Tusimdhihaki Mungu kiasi hiki

Tusimdhihaki Mungu kiasi hiki

Juzi mkuu Wa nchi anamdhihaki Mungu eti ni mapenzi ya mungu kumpata magufuli wakati uovu Na ukiukwaju Wa sheria taratibu Na upendeleo ulitawala vitu ambavyo in chukizo kwa Mungu
 
mshana jr, nilidhani unamaanisha tusidhihaki dini... Dhana ya uungu haiwakilishwi na dini ambazo hata hivyo msingi wake ni tamaa ya kibanadamu ya kutamalaki na hata maisha ya taasisi za dini yamefuata mrengo huo!

Dini za Wageni ni utumwa!
 
Last edited by a moderator:
Mshana umenena!!,yaani umenigusa sana mkuu!!,nitajitahidi nibadilike ili niwe mtoto mwema wa Mungu.Ni mara nyingi km unavyosema kuhusu simu najikuta nimeweka wimbo uhusuo Mungu lkn nikiipokea cmu Mazungumzo yake yanakuwa hayaakisi Wimbo ulioita.
 
mshana jr, nilidhani unamaanisha tusidhihaki dini... Dhana ya uungu haiwakilishwi na dini ambazo hata hivyo msingi wake ni tamaa ya kibanadamu ya kutamalaki na hata maisha ya taasisi za dini yamefuata mrengo huo!

Dini za Wageni ni utumwa!

Huyu nayeee!!!!!!!!.
 
Last edited by a moderator:
Unasema mgombea wa CCM ni chaguo la Mungu ati..hii ni dhihaka kwa Mungu pia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom