ya chama nenda ukaombe upewe lakini kwa sababu unaandika huku ukiwa umejificha ID hauwezi kufanya hivyo kwa sababu ya unafiki
4. Zitto sio kama hapewi nafasi isipokuwa ni yeye asiyewajibika katika nafasi yake kwa sababu ya kujitenga kwake na kujiingiza katika kuunda vikundi vya uasi ndani ya chama.
duh,kamanda nyerere alikufa mwaka gani?Umenikumbusha enzi za mwalimu.Mambo ya kuhoji ----- hayakuwepo,na wengine wakasema mwalimu ni dikteta.
lakini mashule yote yalikuwa na madawati,walimu walilipwa mishahara yao vizuri n.k
Cha kushangaza hata baada ya kifo chake watu wanapenda sana kusikiliza hotuba zake pamoja na kwamba alikufa mwaka 1998
lakini hotuba zake zinaheshimika kuliko za viongozi walio hai.
Hivyo nawapongeza viongozi wa CDM na ninawaomba msitoe nafasi kwa wanaofanya kazi ya kuhoji lakini hawana mawazo ya kujenga
Tupelekeni mwendo wa mwalimu J.K. Mpaka TZ ikombolewe.Tukiisha kombolewa tutawaelewa tu
Kazi yenu ni njema tunaiona bungeni na kila mnaposimama kufanya jambo linafanikiwa.
ukitaka kuchukua nchi kama chama,usimdharau yeyote yule, sikiliza mawazo yake! Chadema ikianza ulevi wa kupuuza wanachama wake ni hatari kwa ustawi wake!Hujawahi kuwa CDM wewe.Ulivyoandika inaaonyesha unamajibu ya yote ulioyouliza.Acha utoto
hii serikali inaongozwa na chama gani? Je na chadema mnataka kuendeleza utaratibu huohuo mkiwa madarakani?kwanini usiihame serikali yako iliyoshindwa kujenga nyumba kwaajiri ya viongozi wake badala yake imewapangishia na ina mapesa lukuki yawalipa kodi
TULIJUA TOKEA ZAMANI NGOMA YA WATOTO HAIKESHI,OLE WENU MURUHUSU DEMOKRASIA NDANI YA CHAMA "kushney" sababu WACHAGA hawatakubali kupokonywa chama chao!!!!
Salam wanaJF,
Katika nagzi za uatwala bora na uwajibikaji ni pamoja na ushirikishwaji, uwazi na kujali haki kwa wote. Sie wafuasi sugu wa CDM tunaomba tupewe ukweli kwa yanayojiri kwenye vyombo vya habari na pia uchaguzi ujao. Tunahitaji kujua haya:
1. Mipango ya chama kuwa na ofisi yake bila kukodisha kwani kinapokea ruzuku toka serikalini na hakuna sababu ya kukodisha majengo kwani uwezo wa kuwa na ofisi mikoani upo
2. Ukomo wa uongozi kwa mujibu wa katiba ya chama
3.Mapato na matumizi ya chama
4.Mafanikio ya wabunge wa cham kwa umma japo tunafahamu fika kuwa CCM ndio inayotekeleza sera zake kwani ndyo chama kinachounda serikali.
5. Je kwa nini Zitto Zuberi Kabwe hapewi nafasi kama Naibu Katibu Mkuu wa Chama.
Nawasilisha.
mkuu watanzania wengi tuliamini chadema wataonyesha tofauti yao na ccm, lakini kunakoelekea wanataka kufanana, jamani tutakombolewa na nani sasa? Chama kinaendelea kulipia pango mamilioni badala ya kujenga ofisi yake yenyewe, chama kinaendelea kutumia gazeti la mbowe badala ya kuanzisha la kwake. Je kama mbowe aliweza kuiuzuia chadema gari na vifaa vya matangazo,kwa nini asiuze gazeti lake kwa chama? Je chama lini kitasimama kama taasisi? Naipenda sana chadema, lakini kwa muendelezo huu mbele ni giza!nilijiunga CDM mwaka 2001 siku na muda mmoja na ZZK, nilikipenda sana sana Chama_lakin kadri muda ulivyokuwa ukienda hali ya sintofaham ilizidi kunizonga na mwaka 2011 niliwahi kuja na hoja ambayo mpaka Mello na Moderator wakanifanya kama muhaini na NIKAINGOZWA KIFUNGONI_nashukuru sana mambo haya sasa yanajidhihirisha machoni kwa wengi na sasa kwamba chama kinaendeshwa kwa akili na matakwa ya wachache na KATIBA haifuatwi na wakosefu ni wale wanaosema Ukweli sasa mambo haya yanadhihirika machoni mwa wengi_nikiwa kidato cha IV Mwigamba alikuwa kidato cha III, naamini tulisomeshwa na waalim sahihi kwasababu ya kushahabiana kifikra. vijana siku hizi wamekuwa waoga wa maisha kiasi kwamba wameamua kuburuzwa kwa mahitaji ya wachache kwsbb ya kuendekeza mabakuli kwa viongozi