Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

Status
Not open for further replies.
Aseme neno gani wakati kaukumbatia udini? SSM yake ndiyo inaimba udini kila siku!!! Sijawahi sikia CDM wanaimba udini ila wanasingiziwa ni wadini na wakabila. Bora wadini na wakabila kuliko wezi na mafisadi na vitega uchumi vyao vya kiuaji kama kile kiwanda cha kupitia mgongo wa madhabidha ambao serikali katika maswali ilidhamini 40% na mwekezaji 60%!!! But who is this serikali? Iliyoko madarakani? Under which rullling party? SSM??
 
Atasema neno gani wakati yeye mwenyewe ni MDINI mkubwa. Ukitaka kuamini fanya research ya mambo yaliyopo UDOM utajua.
 
afute kwanza radio imani inayochochea udini kupitia vipindi vyake
 
wachangiaji wa hapo juu mpo sahihi kabisa, tumeanza kuona kundi moja la kidini likianza kuvunja sheria kwa wazi na bila kuulizwa, ni makosa gani makanisa yamefanya leo hadi kuchomwa moto na kuvamiwa, Serikali dhaifu imekubali kuyumbishwa, imeyumba na sasa matokeo yameanza kuonekana, nasema TANZANIA sio salama tena, JK hakwepi kwa namna yeyote shutuma hizi, na dhambi hii iliyoasisiwa na CCM katu haitowaacha salama.
 
mleta mada, hilo lisahau.....

Chokochoko zimeanza leo? Ushaona hata siku moja wakichukuliwa hatua?





Kidumu chama cha mapinduzi...
Zidumu fikra za mwenyekiti......
 
Amani na utulivu kwishiney! Watu sasa wanapanga mikakati ya kuanzisha vita ya kidini nchini sijui kwa manufaa ya nani!

Bila kutafuna maneno yote haya yamesababishwa na JK wakati akijinadi katika kampeni ya uchaguzi mkuu wa 2010. Sasa tunamtaka kwa kutumia mkakati na mbinu zile zile atulize hali ya mambo ili nchi irejee katika utulivu na kuvumiliana tulikozoea! Vinginevyo utakuwa rais utakayekumbukwa kwa kuanzisha vita!

Kuna watu wamekaa mkao wa kudeka wakisubiri au wakitegeshea wenzao wafanye kosa lo lote ili waanzishe vurugu za kuua, kuharibu na kuiba mali za watu na makanisa!

JK shame upon you!!!!!!!
 
Huyu dhaifu ni janga la taifa! askofu kilaini alisema ni chaguo la mungu! kumbe ni janga la kitaifa.nchi anaipeleka pabaya.kama ameshindwa kuongoza atuachie TZ yetu.
 
Wacha tuchapane kwanza kwa kusababishiwa na viongozi waliopo madarakani maana walidhani kugomea sensa ndo mwisho. Ngoja ponda atoe amri kwa redio iman itangaze nguruwe wote wauawe. Chezea jk na ponda wewe!
 
Ndugu zetu waislamu hapo jazba imetumika. Amani ni ya faida kwetu sote tusilewe. Ikitoweka vita haina macho wote katika jamii hatutakuwa na amani na tutatawanya familia zetu na kuingiza mateso katika jamii zetu na watoto.

Wanaoanzisha vurugu hizi waepukeni, kwa kuwa malengo yao nadhani ni maovu. Utamuua mwenzako eti unatetea dini lakini maisha yako tu binafsi si ya utakatifu. Huoni utakuwa wajiongezea dhambi tu???

Kumbagua binadamu mwenzako kwa Udini, Ukabila, U-kanda vyote ni mambo ambayo sidhani kama ni ya Mungu. Kwa nini watu wazima tulete madhara makubwa kwa jamii kwa mambo ya watoto?? Akichapwa viboko vya kutosha huyo mtoto angejifunza na kamwe hawezi kurudia.

Nalaani kama raia mwema na mpenda amani; kwa tukio hili la vurugu. Tuambizane kuacha jazba na kuyapima mambo kwa uzito wake. Tushinikize sheria zilizopo kuchukua hatua stahili.

Raisi - SEMA NENO juu ya haya; Makanisa kuchomwa wakristo wameyavumilia - si wajinga ....; wanathamini amani kwanza!!!!! kwa nini msiwe na utulivu kwa mambo ambayo ni ya watoto???
 
Wakuu nasikitika kusema Radio Imaan inavunja umoja wa Watanzania. Nashauri serikali ichukue hatua za kuifunga mara moja. Wamekuwa wakiwatukana wakristo waziwazi lakini wanavumilia. Serilali ijue wakristo nao wakijibu mapigo nchi haitatawalika. Chonde chonde serikali ikemee udini huu.

Rais tunakuomba amka kemea haya. Kimya chako ndio kinaleta yote haya.
 
wanafungia mwanahalisi wanaacha adui namba moja wa amani akizidi kueneza chuki dhidi ya dini nyingine...kweli serikali dhaifu.
 
Ukienda pale jirani na hospitali ya Mwananyamala, kuna Msikiti na jirani yake kuna Kanisa.

Ukiingia kanisani utakuta shughuli zinazoendelea ni watu wanajifunza kushona, wengine Useremala na wengine Computer.

Ule msikiti wa jirani ukiingia muda karibu wote wako busy na mazoezi ya karate!

Sasa unataka hawa watu wawe sawa kwenye soko la ajira!? Hawa watu wata-compete vipi kwenye soko la ajira?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…