Tusifanye mapenzi kwa kukariri

Tusifanye mapenzi kwa kukariri

na kweli leo wanaume mmepatikana,. kwa wapendwa style nyingine nasikiaga ni mwiko! only mende kafariki....lol


Hapo kwenye red ulikua una maanisha nini?
Wapendwa ni watu gani na wana uhusiano gani na topic tajwa hapa?

we speaker vip? mbona kutukanana jamani? kwan neno wapendwa linahusiana vip na udini? lol mambo mengine yanachekesha kweli haswa jins ambavyo watu mna-interprete meaning, sina element zozote za udini am very sorry, nalipinga sana hilo, labda umenielewa vibaya, pole
 
Mkuu Speaker vipi wewe unabadilika badilika au ndo waleee!!!!!!!!!
 
si wewe hata mm naiwah Falcon nasikia cameroon na tstarz wameanza., poa wah bwana

yeah,wameanza,me nasubiri Mali n Nigeria,then Spain vs Uruguay,England vs Brazil,Italy vs Netherlands
 
he he he,me sijaoa bana.
lla ikitokea bahati mbaya nikafanya dhambi nakua mchumi ngono kweli.
Sitaki kufa mapema. (Hidden truth inside)

You say "(Hidden truth inside)".
 
Kweli kabisa!

Habari zenu wana MMU!!!!
Leo nataka niongee na wanandoa, Yes wewe mume haswaa!
Hebu fanya tathmini ya ufanyaji wako wa tendo la ndoa na mkeo,
unaonaje, ni wa kukariri na kujirudia rudia au ni wa kubadilika kila siku??
Kaa ukielewa kuwa wanawake wanapenda mwanaume ambaye" Hatabiriki" .

Mzee mwenzangu usiwe umekariri jinsi ya kucheza mechi yako kiasi kwamba wife anajua kwamba, ukishakaa mkao huu kinachofuata ni hivi kisha vile then mchezo unaisha!!
Jaribu kuwa mbunifu na kubadilika badilika.
 
Mkuu, umenichekesha sana, mi kuna favourite style yangu nimeshamzoesha waifu kiasi kwamba baada ya foreplays waifu anawahi tu mwenyew kukaa ule mkao, teh, teh, teh, inabidi nibadilike.
 
Mkuu, umenichekesha sana, mi kuna favourite style yangu nimeshamzoesha waifu kiasi kwamba baada ya foreplays waifu anawahi tu mwenyew kukaa ule mkao, teh, teh, teh, inabidi nibadilike.
 
Mi nilishakatazwa kufanya matusi



Matusi hayafanywi...labda sema umestaafu kuwajibika kwa sababu uzijuazo wewe mwenyewe. Kuwajibika anawajibika mlokole na padri sembuse wewe? Acha hizo, ile ndiyo raha ya dunia bwana. Kuna sababu Mungu alituumba na kutupa hizo zana za kuchapa kazi (jembe na shamba), mengine yote hayo ni kujinyima raha tu kwa kujiwekea kanuni potofu.

Msaada wangu kwako: Jiepushe na walokole pamoja na nyimbo za dini zisizokusaidia kitu utaona raha ya dunia kwani furaha ujipatie mwenyewe na hakuna mwenye mamlaka ya kukupa furaha wewe isipokuwa wewe mwenyewe.
 
Mkuu, umenichekesha sana, mi kuna favourite style yangu nimeshamzoesha waifu kiasi kwamba baada ya foreplays waifu anawahi tu mwenyew kukaa ule mkao, teh, teh, teh, inabidi nibadilike.


Hii ni dalili ya hatari. Yes, hatari kwani wife wako keshakuzoea hivyo inakuwa rahisi kwake kwenda nje kutafuta njia mbadala. Ndipo hapa utakuta muuza maji anajipigia kiulainiiii:confused2:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom