Nendeni shule kwanza ndipo mrudi hapa, vilaza wakubwa tanzania hii ni nyie waislam...na hamtaendelea kuwapita wakristu....sahauni.
tutaendelea kuwatibu kwenye hospitali zetu, kuwasomesha watoto wenu maskini, tutawalipia gharama za matibabu india watoto wenu wanaohitaji operation kubwa, hata mkitaka vingine tutawapa maana hamna elimu wala hela na hata tabia ya utoaji hamna...tutawakimbiza mchakamchaka mpaka mwisho....
WEWE UMELONGA BABA/MAMA sorry i dont know ur sex. nimeipenda msg yako hatugombani ng'oooo ila hao wanaotumiwa na CCM watashangaa na roho zao. eti TZ kuna udini wanataka kupandikiza ili iweje, TUTAKUTANA 2015Hatugombani ng'ooooo kwani sisi wengine familia zetu zimechanganyika waislamu na wakristo tena wakatoliki na tunapendana kishenzi.
WEWE UMELONGA BABA/MAMA sorry i dont know ur sex. nimeipenda msg yako hatugombani ng'oooo ila hao wanaotumiwa na CCM watashangaa na roho zao. eti TZ kuna udini wanataka kupandikiza ili iweje, TUTAKUTANA 2015
tatizo lako wewe ni mmoja wa watanzania ambao ni wasahaulifu, suala la kusema chama fulani kinaungwa mkono na dini fulani hasa kinapowatetea watanzania halijaanza leo ililikuwa hivyo kwa NCCR, baadaye CUF, leo CUF imepigwa pingu Zenji, CDM ndio imeonekana ya kidini. Anyway cha muhimu fimbo zinazotembezwa na CCM kwa waTZ wote tena hazichagui ww ni chama gani au dini gani, wote tunatandikwa tu. NATAMANI WATZ WANGEFANYA KAMA TUNISIA INGEPENDEZA WW UNAONAJE?. kudai uhuru ktkt ya wajinga shida maanawanahongwa kofia, t-shirt, kanga , 2000/- kuuza uhuru kama unabisha sema hali mtaani kwako ikoje?:eyeroll1::love:Unaongea kwa niaba ya chama gani mzee?
kama ni cdm kwa gia yenu ya udini kampeni makanisani na kwenye vigango basi subirini hiyo 2015
tatizo lako wewe ni mmoja wa watanzania ambao ni wasahaulifu, suala la kusema chama fulani kinaungwa mkono na dini fulani hasa kinapowatetea watanzania halijaanza leo ililikuwa hivyo kwa NCCR, baadaye CUF, leo CUF imepigwa pingu Zenji, CDM ndio imeonekana ya kidini. Anyway cha muhimu fimbo zinazotembezwa na CCM kwa waTZ wote tena hazichagui ww ni chama gani au dini gani, wote tunatandikwa tu. NATAMANI WATZ WANGEFANYA KAMA TUNISIA INGEPENDEZA WW UNAONAJE?. kudai uhuru ktkt ya wajinga shida maanawanahongwa kofia, t-shirt, kanga , 2000/- kuuza uhuru kama unabisha sema hali mtaani kwako ikoje?:eyeroll1::love:

acheni kulialia na vyombo vya habari vya kiislam kama vinawakera msisome wala kusikiliza, mbona mnastation za na magazeti tele na kuna habari za kila aina, hata sie tukifungua husikia kama ulivyojisikia ww, cha kushangaza redio zenyewe hata nusu ya za kwenu hazifiki, na huku mnaziiita kuwa zina coverage ndogo, waandishi na watangazaji wasio na elimu kinacho waumiza kichwa mkaanza kujadili ni kipi haswa, nashangaa ya mjinga nayo yanajadiliwa, ama kweli zinawapelekesha! poleni ila tu ushauri wa bure kama inakukera achana nayo... tanzania ina uhuru wa kuongea na kuandika kwa mtizamo wa fikra za mtu....Wadau, jana katika kubadilisha station ya radio yangu nilikutana na mjadala uliokuwa ukiendeshwa redio imani, hii ni redio ya kiislamu iliyoko mjini Morogoro. Ingawa si kawaida yangu kuisikiliza lakini nilishawishika kuwasikiliza kutokana na uzito wa mambo yaliyokuwa yakijadiliwa.
Mjadala ulihusu tamko walilotoa kuhusu maaskofu, walivilaumu vyombo vya habari magazeti particularly mwananchi na magazeti mengine kama nipashe, Tz Daima etc kwamba yamepotosha tamko lao pamoja na kuwa waliwapa tamko hilo kimaandishi. Nilijiuliza inakuwaje magazeti yote yanakosea kitu kilekile.
Kilichonisikitisha katika mjadala huo ni uchochezi na upotoshaji wanaoueneza hawa masheikh kwa sababu wanazojua wao. Kwa mfano walisema nchi inaendeshwa kwa mfumo wa kikiristu toka enzi za Nyerere, moja ya madai yao ni kwamba waislaumu walikuwa wakifelishwa makusudi shuleni ili wasisome, bila shaka haya ni madai makubwa sana.
Mambo mengine ni kwamba ili kudhibitisha kwamba nchi inaendeshwa kikristo ni kwa nini wakristo wana university na hospitali nyingi kuliko serikali, madai mengine ni kwamba kwa nini hospitali za kikristo zilizotaifishwa na serikali zilirudishwa , bila shaka katika hili ni kwamba serikali ilishindwa kuziendesha, lakini kwa sababu wanazojua wao waliishia kulaumu mfumo wa utawala wa kikristo. Katika hili wao walikiri kwamba hakurudishiwa kitu kwa kuwa hawakunyanganywa kitu!
Baada ya kumaliza majadiliano waliruhusu wasikilizaji kutuma sms na kupiga simu studio, wengi wa wachangiaji waliwashukuru masheikh kwa hatua yao lakini pia kuna waliosema watajichukulia sheria mkononi ili kuwaadhibu waandishi, na wengine walitaka itangazwe jihad dhidi yao.
Nilivyoona mimi hakuna shabaha nyingine zaidi ya kuleta chuki miongoni mwa dini jambo ambalo si kawaida yetu watz.
Ingawa najua kwamba redio hii haina wasikilizaji wengi lakini mijadala ya uchochezi namna ile haitakiwi kupita bila kukemewa. Katika mauaji ya Rwanda redio zilitumika sana kuchochea chuki baina ya watu, hatutakiwi kufika huko, nadhani ni wakati muafaka kwa intelijensia ya polisi kufanya kazi sasa ili kuzuia maafa yanayoweza kutokana na uchochezi wa redio imani
Wana JF naomba kuwakilisha
kigoma malima wakati akiwa waziri wa elimu ndie aliyeintoroduce mfumo wa number, acheni kuchangia mada kinafiki na kishabiki
Wadau, jana katika kubadilisha station ya radio yangu nilikutana na mjadala uliokuwa ukiendeshwa redio imani, hii ni redio ya kiislamu iliyoko mjini Morogoro. Ingawa si kawaida yangu kuisikiliza lakini nilishawishika kuwasikiliza kutokana na uzito wa mambo yaliyokuwa yakijadiliwa.

umenena mkuu! kila mtu aheshimu itikadi na maoni ya mwenzie, ukiona hayakuhusu sogea pembeni siku zitaenda na tutafika tunapokwenda japo kila mtu atapita njia yakeLazima tukubali kuwa wafuasi wadini hizi mbili ni tofauti,na lazima tuzikubali hizo tofauti na kuheshimiana kwa kupitia hizo tofauti.NAOMBA TUSIKEJELIANE kwani sisi ni watu wamoja,Tanzania ni yetu sote anae fikiri hii nchi niyake peke yake huyo anakosea
wakifanya waislam tunaambiwa wanakera na pia wanachanganya dini na siasa wakifanya wao ni sahihi nani mawazo ya busara!Nyani haoni kundule! Tena mimi naona maaskofu ndio wanatupeleka shimoni kabisa maanayake wamekua wanasiasa na wanataka ukiristo uongoze nchi! Mwaka huu wametoa matamko kibao! Ukiyachunguza ni udini tu!
acheni kulialia na vyombo vya habari vya kiislam kama vinawakera msisome wala kusikiliza, mbona mnastation za na magazeti tele na kuna habari za kila aina, hata sie tukifungua husikia kama ulivyojisikia ww, cha kushangaza redio zenyewe hata nusu ya za kwenu hazifiki, na huku mnaziiita kuwa zina coverage ndogo, waandishi na watangazaji wasio na elimu kinacho waumiza kichwa mkaanza kujadili ni kipi haswa, nashangaa ya mjinga nayo yanajadiliwa, ama kweli zinawapelekesha! poleni ila tu ushauri wa bure kama inakukera achana nayo... tanzania ina uhuru wa kuongea na kuandika kwa mtizamo wa fikra za mtu....
tatizo lako wewe ni mmoja wa watanzania ambao ni wasahaulifu, suala la kusema chama fulani kinaungwa mkono na dini fulani hasa kinapowatetea watanzania halijaanza leo ililikuwa hivyo kwa NCCR, baadaye CUF, leo CUF imepigwa pingu Zenji, CDM ndio imeonekana ya kidini. Anyway cha muhimu fimbo zinazotembezwa na CCM kwa waTZ wote tena hazichagui ww ni chama gani au dini gani, wote tunatandikwa tu. NATAMANI WATZ WANGEFANYA KAMA TUNISIA INGEPENDEZA WW UNAONAJE?. kudai uhuru ktkt ya wajinga shida maanawanahongwa kofia, t-shirt, kanga , 2000/- kuuza uhuru kama unabisha sema hali mtaani kwako ikoje?:eyeroll1::love:
wakifanya waislam tunaambiwa wanakera na pia wanachanganya dini na siasa wakifanya wao ni sahihi nani mawazo ya busara!
imefikia sasa hata vikao vya serikali vinafungwa na maombi ya wachungaji, tena maombi yanayopewa baraka na waziri mkuu, hakuna anayesema, nimesubiri kusikia gazeti, redio au TV itakayoripoti jinsi kikao cha kusuluhisha mgogoro cha udom kilivyofungwa kwa maombi ya mchungaji as if ni kikao cha dini, sijaona! hii ndio Tanzania inayotakiwa, waislam wasiwe na pakuzungumza.
haswaaa! tena nilikuwa sijaelewa kwa nini wanamfagilia huyu jamaa but since then I got to learn, who is he!! bila uoga wala hata kuheshimu basi kama si wahadhiri hata viongozi wenzie alioandamana nao ambao ni waislam kwa mbwembwe kabisa alidiriki kumtaka mchungaji ashushe maombi ya kufunga kikao!! hii ndio nchi isiyo na dini....Hawatosheki hawa mimi nawshangaa mnategemea any good from them ..then hujui kitu..
Hawa jamaa kila siku wao ni wivu, ubaguzi, kwa waislamu hasa huyu pinda disgusting!
MAMBO YA CHUO HAYO WAMEFUNDISHWA CHUO HAO SINCE MIAKA MITATU WAKO CHUO ACHaNA NAO WAPOTEZEE HAWANA MAANA WATU WA MADRASA