Tusifanye mapenzi kwa kukariri

Tusifanye mapenzi kwa kukariri

Sasa kwa nini hizi zana zina ekisipaya mapema jamani? Ingekuwa safi sana kama zingekuwa zinaimarika na kuongezeka ubora kadiri umri unavyosonga
Matusi hayafanywi...labda sema umestaafu kuwajibika kwa sababu uzijuazo wewe mwenyewe. Kuwajibika anawajibika mlokole na padri sembuse wewe? Acha hizo, ile ndiyo raha ya dunia bwana. Kuna sababu Mungu alituumba na kutupa hizo zana za kuchapa kazi (jembe na shamba), mengine yote hayo ni kujinyima raha tu kwa kujiwekea kanuni potofu.

Msaada wangu kwako: Jiepushe na walokole pamoja na nyimbo za dini zisizokusaidia kitu utaona raha ya dunia kwani furaha ujipatie mwenyewe na hakuna mwenye mamlaka ya kukupa furaha wewe isipokuwa wewe mwenyewe.
 
Mbwembwe nyingi mnatafuta ugonjwa tu..

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Mimi ndiyo daktari wenu najua ugonjwa unaowasumbua...
 
na kweli leo wanaume mmepatikana,. kwa wapendwa style nyingine nasikiaga ni mwiko! only mende kafariki....lol

wapendwa ruksa staili zote kama mafunuo yatakavyo kuongoza tehetehe isipokuwa kufanya kinyume na maumbile sijui mnaita tigo loh!
 
Habari zenu wana MMU!!!!
Leo nataka niongee na wanandoa, Yes wewe mume haswaa!
Hebu fanya tathmini ya ufanyaji wako wa tendo la ndoa na mkeo,
unaonaje, ni wa kukariri na kujirudia rudia au ni wa kubadilika kila siku??
Kaa ukielewa kuwa wanawake wanapenda mwanaume ambaye" Hatabiriki" .

Mzee mwenzangu usiwe umekariri jinsi ya kucheza mechi yako kiasi kwamba wife anajua kwamba, ukishakaa mkao huu kinachofuata ni hivi kisha vile then mchezo unaisha!!
Jaribu kuwa mbunifu na kubadilika badilika.

Of coz ni kweli uyasemayo bi saudari, ila Ila kuna sifa moja ya ziada ukiwa nayo mamaaaaa.................unaweza kufa kwa mapenzi ya wanawake!!

Wanawake wengi wanapenda sana hio ziada..........................!!
 
Of coz ni kweli uyasemayo, ila Ila kuna sifa moja ya ziada ukiwa nayo .................unaweza kufa kwa mapenzi ya wanawake!!

Wanawake wengi wanapenda sana hio ziada..........................!!

Mkuu rekebisha kidogo hapo, maana mimi ni dume la mbegu.
Tusishushiana heshima.
 
Sasa kwa nini hizi zana zina ekisipaya mapema jamani? Ingekuwa safi sana kama zingekuwa zinaimarika na kuongezeka ubora kadiri umri unavyosonga

Ni kweli lakini si hoja kwani kuna dawa/zana za kunoa hilo jembe. Kuna za miti shamba na za kizungu, ni chaguo lako tu.
 
aaah hapana mkubwa! hakuna somo nzuri kama somo ambalo utafundishwa na ukapewa na mifano,kwa mfano somo la hesabu bila mifano litaelekwa kweli?
Siyo kila maelezo yana mfano, kuna mengineukiyapa mfano eidha unakufa au unaharibu maadili ya jamii husika. Hivi aliyewahi kukusimulia kuwa ukigongwa na gari unaweza ukafa au binduki inauwa alikupa mfano?
 
ni kweli si kila jambo lafaa kutolea mfano lazima tuheshimu maadili.
 
Siyo kila maelezo yana mfano, kuna mengineukiyapa mfano eidha unakufa au unaharibu maadili ya jamii husika. Hivi aliyewahi kukusimulia kuwa ukigongwa na gari unaweza ukafa au binduki inauwa alikupa mfano?

asa na wewe nawe sikuelewi kabisaa! ivi ajali zinavyotokea kila mara na tunaangalia kwenye tv hautoshi kuwa mfano kwa anayenihadhia?naje anayenihadhia akinipa mfano wa move moja ambayo ilitumika bunduki sio mfano?huwezi kujifunza kitu bila ya mifano upo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom