Mkuu, umenichekesha sana, mi kuna favourite style yangu nimeshamzoesha waifu kiasi kwamba baada ya foreplays waifu anawahi tu mwenyew kukaa ule mkao, teh, teh, teh, inabidi nibadilike.
Mi bado mtoto...!!!
Pitia tu usichangie...!!!Mi bado mtoto...!!!
Mi nina tutorial za kamasutra,naona ndoa inazidi kunawili
kila siku na style yake lol
ah wkati mwingine azam kucheza karume poa tu!kwani lazima chamazi kile siku baaanaa!Mimi huwa nahama viwanja leo taifa,kesho chamazi,mara kirumba
Waweza soma halafu ukayafanyia kazi, sio lazima msome wote.
Sidhani kama kunahaja ya mifano kwani maelezo yanajitosheleza.
Habari zenu wana MMU!!!!
Leo nataka niongee na wanandoa, Yes wewe mume haswaa!
Hebu fanya tathmini ya ufanyaji wako wa tendo la ndoa na mkeo,
unaonaje, ni wa kukariri na kujirudia rudia au ni wa kubadilika kila siku??
Kaa ukielewa kuwa wanawake wanapenda mwanaume ambaye" Hatabiriki" .
Mzee mwenzangu usiwe umekariri jinsi ya kucheza mechi yako kiasi kwamba wife anajua kwamba, ukishakaa mkao huu kinachofuata ni hivi kisha vile then mchezo unaisha!!
Jaribu kuwa mbunifu na kubadilika badilika.
Mi bado mtoto...!!!
You say "(Hidden truth inside)".