Tusipopata UKWELI huu Wengi tutaihama CHADEMA

Mzee Sabodo alishajitolea kujenga ofisi makao makuu,ahadi imefikia wapi?Mh.Zitto ni naibu katibu mkuu cdm unataka apewe nafasi kivipi?kwa kua chama kimepiga hatua kubwa chini ya uongozi uliopo hakuna haja ya kupangua safu mpaka ccm itoke madarakani!TUSHIRIKIANE KWA NGUVU ZOTE KUMTOA MKOLONI MWEUSI TANZANIA zanzibar wameweza kiasi bado tanganyika
 
Cdm ni chama cha ukoo ndio maana hakitaki kukospolewa. Ila wao ndio wa kwanza kushutumu vyama vingine. Urais watausikilizia marangu mtoni
 
Salam wanaJF,

Katika nagzi za uatwala bora na uwajibikaji ni pamoja na ushirikishwaji, uwazi na kujali haki kwa wote. Sie wafuasi sugu wa CDM tunaomba tupewe ukweli kwa yanayojiri kwenye vyombo vya habari na pia uchaguzi ujao. Tunahitaji kujua haya:

1. Mipango ya chama kuwa na ofisi yake bila kukodisha kwani kinapokea ruzuku toka serikalini na hakuna sababu ya kukodisha majengo kwani uwezo wa kuwa na ofisi mikoani upo
2. Ukomo wa uongozi kwa mujibu wa katiba ya chama
3.Mapato na matumizi ya chama
4.Mafanikio ya wabunge wa cham kwa umma japo tunafahamu fika kuwa CCM ndio inayotekeleza sera zake kwani ndyo chama kinachounda serikali.
5. Je kwa nini Zitto Zuberi Kabwe hapewi nafasi kama Naibu Katibu Mkuu wa Chama.

Nawasilisha.

Mkuu ungekua na akili usingejificha kwa kutumia id! CDM ni chama cha siasa kama vingine, kuwataka wadhihirishe ukweli ili wewe usiondoke imenitisha kidogo!!
 
Salam wanaJF,

Katika nagzi za uatwala bora na uwajibikaji ni pamoja na ushirikishwaji, uwazi na kujali haki kwa wote. Sie wafuasi sugu wa CDM tunaomba tupewe ukweli kwa yanayojiri kwenye vyombo vya habari na pia uchaguzi ujao. Tunahitaji kujua haya:

1. Mipango ya chama kuwa na ofisi yake bila kukodisha kwani kinapokea ruzuku toka serikalini na hakuna sababu ya kukodisha majengo kwani uwezo wa kuwa na ofisi mikoani upo
2. Ukomo wa uongozi kwa mujibu wa katiba ya chama
3.Mapato na matumizi ya chama
4.Mafanikio ya wabunge wa cham kwa umma japo tunafahamu fika kuwa CCM ndio inayotekeleza sera zake kwani ndyo chama kinachounda serikali.
5. Je kwa nini Zitto Zuberi Kabwe hapewi nafasi kama Naibu Katibu Mkuu wa Chama.

Nawasilisha.

Ondoka salama sisi bdo tupo.
 
hoja dhaifu hutaja-taja majina ya watu
 
Cdm ni chama cha ukoo ndio maana hakitaki kukospolewa. Ila wao ndio wa kwanza kushutumu vyama vingine. Urais watausikilizia marangu mtoni

Punguza hasira mkuu ili uweze kuandika kitu kinachoeleweka!! Kitu kidogo huwa unajaa upepo sana aisee.
 
Utahama peke yako. Mimi sihami hata mbowe na zitto wakifukuzwa. Mia
 
"ZITTO mwanamume huyu anahatari "watu wanaogopa mpaka kivuli chake??!! si munauhakika munaungwa mkono na wengi ndani ya CDM???,na munaanza na MUNGU!!!sasa UWOGA wanini?muruhusu UCHAGUZI ndani ya Chama wakina ARAWAAAAAA!!!,ndio maana ya neno "CHADEMA".
 
TULIJUA TOKEA ZAMANI NGOMA YA WATOTO HAIKESHI,OLE WENU MURUHUSU DEMOKRASIA NDANI YA CHAMA "kushney" sababu WACHAGA hawatakubali kupokonywa chama chao!!!!

Uongozi wa juu chadema haujajiandaa kukabiliana na changamoto za kukua kwa kasi kwa chama. Whether ni ukabila ama uswahiba wa kikundi fulani ndani ya chama vyovyote vile havitasimama, demokrasia inatabia ya kuwaibisha wanaojaribu kuizuia. People's power
 
yaani sisi tuame cdm kwa sababu ya vihoja vyako vyepesi kiasi hiki.kama unajua kuhoji kweli,kwanini usitusaidie kuhoji ccm wanaokusanya kodi zetu nakuzifuja kiasi hiki, na kutawanya hovyo Maliasiri za nchi hii?
 
Salam wanaJF,

Katika nagzi za uatwala bora na uwajibikaji ni pamoja na ushirikishwaji, uwazi na kujali haki kwa wote. Sie wafuasi sugu wa CDM tunaomba tupewe ukweli kwa yanayojiri kwenye vyombo vya habari na pia uchaguzi ujao. Tunahitaji kujua haya:

1. Mipango ya chama kuwa na ofisi yake bila kukodisha kwani kinapokea ruzuku toka serikalini na hakuna sababu ya kukodisha majengo kwani uwezo wa kuwa na ofisi mikoani upo
2. Ukomo wa uongozi kwa mujibu wa katiba ya chama
3.Mapato na matumizi ya chama
4.Mafanikio ya wabunge wa cham kwa umma japo tunafahamu fika kuwa CCM ndio inayotekeleza sera zake kwani ndyo chama kinachounda serikali.
5. Je kwa nini Zitto Zuberi Kabwe hapewi nafasi kama Naibu Katibu Mkuu wa Chama.

Nawasilisha.

inabidi kuanzia leo utembee na helmet.yaani umehoji na id yako ipo ubaoni sasa be awere na kitofa.
 
yaani sisi tuame cdm kwa sababu ya vihoja vyako vyepesi kiasi hiki.kama unajua kuhoji kweli,kwanini usitusaidie kuhoji ccm wanaokusanya kodi zetu nakuzifuja kiasi hiki, na kutawanya hovyo Maliasiri za nchi hii?

bora ya zimwi litujualo
 
Kusema ukweli sisi wadmd wengi ni weupe kimkakati...kama tukiacha kupuuzia mambo basi tutakijennga chama vizuri ila tukipuuzia tutakua kama upepo uvumao.Ni vyema tutkakubali kwamba changamoto zipo na pia madhaifu yapo... lamsingi ni kuangalia namna ya kukabiliana nazo na sio majibu mepesi mepesi tuu... hapa tunaangalia uendelevu wa chama and its legitimacy not otherwise. Hivyo nategemea kupata majibu ya kujenga na sio hisia za makalio

tatizo wanachadema wengi yanaposemwa mambo ya msingi ambayo yanaweza kusaidia kujenga ama kubomoa chama,wanakuwa wakali katika kumshambulia mleta maada hata kama kuna jamba la msingi ndani ya hiyo maada.
Mimi naomba sana viongozi wa CDM makao makuu wawe wanachukua hoja zote ziletwazo humu na nnje ya humu na kuzifanyia kazi kwani mara nyingi huwa kunakuwa na hoja za msingi sana kwa ajili ya ujengaji wa chama na hatimaye ukombozi wa taifa hili
 
Ole wenu mnaohoji mapato na matumizi ndani ya chadema
 
Usisubiri majibu, anza mbele na matangazo. huna tofauti na juliana shonza na mtela mwampamba, nimekudharau sana. chapa mwendo lakini tutaikomboa nchi ili ufaidi maziwa na asali vipatikanavyo kwayo.

Kwa majibu kama haya kweli tutapoteza watu.
 
Back
Top Bottom