kwann uwazungumzie wengine?sema wewe uatjitoa,wengi ndio akina nani?halafu unasema chama kina uwezo wa kujenga jengo lake/ofisi na pia kuwa na ofisi kila mkoa; sasa nikuulize maswali yafutayo:-
1. Je unajua chama kinapokea ruzuku kiasi gani kwa mwezi?je katika hiyo ruzuku operating expenses kama mishahara,shughuli za kujenga chama na mengineyo zinatosha,je chenji inabakia kwa kujenga ofisi ya makao makuu na mikani?
2.Unasema unataka upewe majibu ya mambo yanayozungumzwa mitanadoni,magazetini na kwingineko,mambo gani hayo mbona hujayataja au wewe pia ni mdaku?
3.Unasema naibu katibu mkuu apewe nafasi yake kama katibu mkuu,je unajua majukumu ya naibu katibu mkuu?na je yeye naibu katibu amewahi kulalamika kuwa ananyimwa kufanya kazi zake?au wewe ndio wale wasiopenda changamoto za kiuongozi au pia ndio wale wenye kuamini CHADEMA itakufa kwa maneno yenu,chuki zenu,propaganda zenu na umafia wenu?
Kabla hujajibu hayo jipime mwenyewe na ujione kama kweli wewe ni mtu sahihi kuyasema hayo uliyoyasema na je upo kundi lipi,WAJENGAJI AU WABOMOAJI?
VIVA CCM,VIVA CHADEMA,VIVA ALL OPPOSITION PARTS.