Tusipopata UKWELI huu Wengi tutaihama CHADEMA

Tusipopata UKWELI huu Wengi tutaihama CHADEMA

Yaani mtu yoyote wa CDM akiuliza maswali magumu anaonekana sio mwenzao,rejea Mwigamba kilichomkuta,ambaye alikua ni mwenyekiti wa mkoa,eti leo Ben Saanane ni mwaminifu kuliko Mwigamba si kujidanganya tu.vijana wengi kwenye vyama vya siasa wapo kimaslai tu!
Binafsi uchaguzi uliopita nilimpa kura dr Silaa sababu nilikua nahitaji mabadiliko,ila mwaka ujao sijui kama nitashawishika
Ha ha wewe tutakukolimba we acha tuu nyani haoni kundule
 
Salam wanaJF,

Katika nagzi za uatwala bora na uwajibikaji ni pamoja na ushirikishwaji, uwazi na kujali haki kwa wote. Sie wafuasi sugu wa CDM tunaomba tupewe ukweli kwa yanayojiri kwenye vyombo vya habari na pia uchaguzi ujao. Tunahitaji kujua haya:
Nini maana ya wafuasi sugu na wanatofautiana vipi na wafuasi wa kawaida...je wewe ndiye msemaji wa wafuasi sugu?
1. Mipango ya chama kuwa na ofisi yake bila kukodisha kwani kinapokea ruzuku toka serikalini na hakuna sababu ya kukodisha majengo kwani uwezo wa kuwa na ofisi mikoani upo
Nadhani kazi muhimu zaidi ni kuimarisha chama kwanza kama M4C na kadhalika..
. Ukomo wa uongozi kwa mujibu wa katiba ya chama
Imeelezwa kwenye katiba ya 2006, itafute kama wewe kweli ni mfuasi sugu!
3.Mapato na matumizi ya chama
Yanawasilishwa kwa wanaohusika.
4.Mafanikio ya wabunge wa cham kwa umma japo tunafahamu fika kuwa CCM ndio inayotekeleza sera zake kwani ndyo chama kinachounda serikali.
Kutoa elimu kwa Umma na kuzikosoa sera mbovu za chama tawala na utawala dhaifu.
5. Je kwa nini Zitto Zuberi Kabwe hapewi nafasi kama Naibu Katibu Mkuu wa Chama.
Kazi za Naibu Katibu Mkuu zimeoanishwa kwenye katiba.
 
Salam wanaJF,

Katika nagzi za uatwala bora na uwajibikaji ni pamoja na ushirikishwaji, uwazi na kujali haki kwa wote. Sie wafuasi sugu wa CDM tunaomba tupewe ukweli kwa yanayojiri kwenye vyombo vya habari na pia uchaguzi ujao. Tunahitaji kujua haya:

1. Mipango ya chama kuwa na ofisi yake bila kukodisha kwani kinapokea ruzuku toka serikalini na hakuna sababu ya kukodisha majengo kwani uwezo wa kuwa na ofisi mikoani upo
2. Ukomo wa uongozi kwa mujibu wa katiba ya chama
3.Mapato na matumizi ya chama
4.Mafanikio ya wabunge wa cham kwa umma japo tunafahamu fika kuwa CCM ndio inayotekeleza sera zake kwani ndyo chama kinachounda serikali.
5. Je kwa nini Zitto Zuberi Kabwe hapewi nafasi kama Naibu Katibu Mkuu wa Chama.

Nawasilisha.

Nenda kwenye vikao halali vya Chama utajibu was yote hayo
 
Kama ulivyojipamabanua kuwa mwanachama sugu wa CDM basi hatutegemei uhame kwa sababu zenye uzito kama huu wa pamba.Unawezaje kuja JF uhoji na kutaka kuaga chama kwa kutokea huku?Chama hakiko huku JF,Nenda pale chamani ukapate majibu mujarabu wa hayo uloyauliza au wa-PM viongozi wa chama kama kina Michael Aweda,Ben Saanane et al.Pia ujue kila mtu atakuwa na sababu yake ya kutoka ktk chama si lazima ku-rely kwenye hizi zako hapo juu.
 
Kama una akili timamu nakushauri, usihame CHADEMA mpaka utakapopata majibu ya maswali yako.
 
Salam wanaJF,

Katika nagzi za uatwala bora na uwajibikaji ni pamoja na ushirikishwaji,
uwazi na kujali haki kwa wote. Sie wafuasi sugu wa CDM tunaomba tupewe
ukweli kwa yanayojiri kwenye vyombo vya habari na pia uchaguzi ujao.
Tunahitaji kujua haya:

1. Mipango ya chama kuwa na ofisi yake bila kukodisha kwani kinapokea
ruzuku toka serikalini na hakuna sababu ya kukodisha majengo kwani
uwezo wa kuwa na ofisi mikoani upo
2. Ukomo wa uongozi kwa mujibu wa katiba ya chama
3.Mapato na matumizi ya chama
4.Mafanikio ya wabunge wa cham kwa umma japo tunafahamu fika kuwa CCM
ndio inayotekeleza sera zake kwani ndyo chama kinachounda serikali.
5. Je kwa nini Zitto Zuberi Kabwe hapewi nafasi kama Naibu Katibu Mkuu
wa Chama.

Nawasilisha.

nyavu zako mbovu,hukamati hata dagaa hapo!
 
Back
Top Bottom