ChescoMatunda
JF-Expert Member
- Jan 7, 2009
- 1,232
- 444
Kwahiyo ile sio alcohol?hamna mkuu niko timamu kabisa ile ni 0% alc
mzee mzima haishiwi maneno
Kwahiyo ile sio alcohol?hamna mkuu niko timamu kabisa ile ni 0% alc
haina mkuu sure ni 0% alcKwahiyo ile sio alcohol?
mzee mzima haishiwi maneno
DuhWakizidi kukucheka wachepukie wake zao tena kipindi wapo tungi,wataacha kukucheka na wanaweza wacha na pombe yeynyewe kabisa
wewe chako kipi hapoDuniani kuna vilevi vitatu:
Wengi wasiotumia kilevi cha 1, wako sana kwenye kilevi cha 3. Wanapiga kilevi cha 3 usiku kucha! Kwahiyo hamna haja ya kujisikia vibaya, sio kosa lenu kuwa kilevi cheni hakifanyiwi matangazo kwenye TV na Redio!
- Kilevi cha kunywa (e.g. Serengeti Lite😛)
- Kilevi cha Kuvuta (Bangi,Unga)
- Kilevi cha Kuingiza😀
Ubarikiwe same to meMi kwangu naona pombe kama jela. I will never ever try that drink. May god guide me
Sent using Jamii Forums mobile app
Nouma
Nilijua ni 7up juu, kumbe na kwenye hii kitu upo???Sasa tupeane pole au tupeane hongera? Badirisha heading yako bhana!