Kuna jambo umeongea limenifikirisha sana.Kuna watu wa Chadema ndaki ndaki wanaoenda kupinga kila kitu kiasi cha kumpiga madongo mwenyekiti wao. Kwao ni ule utamaduni wa kulalama tu na wanapata shida kumpongeza Mbowe lakini vilevile hawawezi kupongeza Raisi hata kama kafanya mazuri
Lakini kuna kundi la CCM nalo ni kama Chadema wananufaika na mabishano yasiyo na msingi. Lakini baya zaidi kulikuwa na viongozi wa usalama wa nchi yetu ambayo walikuwa wanamtisha kwa uongo Raisi Samia kuhusu upinzani. Kumbe Mbowe sio gaidi! kama walipofika kumwaminisha Raisi
Haya aliyosema jana Raisi Samia ni pongezi kwake lakini tusimsahu Mbowe ambaye ameweka Uzalendo mbele. Sio aibu kupongeza kama viongozi wanastahili na sio kukosoa kila mara.
Mungu ibariki CHADEMA
Mungu ibariki CHADEMA
Mkuu Kamundu , hebu tuelimishane, kwenye hili la kuruhusiwa mikutano ya hadhara, Mbowe/Chadema ipongezwe kwa lipi?Kuna watu wa Chadema ndaki ndaki wanaoenda kupinga kila kitu kiasi cha kumpiga madongo mwenyekiti wao. Kwao ni ule utamaduni wa kulalama tu na wanapata shida kumpongeza Mbowe
Hapa nakuunga mkono, raid na serikali yake wakifanya vizuri wapongezwe. Tumelishauri sana hili jambo humu. Japo kazi ya upinzani ni kupinga, lakini sio kupinga kila kitu. Kwenye maslahi ya taifa, tutangulize utaifa, tuwe wamoja, wakweli na tusipotoshelakini vilevile hawawezi kupongeza Rais hata kama kafanya mazuri.
Sidhani kama ndani ya CCM, tuna ma CCM majinga hivi!.Lakini kuna kundi la CCM nalo ni kama Chadema wananufaika na mabishano yasiyo na msingi.
Duh...!, kumbe rire rijamaa ririkuwa rinamtisha rais wetu kuhusu upinzani, ndio maana ameritumbua?. Thanks for this!.Lakini baya zaidi kulikuwa na viongozi wa usalama wa nchi yetu ambayo walikuwa wanamtisha kwa uongo Raisi Samia kuhusu upinzani.
Hili la ugaidi wa Mbowe naomba usilikumbushie, mpaka pale kwenye preliminary hearing, Jamhuri ilithibitisha Mbowe had a case to answer, ameachiwa kwa Nolle, Nolle ikitolewa haitoi sababu kusema ni gaidi au sio gaidi ila yale yaliyofanyika Aeshi hotel ni kweli na yalithibitishwa na evidence ikapokelewa japo was ill gotten evidence.Kumbe Mbowe sio gaidi! kama walipofika kumwaminisha Rais.
Tushirikishe huo uzalendo wa Mbowe kwenye hili ili na sisi tumpongeze!.Haya aliyosema jana Raisi Samia ni pongezi kwake lakini tusimsahu Mbowe ambaye ameweka Uzalendo mbele. Sio aibu kupongeza kama viongozi wanastahili na sio kukosoa kila mara.
Ila wewe mzee unazeeka vibaya sanaMkuu Kamundu , hebu tuelimishane, kwenye hili la kuruhusiwa mikutano ya hadhara, Mbowe/Chadema ipongezwe kwa lipi?
Hapa nakuunga mkono, raid na serikali yake wakifanya vizuri wapongezwe. Tumelishauri sana hili jambo humu. Japo kazi ya upinzani ni kupinga, lakini sio kupinga kila kitu. Kwenye maslahi ya taifa, tutangulize utaifa, tuwe wamoja, wakweli na tusipotoshe
Sidhani kama ndani ya CCM, tuna ma CCM majinga hivi!.
Duh...!, kumbe rire rijamaa ririkuwa rinamtisha rais wetu kuhusu upinzani, ndio maana ameritumbua?. Thanks for this!.
Hili la ugaidi wa Mbowe naomba usilikumbushie, mpaka pale kwenye preliminary hearing, Jamhuri ilithibitisha Mbowe had a case to answer, ameachiwa kwa Nolle, Nolle ikitolewa haitoi sababu kusema ni gaidi au sio gaidi ila yale yaliyofanyika Aeshi hotel ni kweli na yalithibitishwa na evidence ikapokelewa japo was ill gotten evidence.
Tushirikishe huo uzalendo wa Mbowe kwenye hili ili na sisi tumpongeze!.
P
Mkuu Kamundu , hii no hoja ya msingi sana!. Naunga mkono hojaKuna watu wanaoenda kupinga kila kitu kwao. Kwao ni ule utamaduni wa kulalama tu na wanapata shida kumpongeza vilevile hawawezi kupongeza Rais hata kama kafanya mazuri.
Mkuu MKANDAHARI , jf is big one family, ukimuona mwenzako anazeeka vibaya, msaidie kwanza kwa kumuelimisha huo ubaya, kisha kumsaidia ili azeeke vizuri!.Ila wewe mzee unazeeka vibaya sana
Hongera sana Freeman Mbowe kwa kuifikisha Tanzania hapa.Kuna watu wa Chadema ndaki ndaki wanaoenda kupinga kila kitu kiasi cha kumpiga madongo mwenyekiti wao. Kwao ni ule utamaduni wa kulalama tu na wanapata shida kumpongeza Mbowe lakini vilevile hawawezi kupongeza Rais hata kama kafanya mazuri.
Lakini kuna kundi la CCM nalo ni kama Chadema wananufaika na mabishano yasiyo na msingi. Lakini baya zaidi kulikuwa na viongozi wa usalama wa nchi yetu ambayo walikuwa wanamtisha kwa uongo Raisi Samia kuhusu upinzani. Kumbe Mbowe sio gaidi! kama walipofika kumwaminisha Rais.
Haya aliyosema jana Raisi Samia ni pongezi kwake lakini tusimsahu Mbowe ambaye ameweka Uzalendo mbele. Sio aibu kupongeza kama viongozi wanastahili na sio kukosoa kila mara.