Tusifanye mapenzi kwa kukariri

Tusifanye mapenzi kwa kukariri

hiyo dhambi ya kula 0712,humo simo mkuu,napita njia iliyohalalishwa

Hiyo dhambi ni matunda ya kuangalia picha za ngono, zamani mambo ya kutumia 0712 yalikuwa hayaongelewi kama ilivyo sasa.Jamani tuchambue pumba na mchele!!!
 
Mambo ya style ni ya kwetu sie Dot.com zamani siamini km yalikuwepo
Ndiyo mwisho wanaelekea kwenye 0715
Kuweka dushelele kwenye pua,masikioni,makwapani
Kwasasa umaridadi wa tendo haupo inayojulikana ni Kokrochi tu.
 
Mambo ya style ni ya kwetu sie Dot.com zamani siamini km yalikuwepo
Ndiyo mwisho wanaelekea kwenye 0715
Kuweka dushelele kwenye pua,masikioni,makwapani
Kwasasa umaridadi wa tendo haupo inayojulikana ni Kokrochi tu.

Mh,hii kali,masikion/puan tena!?kweli we a differ
 
Nakaribia kufanya mtihani wa darasa la nne hivo natafuta twisheni.
 
leo ntaenda na style ya kula 0713
heheheehehehehehee
asante kwa ushauri
 
Habari zenu wana MMU!!!!
Leo nataka niongee na wanandoa, Yes wewe mume haswaa!
Hebu fanya tathmini ya ufanyaji wako wa tendo la ndoa na mkeo,
unaonaje, ni wa kukariri na kujirudia rudia au ni wa kubadilika kila siku??
Kaa ukielewa kuwa wanawake wanapenda mwanaume ambaye" Hatabiriki" .

Mzee mwenzangu usiwe umekariri jinsi ya kucheza mechi yako kiasi kwamba wife anajua kwamba, ukishakaa mkao huu kinachofuata ni hivi kisha vile then mchezo unaisha!!
Jaribu kuwa mbunifu na kubadilika badilika.

bora useme janaume kila siku ana staili moja hadi ndoa unaiona chungu habadiliki hataki kujifunza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom