Tusimdhihaki Mungu kiasi hiki

Tusimdhihaki Mungu kiasi hiki

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
361,279
Reaction score
832,324
Mungu wetu si Mungu wa dhihaka wala maskhara na ndio maana tunaambiwa katika maandiko matakatifu kuwa Mungu hadhihakiwi

Kuna baadhi ya watu kwa kujua au kutojua wanafanya mambo ambayo kwa kiasi kikubwa ni dhihaka kwa Mungu na ni kujitafutia laana na mikosi mifano hii hapa
-unavaa mavazi rasmi ya dini ya kiislam halafu unakaa bar unakunywa pombe au unatoka gesti kufanya ufuska
-Unavaa Rosary halafu unaenda kufanya uzinzi na rosery ikiwa inaning'inia shingoni
-unavaa rosary shingoni kiunoni una hirizi
- Unaweka sticker kwenye hadi yako GARI HII INALINDWA KWA DAMU YA YESU ilhali unayoyafanya ndani ya hayo gari ni chukizo mbele za macho ya Mungu
-Nyumba au biashara yako kuweka pia sticker ya NYUMBA HII INALINDWA KWA DAMU YA YESU wakati huohuo una mazindiko kibao ya kichawi
- kwenye memory card, flash, Simu, ipad computer nk una nyimbo za dini na picha za dini lakini wakati huohuo una picha na video kibao za ngono
- unaweka ringtone wimbo wa dini lakini mazungumzo yako ni dhambi tupu
- unaweka msg ringtone ya dini lakini msg zako ni uchafu mtupu
Nk nk nk
Laana nyingine tunazitafuta wenyewe tuwe na mipaka na tusichanganye mambo yahusuyo Mungu na mambo ya kidunia tutaangamia
 
Kuna ka ukweli kabisa baadhi ya sehemu aisee du
 
Nakuunga mkono. Wahubirie watu wajue; siku Mungu akikasirika watalia na kusaga meno. Mungu atuhurumie sana.
 
Yesu hakuja kwa ajili ya wasafi kama wewe. Yona anasema 'katika tumbo la sheoli nililia'. Katikati ya giza hilo acha watu wamtaje Mungu, ipo siku neema itawajilia. Unahukumu, ndio tatizo langu. Badala ya kufocus kwenye dhambi, kuwa watu waache kutenda dhambi unafocus kwenye stickers? Na mavazi?
kweli acha Mungu aitwe Mungu.
 
Nyimbo za dining ndo zpi mkuu?? Au za dini?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Utawatambua kwa matendo Yao wanayoyatenda.
 
Yesu hakuja kwa ajili ya wasafi kama wewe. Yona anasema 'katika tumbo la sheoli nililia'. Katikati ya giza hilo acha watu wamtaje Mungu, ipo siku neema itawajilia. Unahukumu, ndio tatizo langu. Badala ya kufocus kwenye dhambi, kuwa watu waache kutenda dhambi unafocus kwenye stickers? Na mavazi?
kweli acha Mungu aitwe Mungu.

Asante King'asti uko sahihi sana lakini bado tuna jukumu la kuwakumbusha pale ambapo tunaona wanapotoka. Tunafundishwa kutokuwa vuguvugu ni aidha tuwe moto au baridi
 
Kweli kabisa laana nyingine tunajitakia wenyewe.

Hivi kuangalia picha za ngono ni dhambi?
Mtu anajifunza staili ya kumgegeda mkewe ama kuchezea dushelele la mumewe,tena mnaangalia wote.
Mungu anabebwa moyoni na Rozari na Kanzu ama barakashia,umepitoka mtoa mada.
Stika haimbebi Mungu,ingekuwa hivyo basi wasomali wa alshabab na waafghanistan wangekuwa wa kwanza mbinguni,
Mungu anaangalia moyo.

Picha za ngono zinasaidia,mara nyengine kuna staili rahisi ya kugegeda mkeo hata kama anaendelea kupika,kudeki bila kusimama,utajulia wapi?
Kama mkeo yupo ofisini,ww umepata safari ya ghafla,unampitia ofisini si lazma muende gesti kwa kifo cha mende,kuna staili moja unampiga cha pembeni,hiyo ipo uchagani wacha kabisa.
 
na katika dhambi zote hizo bado Mungu anasamehe na tena wala hakumbuki makosa na zaid ya yote hugairi mabaya.

Mungu ni neema, amejaa huruma , si mwepesi wa hasira, ni Mungu wa rehema naye hughairi mabaya.
 
Hivi kuangalia picha za ngono ni dhambi?
Mtu anajifunza staili ya kumgegeda mkewe ama kuchezea dushelele la mumewe,tena mnaangalia wote.
Mungu anabebwa moyoni na Rozari na Kanzu ama barakashia,umepitoka mtoa mada.
Stika haimbebi Mungu,ingekuwa hivyo basi wasomali wa alshabab na waafghanistan wangekuwa wa kwanza mbinguni,
Mungu anaangalia moyo.

Picha za ngono zinasaidia,mara nyengine kuna staili rahisi ya kugegeda mkeo hata kama anaendelea kupika,kudeki bila kusimama,utajulia wapi?
Kama mkeo yupo ofisini,ww umepata safari ya ghafla,unampitia ofisini si lazma muende gesti kwa kifo cha mende,kuna staili moja unampiga cha pembeni,hiyo ipo uchagani wacha kabisa.

Inaonekana hiyo ya kuangalia picha za ngono ndo imekugusa zaidi.

:hail: :amen:.
 
ulichoandika mshana jr ni kweli lakini kikubwa binadamu anachotakiwa kukikumbuka ni TOBA mbele za MUNGU na kujitahidi kuacha yale yasiyokuwa mema mbele zake na mbele za binadamu.
 
Last edited by a moderator:
Hivi kuangalia picha za ngono ni dhambi?
Mtu anajifunza staili ya kumgegeda mkewe ama kuchezea dushelele la mumewe,tena mnaangalia wote.
Mungu anabebwa moyoni na Rozari na Kanzu ama barakashia,umepitoka mtoa mada.
Stika haimbebi Mungu,ingekuwa hivyo basi wasomali wa alshabab na waafghanistan wangekuwa wa kwanza mbinguni,
Mungu anaangalia moyo.

Picha za ngono zinasaidia,mara nyengine kuna staili rahisi ya kugegeda mkeo hata kama anaendelea kupika,kudeki bila kusimama,utajulia wapi?
Kama mkeo yupo ofisini,ww umepata safari ya ghafla,unampitia ofisini si lazma muende gesti kwa kifo cha mende,kuna staili moja unampiga cha pembeni,hiyo ipo uchagani wacha kabisa.

Ni jukwaa huru hatuwezi kuwa na mitizamo inayofanana kwahiyo sioni upotofu wangu
 
Nakuunga mkono. Wahubirie watu wajue; siku Mungu akikasirika watalia na kusaga meno. Mungu atuhurumie sana.

Mungu huwa anakasirika?Huyu Mungu anayekasirika ndo yuleyule mwenye Upendo usio na mipaka ambaye ametuamuru tuwasamehe wenzetu saba mara sabini kwa siku?Kwaiyo Mungu huyu ana akili,hisia na mwili kama sisi binadamu?
 
Hivi kuangalia picha za ngono ni dhambi?
Mtu anajifunza staili ya kumgegeda mkewe ama kuchezea dushelele la mumewe,tena mnaangalia wote.
Mungu anabebwa moyoni na Rozari na Kanzu ama barakashia,umepitoka mtoa mada.
Stika haimbebi Mungu,ingekuwa hivyo basi wasomali wa alshabab na waafghanistan wangekuwa wa kwanza mbinguni,
Mungu anaangalia moyo.

Picha za ngono zinasaidia,mara nyengine kuna staili rahisi ya kugegeda mkeo hata kama anaendelea kupika,kudeki bila kusimama,utajulia wapi?
Kama mkeo yupo ofisini,ww umepata safari ya ghafla,unampitia ofisini si lazma muende gesti kwa kifo cha mende,kuna staili moja unampiga cha pembeni,hiyo ipo uchagani wacha kabisa.
Ha ha ha haaah,,,,,ndio mnajifunza na kula tigo huko.
 
Back
Top Bottom