Dola Iddy Wa Chelsea
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 2,125
- 1,535
Kwanza huwa nawashangaa walevi huwa wanapata raha gani wakati mijipnmbe yenyewe michungu haswa.
.....halafu wanapenda sana masengenyo hao wanaojifanya hawanywi pombe-...ni hovyo kabisa.Hahahaaa mambo mengine bhana yani mtu anasema pombe hanywi lakini mzinzi kupindukia na msaliti wa ndoa alaf anaona wanaokunywa pombe wakosefu !!!! Kweli nyani haoni nyuma yake tunaishi kama binadam tu sio malaika
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha! Yaani jf mpaka raha!Na usinywe kweli kwa sababu siku ukinywa kesho wanakukuta dampo unaokota makopo tuachieni sisi wakongwe wa pombe tulishazoea
Sinywi pombe, sivuti sigara na najivunia kwa hilo!Imenibidi nielezee masimago tunayopata/niliyopata katika kipindi chote ambacho nimekuwa na sijawahi kuonja pombe. Mwanzoni nilifikili hii tabia ya kudharauliwa kwa sababu ya kutotumia pombe iko nchini mwangu tu!!!, hali hii imenikumba hata ugenini na naomba nielezee tukio la jana.
Muda wa saa 11 jioni kulikuwa na kikao cha kugawana asilimia/ shares za kampuni baina ya mwenyeji wangu na baadhi ya jamaa wengine. Baada ya kumaliza tukachukuana kwenda Hotel, Nilipofika pale mtu wa kwanza akaagiza vinywaji ajabu hapakuwa na kinywaji hata kimoja baridi. Nikiwa namwangalia mwenyeji wangu kwa vile anafahamu Situmii tungi lkn ni kama alikuwa amepanga kunikomoa, baadae akaniangizia juice hivi nikawa nakunywa taratibu huku macho nikiyageuza kama kinyonga kuangalia wahudumu na mashuga mummy wakiingia kwenye hotel na vitu vya ukweli muda mwingine yameogozana na mabinti zao.
Baadae saa tatu kuelekea saa nne usiku likaanza disco hapo ndipo nilitaka kulia kwani hata kucheza disco nilikuwa naogopa huku wezangu wakikita ngoma kwa msaada wa tungi!! Sasa likaja li mama shombeshombe la kizungu likaninyongea mauno likiniomba nikacheze nalo!! Baadae lilipoona nakunywa juice, likashangaa likisema... Lol!! What a f..ck is this guy doing here!!! Ilibidi nikakae kwenye gari na baada ya muda mfupi mwenyeji wangu alikuja tukaondoka na akiniambia pole sana na kama kawaida ya walevi siku zote huwa wanakupongeza kinafiki kuwa; hata mimi natamani niache pombe hivyo usijaribu kuiga, pombe ni mbaya sana!!!!
Acha hizo wewe!! Bila shaka kimuonekano wewe watu watakuwa wanasema una miaka X plus 20 sababu ya ulevi!.....halafu wanapenda sana masengenyo hao wanaojifanya hawanywi pombe-...ni hovyo kabisa.
Kwa hiyo mnakunywa kama chaka lankukimbilia, kauli yako ni uongo!!Itakuta mwanaume mzima anaingia bar eti anaagiza soda au maji!!!watu ambao hawanywi stress huwa zinawatafuna sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
.....am very smart..ie looking forever youngAcha hizo wewe!! Bila shaka kimuonekano wewe watu watakuwa wanasema una miaka X plus 20 sababu ya ulevi!
....huwa wanakuja kuchunguza watu wanavyokunywa na kutumia hela-halafu jioni wanaenda kuwahadithia wake zao eti...si unamjua fulan huwa anatumia hela hovyo...stupid themItakuta mwanaume mzima anaingia bar eti anaagiza soda au maji!!!watu ambao hawanywi stress huwa zinawatafuna sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata ile inasababisha kuchoka, kibaya kwako kwa wengine vizuri, Kuna watu wanakula ugali na maziwa mgando wakati Sisi mkoa wetu ukafanya hivyo utasababisha watu wapate kichefuchefu, hivyo kila kitu kinategemea saikolojia ya kichwa chako hata Chura watu wanakulaKwanza huwa nawashangaa walevi huwa wanapata raha gani wakati mijipnmbe yenyewe michungu haswa.
....And a healthy protruding belly....!.....am very smart..ie looking forever young
haha ha ha hivi sasa siku mkikutana bila pombe mnadoana'tuHata mtuseme vipi pombe hatuachi ng'ooo, ukipata totozi ambayo nayo inakunywa pombe yaani mnafyatuana mpaka raha maana hakuna anayemuonea aibu mwenzake